acheni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Shanily

    Wanaume acheni kuwatumikisha wake zenu, waheshimuni

    Yaani wanaume wengi wakioa wanadhani wameoa watumishi. Yaani kuosha vyombo, kupika , kufua ndo majukumu yake hayo yalomleta, ikitokea yamefanywa tofauti umekosea basi utanangwa mtaa mzima kama vile mwisho wa mwezi Huwa anakulipa. Ukiona mke hajui kufua, si ufue mwenyewe mikono huna!?. Hajui...
  2. Red black

    Mafundi acheni kulogana

    Niaje wakuu, Just imagine unamloga fundi Mwenzio kisa kafanya kazi ambayo uliitiwa ukataja bei kubwa yeye kataja bei ndogo kapiga kazi kwa wivu na roho mbaya yako unamfanyia umafia. At the end of the time unamloga unamuharibia maisha yake kwa ujumla unaathiri mfumo mzima wa maisha ya wanao...
  3. kyagata

    Walimu acheni kujidhalilisha kwa vitu vidogo vidogo

    Nilienda bank ya nmb kwa lengo la kupata huduma flani ya kifedha. Kwenye ATM pale nikaona msururu wa watu wamejipanga kutaka kutoa pesa.nikadodosa nikaambiwa wengi wao ni walimu mishahara imetoka, nikafanya utafiti wa tofauti ya kutoa pesa kwenye ATM na kwa wakala ni how much nikaona tofauti ni...
  4. Waufukweni

    LGE2024 Kayandabila: Uchaguzi hauna uzoefu, fuateni mafunzo ya Uchaguzi wa mwaka huu

    Wasimamizi wasaidizi zaidi ya 600 wa vituo vya kupiga kura uchaguzi Serikali za Mitaa wa jimbo la Tabora wametakiwa kutokutanguliza uzoefu wa usimamizi wa chaguzi zilizopita katika uchaguzi wa mwaka huu badala yake wafuate mafunzo na mwongozo wa usimamizi wanaopewa ili kuweza kufanikisha zoezi...
  5. Komeo Lachuma

    Chalamila na Janabi acheni kutafuta Kick kwenye Maisha ya watu

    Hapa Kariakoo jengo limeanguka. Hakuna vitendea kazi Chalamila na Janabi wamefika kupiga stories. Muda mrefu linahitajika greda kuja saidia kuinua nguzo nzito. Vifaa vya kuekolea hamna. Anakuja Mkuu wa Mkoa na Dr. Janabi eti kuokoa? Wanaokoa nini kama si kutafuta kick na attention kwa watu...
  6. Komeo Lachuma

    Video: KMC acheni kutumika kuidhalilisha Yanga. Hizo Camera ndo muanze kufunga sasa mlikuwa wapi?

    Huu ni ujinga. Siku zote hamkufunga cameras. Tumekuja sisi mnataka kufunga CCTV. Maana yake sisi ndo tatizo? Acheni huo ujinga. Kuna nini cha kusema hizo cameras zitalinda pale uwanjani? Mbona hamna lolote la maana na kauwanja kenu kama ka shule ya msingi? Sisi tumemchukua kocha wenu yeye...
  7. Hamduni

    LGE2024 Chadema hamkujiandaa na uchaguzi, acheni kulalamika!

    Tangu mchakato wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulipoanza, sijaona viongozi wa CHADEMA wakieleza mkakati wa kushiriki na kushinda uchaguzi huo. Badala yake, wamejikita kwenye malalamiko dhidi ya CCM na serikali. Hakuna hata mchakato wa wazi uliotumika kuwapata wagombea ndani ya chama. Walikaa...
  8. Nehemia Kilave

    Na hapa tutamlaumu Gamondi ? Acheni kina Cristiano Ronaldo na Messi wang'are

    Ingawa kwa kumuangalia Azizi ki hizi mambo zinaonekana sio zake kabisa
  9. M

    CHADEMA, acheni kulia lia. Chukueni hatua kali dhidi ya dhuluma

    Kwa mara nyingine tena napenda kuwaasa ndugu zangu CHADEMA kwamba, punguzeni kulia lia, chukueni hatua kali dhidi ya dhuluma. Ebu jiulizeni, mmeanza kulia tangu lini? Baada ya kulia mmepata faida gani? Amini, Amini nawaambia, msipokubali kujitoa SADAKA kwa ajili ya kutafuta HAKI, mtalia...
  10. Subira the princess

    LGE2024 CHADEMA acheni kulialia ujinga ni wenu

    Wasalaam. Naliwashauri hapa hapa kabla hata zoezi la kuandikisha wapiga kura halijaanza. Niliwasihi chadema wasithubutu kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa na chaguzi nyingine mpaka kuwe na tume huru wakashupaza shingo na sasa mnalia kuchezewa rafu na ccm, muache kulialia mnatukera...
  11. Loading failed

