Serikali yaanzisha ada ya magari yanayoagizwa nje ili kugharamia Bima ya Afya kwa Wote

Serikali yaanzisha ada ya magari yanayoagizwa nje ili kugharamia Bima ya Afya kwa Wote

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Uanzishaji wa Vyanzo vya Mapato kwa Ajili ya Kudhibiti Maambukizi ya Ukimwi na Kugharamia Bima ya Afya kwa Wote

Kutoza magari na mashine (heavy machines) zinazoingizwa kutoka nje ya nchi kama ifuatavyo: Shilingi 50,000 kwa magari yenye ukubwa wa injini (CC) kati ya 0 -1000; Shilingi 100,000 kwa magari yenye ukubwa wa injini (CC) kuanzia 1001-1500; Shilingi 150,000 kwa magari yenye ukubwa wa injini (CC) kuanzia 1501-2500; Shilingi 200,000 kwa magari yenye ukubwa wa injini (CC) kuanzia 2501 na zaidi; Shilingi 250,000 kwa mashine (Excavators, 162 Bulldozers, Fork Lifts) zenye Heading 84.29 na 84.27

Gari 1.jpg
 
Hiyo bima itakuwa universal au itachagua mwenye nacho eongezewe asiyenacho asipate kabisa?
 
Back
Top Bottom