acheni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Acheni kujiweka fight mode mpaka sasa Yanga ni Bingwa

    Yanga hoyee, Tukifungwa ni mabingwa, tukishinda ni mabingwa. Tayari historia imewekwa, timu ya wananchi wenye akili imeingia fainali. Kama hautaki, andamana
  2. Clouds Media acheni uhuni, mahojiano yenu na Feisal Salum siyo professional!

    Baada ya kuangalia mahojiano ambayo Feisal Salum amefanya na Clouds Media, nimeshangazwa sana na kitendo chao cha kuachia mambo ya "off-air" yaruke hewani tena kwa muda mrefu. Kuna video ambayo imekuwa inasambaa ambayo inasikika Feisal akizungumza na Wakili wake pamoja na watangazaji wa Clouds...
  3. Wabongo mkija majuu au ughaibuni acheni unafiki, majungu na ukora mnaliabisha Taifa lenu

    Yaani wabongo ni watu wa ajabu sana, yaani wao wamekalia majungu, chuki, unafiki na ukora tu. Yaani wao wakiona mwenzao amewazidi kwa chochote kile wanaanza kukupiga majungu, nasema hii tabia inakera. Ndio maana mie huwa napenda kujitenga na wabongo, aisee yaani ni watu ambao wamekalia majungu...
  4. Kwanini Vodacom huwa wanaiba salio la mteja?

    Wadau habari? ukweli ni kwamba, hawa vodacom, ukiingiza salio bila kujiunga na kifurushi basi hilo salio wanalipiga juu kwa juu. Imenitokea mara nyingi. naweka salio ili niweze kutumia simu banking bila hata kutumia baada ya mda naona salio hamna. kwanini ninunue vocha kwenu halafu mniibie...
  5. S

    TCU kumbukeni Waziri Mkuu aliwaambia acheni kunyanyasa na kuonea Vyuo Vikuu Binafsi

    Hii taasisi ya serikali inayosimamia vyuo vikuu nchini imekuwa na tabia ya kuonea, kunyanyasa vyuo vikuu binafsi. Kuna kipindi hasa miaka ya 2016 walifungia sana either chuo kabisa au baadhi kozi. Hii ilipekea taharuki kubwa sana nchini. Ilifungia matawi ya vyuo vikuu hasa kutokea nchi za Kenya...
  6. Watu wenye nafasi fulani ofisini acheni dharau na kujisikia

    Sikupata mshangao sana yule askari wa Uganda "aliemmiminia" njugu wale officers pale ofisini wala hakumpiga risasi mtu mwingine kwa sababu target yake ni hao officer wenye dharau na kujibu watu hovyo hovyo. Nyie mliopata nafasi/kubahatika kukaa ofisini wahudumieni watu kwa upendo na staha...
  7. S

    Kila nikikumbuka Machi 17, 2021 naishia kusema acheni Mungu aitwe Mungu

    Watu walikuwa wamechoka kupoteza ndugu na mali zao kwa kutekwa na kuporwa. Watu walikuwa wamechoka kwa ubaguzi wa kisiasa. Kulikuwa na kauli za kijinga kama "mkimchagua mpizani sileti maji ama sijengi barabara". Watu walichoshwa kusikia ama kuona kiongozi wa kitaifa akitoa matusi mazito kwenye...
  8. Magufuli ndiye aliyejenga Ikulu ya Chamwino, acheni janja janja

    Watanzania, Kuna nguvu kubwa imetumika kuhakikisha Rais Magufuli hatajwi kwenye UJENZI WA ikulu ya CHAMWINO. Jamaa wameziba kuanzia TBC Hadi kwa muandaaji wa makala yule mama wa BBC. Hivi mnatuonaje wengine, yaliwashinda wengine wote, chuma kikaamua na leo imetimia rasmi, Jiwe la msingi la...
  9. Kuoa sio maendeleo acheni kulazimisha watoto kuoa mapema

    Imekua ni kawaida kwa Vijana wengi kuoa mapema kuanzia miaka 20-25 tatizo wengi wanaolea nyumbani kwa wazazi unakuta nyumba vyumba vitatu Babu, Bibi, Baba, Mama na Wajukuu wengi mithili ya vifaranga wa Tai. Wote wanaishi hapo nyumbani. Muda ambao kijana alitakiwa kutafuta maisha ndio...
  10. Sinza baadhi ya watu acheni kukaa uchi, yaani wake kwa waume

    Hellow Africa, Kuna mavazi ya kuvaa ukiwa kwenye hadhara ya watu na mengine sio mavazi rasmi kabisa ya kuvaa kwa watu. Sinza nowadays unakuta mwanaume kavaa boksa na kaoshi anazulula mtaani wala hana hofu yoyote ukipita uku unakutana na wadada nao wanavaa ivyo ivyo wengine taiti tu kitu...
  11. Waha acheni uchawi. Muuza sambusa kafungua duka la vifaa vya pikipiki vya jumla

