acheni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yanga acheni kujiita Wananchi!

    Simba anapojipatia mawindo yake fisi huanza kujichekeshachekesha kama fosi za watani zangu Wagogo zinapovuka barabara za lami Na hakuna mnyama hasimu mkubwa wa simba huko nyikani kama mafisi. sasa nashangaa kwanini watani zangu wa Yanga wakaacha kuchukua jina linaloshabihiana na tabia zao...
  2. S

    Wanaume acheni kufanya uzembe kama huu. Hivi mnajielewa kweli??

    Leo nimepokea kesi toka kwa kidume uchwara mmoja analalamika kuwa anamhudumia msichana kwa kila kitu (kodi ya pango, mavazi, chakula, na mahitaji mengine) lkn huyu kijana hajawahi kupewa papuchi kaambiwa mpk watakapofunga ndoa. Kilichomtisha huyu kidume mpka kuja kwangu leo ni kwamba ni mwaka...
  3. Vijana wa Arusha acheni ushamba na ujinga

    Kiukweli hapo awali nilikuwa nikijua kuwa vijana wa Kisukuma ni washamba, kiukweli ni washamba lakini uzuri wao wanapenda kuelekezwa na kujifunza na kujikubali pia. Lakini sasa katika uchunguzi wangu nimekuja kugundua vijana wa Arusha ndio washamba na ni wajinga zaidi kwa sababu; 1. Ni...
  4. Watanzania kuweni wakubwa akilini

    Vipi! Ujue mimi nawashangaa sana watanzania ambao mna kazi ya kucheka watu kuwa wamezeeka mara maji ya jioni hivi kuna mtu ambaye hatazeeka atabaki hivyo hivyo? Kuna baadhi yaa watu maarufu huwa wanachekekwa kuwa wamezeeka swali mlitaka wasizekee? Mtu unashinda Tandika mpaka jua lina zama...
  5. Vijana oeni, acheni janja janja

    Kwa siku kadhaa hapa JF pametokea na wimbi la vijana wakija na mtazamo wa kwamba ndoa si muhimu na haina umuhimu hivyo hawaoni haja ya kuoa. Nimekuja hapa kuwaambia neno moja tu kwamba wasijifiche kwenye shamba la karanga wakifikiri hatuwaoni. Tunajua wankwepa majukumu ili waendelee kulelewa na...
  6. J

    Sukuma Gang acheni kuilaumu Chadema kuwa haikosoi Serikali, anzisheni chama chenu cha upinzani mukosoe na nyie

    Hawa Sukuma Gang kila kukicha ni kukosoa kuwa Serikali ya Samia ina ufisadi ila Chadema hawaikosoi Chadema wakikosoa tena hao hao utawasikia wakiiponda Chadema kuwa ni wapiga dili sababu walimpinga Magufuli Wakiipongeza Serika utawasikia wakisema wamelambishwa asali, yaani wapo kama kuku...
  7. "Vijana nendeni mkalime acheni kubeti" huu msemo nitakuja kumvunja mtu shingo

    Habari zenu Wanajamvi Mimi ni msemaji wa vijana tusioajiriwa tuna degrees zetu tuko tunahustle mtaani kwenye harakati mbalimbali za mtu mweusi kwa bahati nzuri harakati hizi zinatupatia pesa kidogo za kujikimu kwenye mahitaji ya Kila siku mfano bando, nauli, chakula nk....so tunaishi 👊👊 Kwa...
  8. M

    Acheni kulazimisha kumpeleka kumzika marehemu kule ambako alikataa alipokuwa hai

    Kumbe Marehemu Mrema akiwa Hai aliacha kabisa Maagizo kuwa Akifa asipelekwe Kuzikwa Kilimanjaro (Moshi) na badala yake azikwe hapa hapa Mkoani Dar es Salaam na kwamba Watakaolazimisha Kumsafirisha basi wajiandae Kuondoka nae rasmi Duniani (Kufa) kama ilivyotokea. Najua wapo mtakaolibishia hili...
  9. Wadada acheni wizi

    habari zenu
  10. Pastors kueni na huruma acheni kuwakamua kondoo wa Bwana

    Habari Nimebaki mdomo wazi baada ya ndugu yangu wa karibu kukata 10% ya mafao yeke ya usitaafu na kumpelekea mchungaji kama fungu la kumi kakata tena vimilioni kadhaa vingine katoa kama sadaka ya malimbuko ya mwisho wa mwaka kanisa linapokea tu hiyo pesa na halijui baada ya miaka kumi ijayo...
  11. Je, Tundu Lissu ana mahusiano na mwanamke wa kizungu?

