Si imeshapitishwa sheria kwamba siyo lazima mtu kujiunga na hii shule? Ya nini kupoteza hela?Tangazo hilo hapo
By the way, ADA YA LAW SCHOOL NI KIASI GANI?
Kwani bado ni lazima kwa Mtu anayetaka kuwa Wakili kujiunga na masomo ya Taasisi hiyo?Tangazo hilo hapo
By the way, ADA YA LAW SCHOOL NI KIASI GANI?
Waajiri ukienda private law firms wanakataa kuwa kama hujapitia huko hapana. Hivyo vijana wanaamua kwenda tu!Si imeshapitishwa sheria kwamba siyo lazima mtu kujiunga na hii shule? Ya nini kupoteza hela?
Si imeshapitishwa sheria kwamba siyo lazima mtu kujiunga na hii shule? Ya nini kupoteza hela?
Kama unataka kuwa wakili ni lazima upite, ile sheria ili ondoa tu ulazima wa nafasi za kazi za serikali zinazo itaji watu walio somea sheria kua wawe na sifa ya kupita law school ivyo saivi ajira wana apply wote walio pita na ambao awajapita.Kwani bado ni lazima kwa Mtu anayetaka kuwa Wakili kujiunga na masomo ya Taasisi hiyo?
First to third/fourth year unasoma theory zaidi ila Law school una practice zaidi...why that repetition?