    Nakubali biashara ni hatua, ila hatua alizopiga huyu muha ni uchawi kabisa. Alikuwa akitembeza sambusa. Ukihesabu kwenye ile pot yake ni kama sambusa 50-100 kwa siku. Hapo hupata 25k-50k kwa siku, ukiondoa gharama za kuandaa, muda na chakula, lets say kwa siku anapata faida ya 10-20k. Kuumwa...
  12. NEMC acheni kukamata kondoo walionona pekee

    Tangu NEMC ianze kamatakamata ya wachafuzi wa mazingira taarifa tunazopata ni ukamataji wa wenye baa, NEMC kunguru weusi na madereva wa bodaboda nao ni wachafuzi wa mazingira, hawa bodaboda pikipiki zao wamezifunga vifaa vya muziki ambavyo hutoa sauti kali sana kuliko hixo za baa. Kuna baadhi...
  13. F

    SI KWELI Waandishi wa Habari Kilimanjaro Wafanya utapeli wa pesa kwa kisingizio cha gharama za kurusha habari

    Kumezuka tabia ya waandishi wa habari mkoani Kilimanjaro kujihusisha na utapeli kwa kuchukua fedha za watu (wadau) wakidai ni gharama za kutuma habari lakini kinachotokea ni wizi mtupu. Juzi mama mmoja wa Uru Mjini wilaya ya Moshi Vijijini ametoa Tsh. laki 4 kwa waandishi wa habari wanne ili...
  14. Wanawake acheni ubinafsi, mwanaume kuwa na mchepuko inasaidia pande zote mbili

    Niliandika uzi fulani ndani ya huo uzi nikacomment mahala kwamba nina michepuko watatu. Baadhi ya members wameni-attack sana na wengine kuniita mkoloni, mbabe na majina mengine. Ila niwe mkweli, wanawake acheni ubinafsi. Takwimu zinasema wanawake ni wengi kuliko wanaume, tukienda mbali zaidi...
  15. R

    Wizara ya Habari acheni kuonea watumishi maskini, mnawasimamisha kazi waliowashauri mtoe fedha za matengenezo ya mfumo wa umeme mkakataa?

    Mhe. Rais kilichofanywa na wizara ya Habari hakina hata chembe ya Haki. Ukisoma barua ya wizara inasimamisha wafanyakazi kazi kisha barua hiyo hiyo inaeleza kwamba wanaharakisha mchakato WA tenda; unajiuliza Nani kawaambia wizara kama hitilafu ilivyotokea inahitaji tenda? Maana yake wanayo...
  16. M

    Wanawake acheni tamaa, mnajidhalilisha

    Bwana leo nikasema nmkumbuke ex Wang maana toto ni nzuri a.k.a la kwenda, basi nikachati nalo uko Facebook kwasabab namba yake nimefuta (namuheshimu ninae ishi nae,sijaoa), kweli bwana nafungua tu Facebook mtandao wake pendwa nikamkuta online tutakaanza kuchat. Mwsho wa kuchat ukawa kama hvo Chin
  17. Uhuru Kenyatta: Polisi acheni kutumika vibaya na Serikali

    Rais Mstaafu wa Kenya, amewataka Polisi wa Kenya Kutenda haki na kuacha kutumika Vibaya kwa manifaa ya Serikali. Imejili baada ya kutaka kuzuiliwa kuingia kituo cha Polisi. Cheo ni dhamana. Sasa hivi Uhuru Kenyatta anazuiliwa na Polisi!
  18. D

    Mauaji ya Milembe huko Geita ni mauaji kama mengine, wanaharakati acheni uchochezi

    Makosa ya jinai huwa hayabagui dini, rangi, cheo,kazi wala kabila. Mauaji yaliyofanywa na watu wasiojulikana huko Geita ni mauaji kama mauaji ya mengine. Wakulima wangapi wanauwawa huko wanaharakati hamsemi chanzo ni ushoga? Watoto wangapi wanauwawa huko hamsemi ni ushoga? Wafanyabiashara...
  19. Bwana na Bibi Afya acheni kukaa maofisini piteni migahawani, wanachakaza afya zetu kwa tamaa ya faida kwasababu hawadhibitiwi wala kushitakiwa

    Kuaharisha na kuugua matumbo limeshakuwa ni janga. Kulingana na mazingira ya kazi na umbali, inakuwa ni vigumu kurudi nyumbani ukale kisha uendelee na kazi. Baadhi ya migahawa imekuwa ni janga kwetu wateja, mbinu hizi chafu hutumika kwa lengo la kukuza faida bila kujali afya zetu na huku ndipo...
  20. M

    Wanaume acheni ubabe kwenye kupima afya zenu

    Bado baadhi ya wanaume wanashindwa kupima afya zao wakitegemea majibu kutoka kwa wenza wao. Hali hii imekuwa ikiwaumiza wanawake wengi hasa wanawake wajawazito bila ya kujua wafanye nini Ili kuwafanya wenzao wao wawe na muamko wa kupima afya zao. "Nilipomuambia mume wangu inahitajika mimi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…