Serikali kupitia mamlakaya mawasiliano nchini TCRA inahimiza wabunifu kubuni huduma mbalimbali za kiteknolojia ili kuchochea kasi ya maendeleo na kuboresha huduma ili kurahisisha maisha
Lakini kikwazo kikubwa ni ughali wa leseni za usajili wa huduma hizo za kibunifu kwa wabunifu wanaoanza yaani...
Ikiwa bado hata nusu mwaka wa kalenda 2024 hatujafika na Hata darasa la 7 hawajafanya mitihani. Tayari shule kadhaa binafsi zimeanza kukusanya Ada kwa ajili ya wanafunzi wa Kidato cha 1 mwakani (2025). Hii si sawa.
Baadhi ya wanafunzi kutoka jamii ya kimasai, Wilaya ya Ngorongoro wanaosomeshwa na Baraza la wafugaji chini ya mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) wanadai kumekuwepo na kusuasua kwa malipo ya ada na mahitaji mengine kwa wanufaika waliopo kwenye vyuo mbalimbali nchini.
Hayo yameelezwa leo...
Lecturer anayefundisha kozi ya Research Methodologies akifukuza Wanafunzi ambao hawajakamilisha Ada.
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tumezuiwa kufanya mitihani ya Test One kwa kukosa vitambulisho vilivyo hai (Valid ID) kwa sababu ya kushindwa kumalizia Ada ya Semister ya Pili...
SAKATA LA VALID ID
Zaidi* ya robo tatu ya Wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam wameshindwa kufanya mitihani yao ya majaribio baada ya kukiuka kanuni na taratibu za mtihani za chuo kikuu cha Dar es salaam zinazowataka kuwa na kitambulisho halisi cha chuo ndani ya muhula au mwaka husika (...
Katika Hospital za Rufaa za Mikoa na Hospital za Ngazi ya Taifa na Kanda, Madaktari wana maslahi tofauti kimishahara, Daktari wa Hospital ya Ngazi ya Taifa na Kanda anamzidi mshahara Daktari wa Hospital ya Rufaa ya Mkoa wakiwa na elimu sawa.
Kuwaona hawa madaktari wakati wa kuanza matibabu...
Kwani mnatuchukulia sisi poa, kwani itawagharimu pesa ngapi kututangazia kuwa tozo zimerudi kwenye malipo ya ving'amuzi?
Leo nimefanya malipo kulipia king'amuzi risiti iliyorudi imeonesha nimekatwa Ada na Vat... au kuna tatizo kwenye uandishi wa hiyo risiti..
Kama kuna yoyote aliefanya malipo...
Ushainaa unatoa sadaka na michango kwa ajili ya ujensi wa shule lakini unashindwa kusomesha mwanao, Hii ndioo kichekeshoo kinachoendeleea yaan ada zao kama awataki mtu kusoma hapo.
Ushauri tu kwa KKKT mkumbuke n michango ya waumini kuwafikisha hapo mlipo na aim ni kusaidia waumini wenu kama...
Wadogo zetu na ndugu zetu wanaosoma Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Tabora TCOHAS hususa waliorudia masomo waliyofeli wanapitia changamoto ya ongezeko la Ada, tofauti na kiasi kilichokua kimewekwa mwanzoni.
Wakati vyuo vingine vya serikali kama hiki hakuna ongezeko hilo la Ada, jambo ambalo...
Wakuu kwema
Naombeni ushauri wa kimawazo , mimi nilikosa tuition fee nina bumu tu.
Kozi yangu ni ya miaka mitano , uwezo wa kiuchumi upo chini, nilikata rufaa kuomba mkopo upya sikupata .
Nawaza labda Kuna namna pesa hii ya meal and accomodations inaweza tumika kwenye biashara fulani then...
Chuo cha uhasibu Arusha (IAA) kimekuwa na gharama kubwa ya malipo ya Ada kulinganisha na vyuo vingine vya serikali pia mlipaji hapewe mchanganuo wa malipo hayo ya Ada.
Kiasi kilicho pelekea baadhi ya wanafunzi kusitisha masomo Kwa kukosa Ada hiyo yenye kima cha juu.
Ambapo wanatoza 1,833,000...
Akiwasilisha maelezo kuhusu Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2023, Waziri Jenista Muhagama (Waziri wa Nchi, Bunge na Uratibu) amesema Serikali inapendekeza ibara za 12, 20 na 21 zifanyiwe marekebisho kwa kuongeza hali ya Ulemavu kuwa miongoni mwa taarifa...
Kanda ya Ziwa wanapiga kelele kuhusu Makonda na namna anavyolazimisha kila mtu atii na kuongozana naye kwenye misafara.
Pamoja na elimu za viongozi wakiwemo wakuu wa mikoa na wilaya bado wamekuwa wakipeleka magari yao kwenye msafara kumpokea, kusimama jukwaa wapopolewe kisha wasindikize avuke...
JamiiForums , Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Jukwaa la Katiba (JUKATA), Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Taasisi ya Twaweza na Centre for Strategic Litigation (CSL) wametoa maoni kwenye Miswada ya Sheria ya Uchaguzi na kushauri kusiwe na gharama za kupata Kitambulisho kipya...
Amini nakwambia, hapa duniani kuna watu ambao wanahitaji kitu kimoja tu. Nacho ni mtu wa kuwaambia " hakuna tatizo kabisa endapo utafanya hivyo " au " usiogope"
Miongoni mwa watu hao ni kundi la wazazi wanao struggle kuwalipia watoto wao ada kwenye shule za kulipia za kiingereza.
Watoto...
Habari kaka? Sisi ni wazazi wa watoto wanaosoma shule ya msingi JK Nyerere, iliyopo Manispaa ya Moshi. Mwaka jana uongozi wa shule uliitisha kikao cha wazazi na kueleza nia ya serikali ya kuigeuza shule hiyo kuwa ya mchepuo wa kiingereza (English Medium school).
Katika kikao hicho wazazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.