adam

Adam (Hebrew: אָדָם‎‎, Modern: ʼAdam, Tiberian: ʾĀḏām; Aramaic: ܐܕܡ; Arabic: آدَم‎, romanized: ʾĀdam; Greek: Ἀδάμ, romanized: Adám; Latin: Adam) is a figure in the Book of Genesis of the Hebrew Bible and Christian Bible, and also in the Quran. According to the creation myth of the Abrahamic religions, he was the first man. In both Genesis and Quran, Adam and his wife were expelled from the Garden of Eden for eating the fruit of the tree of knowledge of good and evil.
Various forms of creationism and biblical literalism consider Adam to be a historical person. Scientific evidence does not support the idea that the entire human population descends from a single man.The word adam is also used in the Bible as a pronoun, individually as "a human" and in a collective sense as "mankind". Biblical Adam (man, mankind) is created from adamah (earth), and Genesis 1–8 makes considerable play of the bond between them, for Adam is estranged from the earth through his disobedience.

View More On Wikipedia.org
  1. Ngurukia

    Adam Mchomvu ana nini hasa dhidi ya Clouds kushindwa kumdhibiti?

    Limekuwa ni suala linalojirudia kila siku kwa Adam Mchovu kama sio kupiga watu basi kutukana ama kufanya mambo ya fedheha. Kushindwa kwa uongozi wa Clouds Fm kuweza kumdhibiti na kumpa adhabu stahiki basi inamaanisha aidha anafanya upuuzi wake kwa baraka za uongozi wake ama ni mkubwa mno kuliko...
  2. Jemima Mrembo

    RIWAYA YA KUSISIMUA:- Vuta N'Kuvute - Shafi Adam Shafi

    Sura ya Kwanza Mara tu baada ya kuvunja ungo, Yasmin aliozwa mume. Alikuwa mume wa jamii yake ya Ithnashiria ambaye alikuwa akiishi jirani naye hapo Mtendeni. Alikuwa ni mume asiyelingana naye hata kidogo. Si kwa umri wala tabia kwani wakati Yasmin ni kigoli wa miaka kukmi na tano tu, mumewe...
  3. mtetezi wa MAGU

    Asali aliyolambishwa Mbowe na Rais Samia ni sawa aliyolambiswa Adam na Eva

    Kwa wale Wasomaji wa Biblia wanaungana na mimi, Eva alifanikiwa kumshawishi Adam hata akatenda kile ambacho alikatazwa kukifanya, maneno matamu Eva (ASALI) yalimshawishi Adam kutokumtii Mwenyezi Mungu nakujikuta ameanguka dhambini. Lakini Pia Delila alifanikiwa kumshawishi na ASALI Samson...
  4. B

    Alhaj Adam Kimbisa - CCM imekosa mvuto, kimechoka

    Alhaj Adam Kimbisa - CCM imekosa mvuto, kimechoka Mwanachama mkongwe Alhaj Adam Kimbisa akitoa ushahidi wa CCM mkoa wa Dodoma kuishiwa pumzi ni takwimu za kura za urais 2015 mkoa wa Dodoma ulikuwa wa pili Tanzania kwa kupiga idadi kubwa kura kwa mgombea wa urais wa CCM . Lakini uchaguzi wa...
  5. Mwanangikolo

    Adam Mchomvu anakula unga?

    Wadau nimeamua niulize hili swali ili nipate uhakika! Ni usiku huu nipo nimetulia hapa mageto nasikiliza Clouds FM, nadhani itakuwa ni kipindi cha Soso Fresh Friday (sina uhakika), Adamu Mchomvu anahojiwa na Meena Ally na Soudy Brown nadhani ni kuhusu Fiesta sijui, Mchomvu yupo Kigamboni...
  6. S

    MWANZA: Hivi RC Adam Malima kaletwa kwa kuwa ana uwezo au mkakati tu wa kisiasa?

    Nasema hivo kwa kuwa tokea aingie kinachofaanyika ni ujuaji na kubishana tu na watendaji wenzake! Mosi! Mfano mzuri ni ujenzi wa jengo la uwanja wa ndege MWANZA maana mkuu wa mkoa amesikika akibishana na TAA ambayo imepanga kuanza ujenzi wa jengo kubwa ambayo itaaccomodate abiaria wa...
  7. crankshaft

    Kama wazazi wetu ni Adam na Hawa, kwanini kuna races tofauti duniani?

