Askari wa moja ya vikosi vya Ulinzi na usalama vya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Juma Abdalla Khamis (34) amekamatwa akiwa na vifuko 31 vikiwa na kete 3,198 zinazodhaniwa kuwa dawa za kulevya aina ya Heroin.
Akizungumza na Mwananchi kwa njia ya simu jana, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya...
GEITA: Mtoto Dickson Elias (5) mkazi wa Chikobe, Kata ya Butundwe, Wilaya ya Geita mwenye ulemavu wa viungo, ameuawa na baba yake mzazi kisha kuzikwa porini kwa madai ya kushindwa kuendelea kumlea baada ya mama mzazi wa mtoto huyo kurudi kwao.
Kufuatia mauaji hayo, Jeshi la Polisi Mkoa wa...
Nianze kwa kukupa ‘intro’ ya stori kabla sijakushushia mkeka kamili, ipo hivi hapa mtaani kwetu kuna mtoto wa kike wa Shule ya Msingi Barracks, Dar es Salaam, amefanyiwa ukatili kwa kubakwa na watu watatu katika nyakati tatu tofauti.
Hapa ninavyoandika mistari hii huyo binti haendi shule tena...
Jeshi la polisi mkoani Mwanza limemkamata na linaendelea kumhoji Godless Mushi (39) mfanyabiashara wa kuza vifaa vya magari kwa tuhuma za kujaribu kumbaka mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka mitano
Taarifa ya jeshi la polisi kwa vyombo vya Habari inasema mnamo Aprili 2/2023 saa nne usiku...
Nani waliochota mabilioni haya. Hili ndilo swali ambalo wengi wanajiuliza baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kubaini ufisadi wa Sh4.8 bilioni za mfuko wa kufa na kuzikana ndani ya Jeshi la Polisi nchini.
Awali, ufisadi huu uliibuliwa na gazeti la Mwananchi...
Maandalizi ya mazishi ya Sophia Mohamed (40) mkazi wa Kijiji cha Kipereza Kiteto akidaiwa kujinyonga kukwepa usumbufu wa michango sambamba na mimea yake kuathiriwa na jua. Picha na Mohamed Hamad.
Kiteto. Mkazi wa Kijiji cha Kiperesa wilayani Mkoa wa Manyara, Sophia Mohamed (40) amejinyonga hadi...
GEITA.
Kuna tukio la mauaji limetokea Mkoa wa Geita Wilaya ya Geita.
Mwalimu Emmanuel Peter Chacha wa shule ya msingi Igaka iliyoko halmashauri ya Wilaya ya Geita ameuawa Leo March 15 Kwa kuchomwa kisu na mwalimu mwenzake.
Marehemu alichomwa kisu wakati akielekea darasani kufundisha...
Mtoto wa mkazi wa Dar es Salaa, Aisha Sijavala wa, anayesoma Shule ya Msingi Olympio ya Dar es Salaam anadaiwa kupigwa hadi kupasuliwa jicho na mwalimu wake.
Taarifa za mtoto huyo kupasuliwa jicho, zimetolewa na ndugu wa familia ya Sijavala jina limehifadhiwa, ambaye alisema, tukio hilo...
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia mwanaume mmoja, mkazi wa Mero, wilaya ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro kwa madai ya kumuua mkewe na kumjeruhi mtoto mchanga kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa mapenzi.
Mwanamke huyo ambaye anatambulika kwa jina la Fausta Tesha (26) aliuawa kwa kukatwa...
JESHI la Polisi linachunguza kifo cha mwanafunzi wa darasa la nne Shule ya Msingi Kambarage wilayani Kibaha mkoani Pwani, Tatu John ambaye alikutwa amejinyonga kwa kutumia kamba ya chandarua kwenye chumba cha kulala nyumbani kwao.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Pius Lutumo alithibitisha...
