A
Anonymous
Guest
Baada ya kutamatika kwa muhula wa pili wa masomo kwa chuo kiukuu cha SAUT utaratibu huwa ni mtihan ya Special na supplementary za semester ya kwanza kufanyika.
Kwa ratiba ya chuo kuku cha SAUT mitihan imeanza kufanyika tarehe 12 /08 2025 na inatarajiwa kutamatika tarehe 19/08/2025 lakini kumekuwa na changamoto kwa wanafunzi ambao wanafanya mtihan ya special examination
Uongozi wa chuo kupitia kwa bursar na financial control walitangaza kuwa wanafunzi wote wanatakiwa kuwa wamemaliza kulipa ada ya mwaka wa wapewe ID za mtihani.
Lakini utaratibu wa chuo kwa miaka yote huwa ni kuwa mwanafunzi anapo maliza kulipa ada muhula wa kwanza natakiwa apewe Id ya mtihan kwa ajili ya semester ya kwanza lakini jambo la kusikitisha kuwa wnafunzi ambao hawajamaliza kulipa ada ya yote kwa mwaka mzima wemenyimwa ID.
Mara baada ya kuwa wamejitahidi kufuatilia kwa financial control aliwambia waandike barua ya kiasi ambacho wanadaiwa ili kupangiwa kulipa kiasi Fulani cha fedha kwa ajili ya kufanya mtihani.
Kwa mfano ukiwa unadaiwa laki tano 500000 ili itimie ada nzima ya mwaka ambayo ni million moja na laki tano na arobaini na mia sita kwenye kiasi ambacho unaambiwa kulipa nusu yake.
Kwa wale ambao wameshindwa kulipa nusu yake ama wanakabiliwa na upungufu wa kiasi cha fedha wameambiwa kaundika baraa ya delay special ambayo inalipiwa tsh 50000/= ili kukuwezehsa kufanya mtihan kwa mwaka ujao 2025/2026
Licha ya hivyo kwa utaratibu wa chuo kikuu cha SAUT mwanafunzi ambaye anafanya special ya semester ya kwanza anatakiwa kuwa amelipa Tsh 900000/= ili afanye mtihani halafu ikifika mwezi wa 10 amalizie hela nyingine kwa ajili ya kufanya mtihan wa muhula wa pili kwa special examination lakini tunasikitika kwa sasa chuo kimeamrisha vijana kulipa ada yote ndio upewe ID.
hali inazidi kuwa mbaya kwa wanafunzi ambao wanatoka katika mazingira magumu na licha ya hivyo ukienda kwenye uongozi viongozo wanajibu kama wnavyo jisikia huku wakitoa kauli za kejeli dhidi ya wanafunzi.
Tunauliza: Je, nafasi ya chuo kuwasaidia wanafunzi ambao wana toka katika mazingira magumu ni ipi ikiwa tunanyimwa kufanya mtihani ya muhula wa kwanza huku ukingatia bado hatujafanya mtihan ya muhula wa pili ambayo ishamalizika