Rais wa World Anti-Doping Agency (WADA), Witold Bańka, yuko Kenya kwa ziara rasmi ya siku 3, huku vita dhidi ya matumizi ya dawa zilizopigwa marufuku katika michezo ikiwa kileleni mwa ajenda yake.
Bańka aliwasili Nairobi Jumapili na kupokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo...