adam na eva

  1. Braza Kede

    Kumbe Adamu alikuwa na mke zaidi ya Hawa?

    Wakuu hii ni kwa mujibu wa nguli wa mambo ya imani mzee wa upako. Anasema huyo mama yetu aliumbwa sambamba na Adamu Jina lake aliitwa Lilith Baadaye alizinguana na Adamu akasepa zake kwenda kuanzisha life yake solo nje ya bustani ya Eden. Ndio ikabidi aumbwe Hawa kutoka ubavu wa Adamu Sasa...
  2. Pdidy

    Hivi Kaini alimwoa nani na walikuwa wanne tu?

    Huwa nawaza mpaka sasa hili jambo Adam alikuwa na Eva wakatupa Kaini na Abeli Sasa nawaza Kaini alimwoa nani?
Back
Top Bottom