Mkazi mmoja wa kigoma alie zikwa miezi tisa nyuma kwa ajali ya gari aoneka kijiji jirani siku ya jana, wanainchi walio mzika waenda kuchimba kaburi hilo la marehemu na kukuta mabaki ya mifupa na kuipeleka kwa mkemia mkuu kwa vipimo ya DNA kujua kwamba alie zikwa na alie hai ni mtu mmoja au...
Mwanza. Licha ya hila za askari polisi kutaka kumfichia siri mkuu wao, jitihada binafsi za Hidaya Somba zilisaidia kutambua alikofichwa mwanaye, Mohamed Khatibu (29) aliyekamatwa akiwa nyumbani kwao kwa tuhuma ambazo hazikubainishwa na alipofuatiliwa ikaelezwa hayupo mikononi mwa polisi...
Wakazi wa Kaunti ya Kirinyaga wameibua wasiwasi kuhusu visa vya watoto kujitoa uhai baada ya mtoto wa miaka 10 kujiua katika Kijiji cha Kibingoti Kaunti Ndogo ya Ndia.
Mwanafunzi huyo wa darasa la 4 anasemekana kujinyonga ndani ya nyumba yao katika kijiji cha Kibingoti siku ya Jumanne.
Kwa...
Mtumishi wa Jeshi la Magereza wilayani Mafia Mkoa wa Pwani (jina limehifadhiwa) anadaiwa kukutwa akiuza dawa za Serikali katika duka lake binafsi kinyume na sheria, kanuni na maadili yanayohusika na utoaji wa huduma za afya.
Hayo yalibainika jana baada ya Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA)...
Mkazi wa Kibaha Mkoa wa Pwani, Maxmilian Malima (62) amepandishwa kizimbani akikabiliwa na tuhuma za kumbaka mwanafunzi wa darasa la sita Shule ya Msingi Kilangalanga.
Akisoma maelezo ya awali leo Jumanne Desemba 13, 2022 mwendesha mashtaka wa Serikali, Rose Ishabakaki akisaidiana na Eliza...
Zefrin Kimolo Lubuva ambaye aliwahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Singida, ameshtakiwa kwa Matumizi Mabaya ya Ofisi na Ubadhirifu wa Tsh. Milioni 7.25
Fedha hizo alilipwa kama posho za kujikimu kwa miezi 6 kuanzia Desemba 2021 hadi Juni 2022 wakati uteuzi wake ulitenguliwa na Rais...
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT) Mwanza, Hamida Mussa maarufu 'Mama Mwakitosi' (64) anadaiwa kuuawa kwa kunyongwa na mtandio shingoni na mfanyakazi wa ndani ambaye alitokomea kusikojulikana baada ya tukio hilo.
Mwili wa Hamida ulikutwa jana Jumanne Novemba 29, 2022 nyumbani...
Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Kasanga iliyopo Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, Michael Royan (31) anadaiwa kujiua kwa kunywa sumu katika nyumba ya kulala wageni ya ‘gesti’ iliyopo Manispaa ya Sumbawanga mkoani humo.
Akizungumzia tukio hilo leo Jumanne Novemba 29, 2022 Kamanda wa Polisi mkoani...
Mlinzi wa kampuni ya Suma JKT, Osea Kashiririka (21) amefariki dunia baada ya kujipiga risasi sehemu ya shingo kwa kutumia bunduki.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Abdi Issango amesema tukio hilo limetokea leo Jumatatu Novemba 28 majira ya saa 5:30 asubuhi maeneo ya Benki ya Azania jengo...
Watoto wawili wamefariki dunia na mmoja kunusurika kifo, baada ya mama yao mzazi kuwapa sumu ambayo ni dawa aina ya Tiktik ya kuoshea mifugo, kisha na yeye kunywa.
Akizungumza leo Jumanne, Novemba 22,2022, Kamada wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Filemon Makungu amesema tukio hilo limetokea Novemba 20...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.