Ada ya kuomba mkopo wa vyuo, wasipoupata mkopo HESLB muwe mnawarudishia wanafunzi hela zao

Kimwakaleli

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2018
Posts
15,331
Reaction score
22,307
Habari Wana Jamii,Sina maneno Mengi ni hii bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu.
Huu ni mwaka wa pili mwanangu anaomba mkopo anakosa!Cha ajabu anapoomba,lazima atoe mchango wa mkopo,ambao unaenda na haurudishwi!Ifikie wakati ukikosa urudishiwe hiyo hela ya maombi au kama unaomba kwa mara nyingine,itumike ileile uliyoombea mwanzo.
Ahsanteni.
 
Ahsante mod kwa kunirekebishia kichwa Cha habari.
 
Habari Wana Jamii,Sina maneno Mengi ni hii bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu.
Huu ni mwaka wa pili mwanangu anaomba mkopo anakosa!Cha ajabu anapoomba,lazima atoe mchango wa mkopo,ambao unaenda na haurudishwi!Ifikie wakati ukikosa urudishiwe hiyo hela ya maombi au kama unaomba kwa mara nyingine,itumike ileile uliyoombea mwanzo.
Ahsanteni.
Hujui inachangia kuwapatia wengine mkopo ndomana manaomba mkopo watu 10 wanapata 3 ndio mfumo wa Maisha mpaka ukubali kubadilika
 
Sasa hapo sijui Nini!?Na kubadilika kwa kipi?! Naona hujaelewa nilichoandika,umerukia tractor.
 
Habari Wana Jamii,Sina maneno Mengi ni hii bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu.
Huu ni mwaka wa pili mwanangu anaomba mkopo anakosa!Cha ajabu anapoomba,lazima atoe mchango wa mkopo,ambao unaenda na haurudishwi!Ifikie wakati ukikosa urudishiwe hiyo hela ya maombi au kama unaomba kwa mara nyingine,itumike ileile uliyoombea mwanzo.
Ahsanteni.
Kiendacho kwa mganga..........
 
Back
Top Bottom