    Mama wachungaji acheni kuwapotosha wanawake wezenu

    Ndugu zangu Ukweli upo wazi kwamba kipofu hawezi kumuongoza kipofu mwezake ila watadumbukia shimoni wakiongozana Wanawake wengi wanaojiita mama wachungaji au wake wa wachungaji tunajua wazi kabisa huko nyumbani kuna mikikimikiki na wao wanapigania ndoa zao. Sasa linapotokea swala la migogoro...
  12. Half american

    Watu wa Kanda ya Ziwa punguzeni au acheni utaratibu wa kuchanja chale

    Habari wakuu, Hivi hakuna mbadala wa hizo chale, tumieni hata sindano kama lengo ni kuchanja ili dawa iingie, au kuna lingine tofauti na dawa hadi iwe kwa kuchanja na nyembe na vitu vingine vyenye ncha kali ambavyo vinaacha alama kubwa? Nmekutana na baadhi ya watu kutoka kanda hizo wamejaa...
  13. M

    Chadema acheni maisha ya kifahari chama bado ni Maskini sana

    Chadema jaribuni kupunguza matumizi ya anasa ili mjenge chama; 1: Mikutano ya kamati kuu inafanyika kwenye hotel zenye hadhi ya nyota tano. 2: Viongozi wakuu kutembelea magari ya anasa. 3: Kipngozi mkuu kuomba michango watanzania ili anunue gari ya anasa 4:Viongozi wa chama kukesho mitandaoni...
  14. The Supreme Conqueror

    Dr Slaa:Chadema acheni visingizio hamkujiandaa uchaguzi wa Serikali za Mitaa msiwadanganye Wananchi.

    Kada na kiongozi muandamizi wa zamani wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa, ameshutumu vikali chama hicho kwa kushindwa kujiandaa kikamilifu kwa uchaguzi wa serikali za mitaa, vitongoji, na vijiji. Katika kauli yake isiyo na kificho, Slaa amewapa somo Chadema, akiwataka wafahamu kwamba kwenda...
  15. Damaso

    TAMISEMI acheni mapambio, wananchi wanaumia.

    Nimepata kukutana na hii picha kutoka mtandao wa X kutoka kwenye ukurasa rasmi ya TAMISEMI kiukweli nimepata hasira na kuona watanzania sijui huwa tunafikiria nini? Ukweli tunauficha kwenye uvungu na kuhubiri uongo, kwa sababu ya kulinda ugali na uchawa uliopitiliza. Kuna shule zipo kwenye...
  16. S

    TCRA, acheni kujitetea kuhusu mikopo ya mtandaoni; je, hamna uwezo wa kuagiza makampuni ya simu kutosajili lipa namba wanazotumia kupokea marejesho?

    Watanzania, tufike mahali tujiulize swali hli dogo tu: Mikopo ya mitandaoni hutolewa kwa wateja kutumiwa hela kwenye simu zao na zaidi marejesho hutumwa kwa haya makampuni kwa kutumia lipa namba za mitandao ya simu. Sasa kama mpaka wanakuwa wamesajili lipa namba kwenye menu ya mitandao ya simu...
  17. Hismastersvoice

    LGE2024 CCM mmekosea hapa kwenye kuandikisha watoto, mngefanya hivi mngefanikiwa, acheni ubishi na ujuaji

    Inawezekana kutokana na mama kuwa chaguo la mungu kwa mara ya kwanza mwaka huu tumebahatika kupata watoto waliotimiza umri wa miaka 18 na wanasoma shule moja darasa moja, mungu mkuu na lolote chini ya giza linaweza kutokea. Ushauri wangu mngewaelekeza walimu wasipeleke darasa zima kwenye kituo...
  18. C

    Vijana mnarogwa na nani kwenye biashara?

    Tunajua kwa exposure uliyopata kwa kusoma una expect vitu vikubwa huku ukisahau kwamba nidhamu ya fedha ndo kila kitu kwenye maisha ya biashara na ndo maana biashara nyingi zinafilisika Mimi hainiingii akilini kabisa inawezekana vipi kijana msomi una degree yako safi unaua biashara ya duka ya...
  19. P

    Maofisa wadai service levy tax Kariakoo acheni jeuri na kiburi, wafanyabiashara ni uti wa mgongo wa Kariakoo

    Punguzeni jazba, waelemisheni wafanyabiashara watalipa kwa upendo, kulazimisha na kutishana kumepitwa na wakati, Leo nimekuta hiyo kesi kwenye duka moja kariakoo, mdai service levy analazimisha mfanyabiashara afunge duka au alipe, wakati mfanyabiashara anaomba muda wa wiki mbili ndio alipe...
  20. Nanamucho

    Nyie Kuna wazee wanaswaga,Vijana mkasome

    Nikiwa town kwenye mishe zangu,Kuna mahali mchana huwa napenda kwenda kula,wakati natoka Kuna mahali nilipita kwenda kuchukua mkoba wangu Eeeeh sinikasikia naitwa,kugeuka namuona mbaba mtu mzima ila vaa yake kama wale dereva tours,nyieeeee 😹 Kuna watu wanajua kutongoza,yaani nimejiuliza...
Back
Top Bottom