Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungunza na wakazi wa Igunga, Tabora.
"Tumeendelea kuimarisha sekta ya elimu, Muheshimiwa mbunge ulisema unahitaji VETA tumeleta VETA, hizi VETA tumezijenga ili wewe ukasomee ufundi utusaide katika shughuli za ujasiriamali VETA...
adaada kubwa
ajira
chuo cha veta
english
english medium
kasim majaliwa
madaktari
majaliwa
rais samia
shahada
veta
wahitimu wa degree
watoto
wazazi
waziri mkuu
waziri mkuu majaliwa
huu ni ukweli mchungu.
tazama mwenyewe video uone ubora wa shule hii ya msingi ya serikali wanaiita kayumba english medium. inayoitwa Mikongeni primary school iliyopo gongo la mboto dar kisha linganisha na private primary school iliyo jirani na unapoishi ilivyo ama shule ya private...
Vitu vya kupewa Bure wewe unavinunua Kwa hela , hela yenyewe ndogo. Wenzako wanauziwa Dola elfu 30 Kwa mwaka wewe unauziwa Dola elfu moja Kwa mwaka. Huoni kwamba unapigwa?
Unazidiwa na wale wanaochukua bure Kwa sababu wamejipima wameona gharama halisi ni Dola elfu thelathini Kwa mwaka, hii Dola...
Je, mafanikio ya elimu hutegemea ada kubwa ya shule au mshikamano wa familia katika kukuza juhudi binafsi za mtoto?
Swali hili linaibuka mara nyingi, hasa tunapojadili tofauti kati ya shule za English Medium na zile za kawaida, maarufu kama Saint Kayumba. Wakati wengi wanaamini ada kubwa na...
Dar es Salaam. Tarehe 7 Januari 2025: Katika kuukaribisha mwaka mpya 2025, Benki ya CRDB imezindua mikopo ya ada kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari nchini kote. Mikopo hiyo inayoitwa Ada Fasta ni mwendelezo wa juhudi za Benki ya CRDB kukidhi mahitaji na matarajio ya wateja wake ili...
Ada tuweke 1.5 m
Uniforms, usafiri na vikorokoro vingine tuweke 1ml . Jumla milioni 2.5, mara 4 ni milioni 10. Hiyo ni minimum.
Hapo hatujagusa hizi International schools ambapo kwa miaka 4 hamna hamna milioni 20 inakwenda.
Form one mpaka form four nimesoma shule ambayo kulikuwa na wanafunzi...
Tuko hapa Machame, wilayani Hai mkoani Kilimanjaro na hivi, ndivyo tunavyozitumia pesa za kikoba cha mjomba.
Asitokee mtu wa kutaka kukipora kikoba chetu, labda akaanzishe chakwake.
Makamanda piiiipoooz (kwa sauti ya mjomba)
Rais mteule Donald Trump ameitaka Panama kupunguza ada kwenye Mfereji wa Panama au irejeshe kwa udhibiti wa Marekani, akiishutumu nchi hiyo ya Amerika ya kati kwa kutoza "bei kubwa" kwa meli na meli za Marekani.
"Ada zinazotozwa na Panama ni za kijinga, na sio za haki," aliuambia umati wa...
Timu ya Coastal Union imepokea barua rasmi ya Klabu ya Yanga kumuhitaji beki wa kati Lameck Lawi, Coastal Union inataka millioni 250 kama ada ya usajili wa Lameck Lawi kutoka Yanga.
Soma, Pia: Simba wakubali yaishe kwa Lameck Lawi, aanza kwenye kikosi cha Coastal Union dhidi ya Mashujaa FC...
Waheshimiwa, mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo cha Tumaini Dar es Salaam (TUDARCO) nikisomea sheria.
Nimekuwa nikikumbana na changamoto kubwa za kifedha baada ya kukosa mkopo licha ya kuambatanisha nyaraka muhimu kama cheti cha kifo cha baba yangu.
Control number yangu ni...
Ni hekima iliyo kubwa hasa kwa ili lililotokea mamlaka husika zikapitia majengo yote kariakoo kwa ukaguzi wa kina, kuanzia ngazi ya uimara wa nguzo na mengineyo ili kutupa moyo sisi wafanyabiashara kuzama kwenye maduka ya underground, napendekeza kila jengo baada ya kukaguliwa likawekwa sticker...
Wakuu,
Serikali ya Zimbabwe imetangaza kwamba Admins wa makundi ya WhatsApp yanayofanya kazi ndani ya mipaka ya nchi hiyo sasa wanatakiwa kusajili na kupata leseni kutoka kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Posta na Mawasiliano ya Zimbabwe (POTRAZ).
kwenye mkutano wa POTRAZ wa hivi karibuni...
Kama ilivyo kawaida, inapofika miezi ya 9, 10 na 11 Shida ya maji huwa kubwa katika jiji la Dar es salaam. Cha ajabu jili jambo lipo kwa miaka nenda rudi, lakini Serikali hii dhaifu ya CCM, isiyojielewa, iliyoshindwa kusolve ishu za msingi kama maji halafu inadhani bado ina legitimacy mbele ya...
Hayo si maneno yangu, ni maneno ya kilaza mmoja aliechangamka ambae anaamini kwamba umasikini unasababishwa na kutojua lugha ya kiingereza utotoni. ( 😂😂😂 utoto raha nyie/ you can just think any how)
Si yeye peke yake bali hadi ndugu zake (kaka zake) wengine wanne ( wa tumbo moja) wote...
Kwa kupitia mfumo huu, ada za magari zitakuwa ‘charged automatically’ bila kuwa na wafanyakazi wanaotembea na vimashine vya EFD kuoiga oicha magari, how?
Ni kwamba zile sehemu zote za parking za kulipia, zitafungiwa ‘Sensor’ za ‘Bluetooth’, ambapo magari yote Dar nayo yatafungiwa ‘Bluetooth ID...
Hili Tangazo linasikitisha sana kwa sisi wenye watoto.
Linasema "Nani anaijua kesho yake, leo upo kesho haupo. Leo mzima kesho sio Mzima. Nani atasomesha watoto wako"
Katika kitu ambacho viumbe vyote vyenye Pumzi ya uhai vinafanyiwa ukatili ni mauti ya umpendaye. Nyuma unaacha shida na mateso...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.