Kama Tanzania tungeandaa AFCON Peke yetu tungefaulu lakini kuwekwa kapu moja na walioahindwa kulipa hadi ada Samaki wameoza wote

Kama Tanzania tungeandaa AFCON Peke yetu tungefaulu lakini kuwekwa kapu moja na walioahindwa kulipa hadi ada Samaki wameoza wote

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
83,659
Reaction score
90,151
Japo CAF wamekanusha lakini aliyeshauri kuwekwa kapu Moja na Kenya na Uganda alitukosea sana.Vinchi Hadi Leo hii vinapigania njaa na kuomba omba chakula wataweza kuandaa mashindano hao?

Kenya Hadi hela ya ada wameenda kukopa ndio wakalipa hapo juzi.Wana uwanja mmja tuu ,viwanja vya mazoezi hawana hata kimoja.

Uganda hata haieleweki wanafanya nini.

Wakati Tanzania tunajenga

Viwanja 2 vipya tayari tuna viwanja 3 vinavyofaa ,ilifaa tuandae peke yetu.

View: https://www.instagram.com/p/DXb4iTygjlV/?igsh=MTlsbnc4ZnlyYW9yNA==

My Take
World Cup ya 2044 Tuandae peke yetu bila hao maskini wanaandamana huko Kwa sababu ya njaa.
 
Gdp Tanzania = 70bn usd whilist gdp Kenya is 140bn usd
Tarmac roads: Kenya 49k k.m compare with Tanzanias 16k km
Tourists earnings: Kenya 12bn USD vs 2bn usd for Tz

Sasa mwenye njaa hapo ni nani sasa
 
labda nikuulize tanzagiza wamelipa 30 million usd fasta, hiyo fedha imetoka wapi? wameitoa wapi na kwa bajeti ipi? je, ilipitishwa bungeni kwenye bunge la bajeti? unaweza kunitajia ni lini bunge lilipitisha matumizi ya hiyo fedha? thats a lot of money kwa nchi masikini kama tanzagiza ina maana kuna mahali wameitoa hiyo 30 million usd aidha wametoa kwenye bajeti ya elimu, afya, miundo mbinu au hata ustawi wa jamii, labda fedha iliyopaswa kununua dawa kwa wananchi au kulipia manesi vitendea kazi, walimu ndiyo hiyo wamelipia ada caf sasa ni nchi za communist dictatorship ndiyo zinaweza kuchukuwa fedha nje ya bajeti, kenya ina demokrasia au angalau wanajaribu kuna checks and balances hivyo kutoa zaidi ya 30 million usd ni lazima iwepo kwenye bajeti pia sasa kama haikupitishwa na bunge basi ni lazima serikali itafute hiyo fedha kwingineko na ndiyo maana wanahangaika, lkn siyo kwamba Kenya wameshindwa kulipa 30 million dollars bali ni swala la priorities.

tanzagiza hivi sasa hivi hakuna maji, hakuna passport watu wanahangika kwa maana fedha hakuna lkn wana-transfer 30 million usd kulipia mipira huo ni mfano tu kwamba they dont care about the people bali anasa ndiyo priority namba 1 na ndiyo maana labda raisi hataki kuifanyia kazi ripoti ya cag.

lkn kwa kuwa wewe unatokea islamic communist dictatorship country ambapo wanatapanya na kuchezea kwenye fedha kwenye anasa huku wananchi wakitaabika bila accountability yoyote unashindwa kuelewa logic ya Kenya kuhangaika kutafuta fedha za kulipia hiyo 30 million usd, thats a lot of money kwa nchi masikni kwanza siyo kwa nchi masikini tu bali nchi yoyote ile ambayo iko accountable to its citizens, hata kwa mfano sasa hivi ukienda labda Japan ukawaambia wakupe 30 millon usd watashindwa kuelewa waitoe wapi kwa maana kuna accountability na fedha za wananchi walipa kodi vs tanzagiza hakuna accountability yoyote rejea ripoti ya cag raisi kachukua hatua gani kwa ubadhilifu, hakuna hiyo ni dharau na kejeli kubwa sana ni kuwaonyesha dole la kati walipa kodi wanaotaabika kila siku ..
 
Japo CAF wamekanusha lakini aliyeshauri kuwekwa kapu Moja na Kenya na Uganda alitukosea sana.Vinchi Hadi Leo hii vinapigania njaa na kuomba omba chakula wataweza kuandaa mashindano hao?

Kenya Hadi hela ya ada wameenda kukopa ndio wakalipa hapo juzi.Wana uwanja mmja tuu ,viwanja vya mazoezi hawana hata kimoja.

Uganda hata haieleweki wanafanya nini.

Wakati Tanzania tunajenga

Viwanja 2 vipya tayari tuna viwanja 3 vinavyofaa ,ilifaa tuandae peke yetu.

View: https://www.instagram.com/p/DXb4iTygjlV/?igsh=MTlsbnc4ZnlyYW9yNA==

My Take
World Cup ya 2044 Tuandae peke yetu bila hao maskini wanaandamana huko Kwa sababu ya njaa.

Mdau, hujawahi kufika Kenya, unaisikia tu kwenye vyombo vya habari!!

Afcon sio viwanja tu! Je una malazi? Hivi unajua mji wa Dar hauwezi kubeba wageni 10k to 20k kwa mara moja?
 
Mdau, hujawahi kufika Kenya, unaisikia tu kwenye vyombo vya habari!!

Afcon sio viwanja tu! Je una malazi? Hivi unajua mji wa Dar hauwezi kubeba wageni 10k to 20k kwa mara moja?
Wewe ni nyumu kabisa,Kuna Nchi hapa EAC inaifikia Zanzibar na Arusha Kwa hotel za kitalii?

Achilia mbali za Dar,hizo ni supportive tuu.

Sihitaji kwenda kwenye Vinchi vya kimaskini kama Kundustan
 
Wewe ni nyumu kabisa,Kuna Nchi hapa EAC inaifikia Zanzibar na Arusha Kwa hotel za kitalii?

Achilia mbali za Dar,hizo ni supportive tuu.

Sihitaji kwenda kwenye Vinchi vya kimaskini kama Kundustan
Basi poa mwanetu uko sahihi!!
 
Back
Top Bottom