    Nguli wa siasa nchini, bwana Tundu Antipas Lissu leo ameondoka Ubelgiji kurejea nchini. Wakati anaondoka ameonekana anaagana 'Kimahaba' na mwanamke wa kizungu uwanja wa ndege. Je, haitamletea shida kisiasa ikizingatiwa anayo ndoa rasmi na Alice Magabe na kuzaa nae watoto wawili? Nini...
  12. M

    CHADEMA mkitaka kupata kura 2025 acheni kauli za chuki kwa JPM

    Nimekuwa nikifuatilia posti nyingi hapa jamii forums zinazomuhusu aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, pia hata mitaani na kwenye vyanzo vingi vya habari ikitokea magufuli ametajwa na kiongozi yeyote kwa lengo la kumfedhehesha basi 90% ya watoa maoni watakuwa upande wa JPM. Sasa rahi yangu kwa...
  13. Hazina acheni kuitumia CRDB na kuiacha NMB. Watumishi mmeona kinachoendelea

    Watumishi wa serikali wale ambao mishahara inapitia bank ya CRDB kuanzia saa tano salary imesoma ila wale wa NMB mpaka Sasa hakuna jipya Maswali Kuna Nini nyuma ya haya mambo zamani CRDB mtumishi akiomba loan walikuwa hawana masharti ya mshahara upitie bank yao ila Sasa hivi CRDB hawatoi loan...
  14. New Force/ Golden Deer acheni uhuni kwa mizigo ya abiria

    Ninapenda kutoa huu mkasa kama ifuatavyo. Tarehe 12/1/2023 nimetuma mzigo kutoka DSM kwenda Mbeya kama inavyoonekana kwenye risiti. Nimekabidhi ofisi ya Mbezi imeandikwa Golden Deer na Newforce ipo flow ya pili mwisho kabisa jirani na sehemu ya chakula. Mzigo nilitwgemea tarehe 13 Januari ufike...
  15. Je, Askofu Malasusa anamchukia Mchungaji Kimaro?

    Nimeona mahubiri Ya Askofu Malasusa akiwashambulia watumishi wa Mungu ambao kwa madai yake yeye, waanaminiwa sana na waumini wao. Askofu Malasusa anadai wachungaji hao wanaamini sana na watu kuliko Yesu. Mahubiri haya yanayoonesha chuki ya Askofu Malasusa kwa watu kama Kimaro (wengine kama...
  16. Gazeti la Mwananchi acheni uandishi wa bora liende

    Wenje aunguruma Sengerema Sengerema. Mbunge wa zamani wa Nyamagana (Chadema), Ezekiel Wenje amesema Serikali imeshindwa kudhibiti mfumuko wa bei na kuwaacha wananchi wa Tanzania walikia na kutaabika. Wenje ambaye pia ni mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Victoria, ametoa kauli hiyo leo Oktoba 20...
  17. O

    Watu wa bara acheni ujuaji mkija mjini

    Naona hii tabia inaota mizizi kila uchwao siku baada ya siku tabia ya watu wa bara kujikuta ujuaji matokea yake mnaharibu kila kitu kama Utada poa nyie ni watu wa mwanzo kuuleta huku bara yaani mmeharibu dada zetu watu wa pwani yaani sio pos hawashikiki hata kidogo sababu ni yenu. Baada ya kuja...
  18. ITV na Star TV acheni udini

    Hivi inakuaje TV ambao wakristo na waislamu wanaingalia kutwa kupiga nyimbo za injili hii sahihi kweli? Yaani kila siku Saa kumi na mbili asubuhi ITV na startv wao nyimbo za injili tu huuu si ubaguzi huu jameni? Mbaya zaidi kwenye taarifa za habari au vipindi vyao watangazaji wao wanawafosi...
  19. Msijemwambia Pele kuwa anafananishwa na Messi

    Jenga picha Pele Mchawi wa Mpira, Huyu katika Biblia ya Soka ni Moses. Ni nabii mkubwa sana. Just imajini akiwa kitandani aambiwe Lione Messi anafananishwa naye. Atakata roho hapo hapo kwa uchungu. Msije mwambia jambo hili. Please sisi tuliokuwepo toka zamani tunao heshimu mpira na watu wake...
  20. J

    Yanga acheni kuhangaika na Feisal, ni ushamba

    Sakata la Feisal na Yanga linaendelea kupamba moto. Bahati mbaya hizi timu za Simba na Yanga zina maujinga sana. Ndio maana utaona kila siku zinakuwaga na habari za wachezaji waliowakariri. Utasikia Manzoki, Miquisone kila timu inawataka. Hamnaga scouting timu za maana? Hivi sasa nasikia Yanga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…