Kila mwaka wakati wa sikukuu hasa za mwisho wa mwaka LATRA huongeza usimamizi kwa mabasi ya kusafirisha abiria ikihusisha usimamizi wa nauli halali. Hiki kipandi ni cha chini ya wiki tatu kati ya wiki 52 za mwaka mzima.
Nje ya nyakati za sikukuu hasa za mwisho wa mwaka wasafirishaji hufanya...
Azam Tv imekua na tabia ya kutuibia wateja wa vifurushi vya Azam Tv, mteja ananunua kifurushi cha bei kadhaa na chaneli kadhaa kwenye kifurushi husika lakini kabla haujamaliza muda wa kifurushi husika Azam Tv wananyofoa baadhi ya chaneli ulizolipia, huu ni wizi na ni sawa na mwenye basi...
Binafsi sioni mantiki ya serikali kuhangaika na kupoteza muda na nauli za mabasi kila mwezi wa December ukifika. Huu ni uingiliaji wa kanuni ya biashara inayoitwa "demand and supply in relation to price". LATRA inatia aibu kugeuza kila kitu kuwa siasa na kampeni.
Inajulikana na kufahamika kuwa...
Kwema Wakuu,
Hii inahusu Wakamaria. Kuna hii kampuni mpya ya kubet inaitwa Bookee. Nilisema nijiunge nayo ili nikimbie makato ya 15% ya kodi yaliyoko SportyBet (huu nao ni wizi mwingine). Hawa Bookee kwao hukata kodi ya 10%.
Nilichokutana nacho huku Bookee ni wizi wa aina ingine lakini kwenye...
Watu tunaamua basi angalau tujiunge bundle ya mwezi mzima kwa Huduma ya Post Paid. Ninyi mnaiba data.
Sielewi yaani ku browse JF tu na Whatsapp ambako sijadownload kitu kwa siku inakatika 2+GB? C'mon guys watanzania si wajinga kihivyo.
Tuheshimiane please mimi siyo layman wa matumizi ya simu...
Baraza la mitihani limekubuhu kwa tabia ya kufuta na kufungia shule kwa kisingizio cha udanganyifu katika mitihani. Hii inafanyika kwa namna ya kuonyesha kuwa udanganyifu huo unafanyika kwenye shule binafsi tu. Bahati mbaya hakuna uwazi wa namna wanavyofikia maamuzi yao.
Kwa kawaida udangayifu...
Wapenzi wa Soka ambao watakuwa nchini Qatar kwa ajili ya Kombe la Dunia la Novemba 2022 wamepewa maagizo ambayo ni lazima wayafuate ili kufurahia kukaa kwao wakati wa mashindano ya kimataifa ya soka.
Zifuatazo ni hatua muhimu za tahadhari:
Mapenzi nje ya ndoa ni kinyume cha sheria nchini...
Habari zenu.
Mtaji wa maisha ni Akili zetu na thawabu to Kwa mola wetu, watanzania kuweni na akili kubwa tumieni hata Milango mikuu ya fahamu ya mwanadamu kufanya tathimini viongozi wanapotumia jukwaa kuzungumza mambo.
Fanyeni rejea ya mstaafu akiongea kama mtu aliepooza, wa baridi, Nuru...
Walioa bhana yaani kelele na kutikisa vitambi tu, hawatembei na vivuli vya wake zao. Wakiwa bar wao, mgahawani wao, lodge au gesti wao, ktmota wao, kuku wao, kwenye sebene wao.
Jazeni vitu vya maana kwenye mafrifge zero, pigeni shoo za maana zero, kwenye sebene mnaenda na migebuka, mkirudi...
Members wote nawasalimu katika jina la JF,
Kuna mdau humu yeye hujisemea kwamba "Wanaume orignal tumebaki wachache" hii ina ka ukweli.
Huko mtaani vijana wa kiume wanashangaza sana, yaani kwa sasa nao pia wanataka kuwa "Warembo"
Baada ya dada zetu kusema wanapenda wanaume ma handsome, (achana...
Wakata tiketi kwenye mwendo mnanyayasa sana watoto, nimeshuhudia karibu mara tatu mnagombana na vijana ambao ukimuona kwa umri wake kabisa ni mtoto mnataka alipe nauli ya mtu mzima hivi kisa amevaa nguo za nyumbani si sawa kabisa.
Hivi nyinyi amjui umri wa mtoto? serikali naomba iangalie hili...
Nimetafakari kwa uwezo wangu na kutazama kinachoendelea kwa timu yetu ya Simba katika michezo yake mikoani na nimejiridhisha bila shaka kuwa dharau za viongozi wetu zinatugharimu.
Kila sehemu ina mila na tamaduni zake. Ni kwa kuwashirikisha na kuwathamini tu wenyeji wa eneo husika ndiko huleta...
Inashangaza kuona taaluma ambayo pengine ingetakiwa kua msaada kwa taifa letu lakini imegeuka kua ni kichaka cha vioja. Kuna mdau alikuja kulalamika humu siku moja ya kwamba Baraza la famasia na Chama cha wafamasia wamejikita kwenye kufungia maduka ya watu na kujiwekea ubinafsi wa wao pekee...
Hii kitu imezoeleka sana kwenye familia zetu lakini watu wengi wanashindwa kuiongelea, wanawake wamekosa huruma kabisa mwisho wa siku wanauwa bila kujuwa kuwa wanauwa, kuna familia moja huko kanda ya ziwa jamaa alienda kuowa huko dodoma kondoa kwa warangi.
Lakini jamaa alikuwa ameishapata...
Nimekutana naye huko badoo akanipa namba basi nikaingia m-pesa kujua jina basi lahaula ni jina la mama mmoja ninayemfahamu.
Alipokuja nikambana akasema akitumia namba hiyo hawezi kufahamika kupitia mitandao kwasababu mama yake hatumii instagram, facebook, twitter nk
Kwamba anaogopa akitumia...
Video hapo juu ni mapokezi (maandamo) ya Zitto huko Tunduru na Polisi kabla ya hapo wali-fake kumzuia Zitto na baada ya simu moja ya maelekezo kusanyiko lile liliendelea na habari zake kama mnavyoona.
Hoja hapa ni kwanini jambo fanani na hilo likifanywa na Chadema huzuiliwa tena kwa nguvu ya...
Mimi kama mkristu kamili.
Amri ya pili inasema "usilitaje bure jina la mungu wako".
Viongozi wa dini mko wapi kukemea jambo hili ovu.
Nimesikia mara ya tatú mhimili wa serikali inamsingizia Mungu.
1. Mgao wa umeme last year makala alisema serikali haina namna tumwombe Mungu mvua inyeshe.
2...
Leo hii mgao wa umeme umekuwa kero kwa taifa letu kiasi cha kuporomosha uchumi wa wananchi lakini mnachukulia poa.
Hiyo kampuni ya Mahindra group iliposaini mkataba wa bil 78 kuiboresha TANESCO mbona haijaboresha?
Bunge linapitisha kuwa serikali ikope tril 10. Halafu zinakopwa tril 15 bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.