    Waafrica, wachina wahindi, wakorea, warusi, wazungu na waarabu. Ukiwaangalia wawa wote unaweza kuwatambua kwa race zao kutokana na kutofautiana kwao. Ni kwa nini ipo hivi kama origin yetu ni moja (adam na hawa)? Ni kwa nini hapa africa kwa mfano, kusingekuwa na mchanganyiko wa races kwa asili...
  8. DENG XIAOPING

    Mtu Mweusi [Mwafrika] sio uzao wa Adam na Hawa

    Awali ya yote ningependa kuwasalimu wanajamii wenzangu habari zenu, natumai ni wazima wa afya. Nina maswali kadhaa ambayo ningependa kupata majawabu kutoka kwenu wana Jamiiforums yatakayo kuwa msaada na faida kwa jamii nzima na kubadili taswira na mtazamo wa jamii nzima juu ya asili ya mtu...
  9. raxx

    Nini kiliendelea baada ya Adam kupewa usingizi mzito Eden?

    Moja kwa moja kwenye mada. Baada ya Mungu kutaka kumuumba Mwanamke Adam alimpa usingizi mzito na jambo moja alilofanya ni kuchomoa mbavu moja kwa Adamu kwa ajili ya material ya kumuumba Mwanamke. Je, ni hilo tu ndilo lililofanyika Adam akiwa usingizini? Pengine hichi ndicho kipindi Mungu...
  10. raxx

    Je, Adam aliumbwa akiwa na maumbile ya kiume?

    Moja kwa moja kwenye mada haingii akilini kwamba Adamu aliumbwa na maumbile ya kiume mfano korodani, mfumo wa utengenezaji wa manii, uwezo wa kusimamisha uume, sexual hormones, Nyege Hapakuwa na mwanamke kwa nini apewe hivyo vitu Hoja yangu: Adamu aliumbwa akiwa sio mwanaume
  11. Tango73

    George Mpole jifunze kwa Adam Salamba

    George upo bawna mdogo! Kwa sasa Simba na Yanga sio vilabu vya kujiunga navyo ukiwa tayari umukata kuchezea timu ya taifa. Salamba Adam kamaliza kipaji chake cha Goal getter baada ya kujiunga na mkeka wa Simba. Yusuph Mhilu kaua mpira wake baada kujiunga na mkeka wa Simba. Nasema mkeka wa...
  12. KENZY

    Tusiwalaumu sana Adam na Eva

    Hiyo couple ya awali tusiilaumu sana kwa kula lile tunda!,laiti wasingekula wao naimani kabisa kuna mwamba huko na pisi kali yake wangekula tu!.. just jiangalie hata we mwenyewe na huyo partner wako tu msingekula kweli..😃 By the way alieanza kula ni eva akafata Adam unafikiri nini kama Adam...
  13. Mohamed Said

    Nyumba ya Ahmed Adam aliyofikia Baba wa Taifa wakati wa kupigania Uhuru inakarabatiwa

    NYUMBA YA AHMED ADAM ALIYOFIKIA MWALIMU NYERERE MIKINDANI INAKARABATIWA Mwaka ulikuwa ni 1955 na katika mkutano mkuu wa kwanza wa TANU ulifanyika Ukumbi wa Hindu Mandal Dar es Salaam Lindi iliwakilishwa na Salum Mpunga na Ali Ibahim Mnjawale. Baada ya mkutano wawili hawa walibakia kwa ajili ya...
  14. Determinantor

    Ni wakati sahihi wa Kingai kurejesha fedha walizompora Adam na wenzake

    Mbowe ameshinda na sasa ni wakati sahihi kabisa wa Kingai na genge lake kurejesha fedha walizompora Adam na wenzake pale Rau Moshi. Waanze kujichanga faster then tutawashtaki as individuals
  15. N

    Adam Salamba apigwa chini na Js Sourra ya Algeria

    Dogo ana bahati ya kupata teams nzuri ila mwisho wake huwa mbaya sijui kwa nini? anyway hivi salamba ana miaka 22 kumbe akiwa simba alikuwa na miaka 18?
  16. Sky Eclat

    Anaitwa Souleyman Adam Khamis ana umri wa miaka 26 ana urefu Wa mita 2.45

    Anaitwa Souleyman Adam Khamis ana umri wa miaka 26 na yeye ndiye mtu mrefu kuliko wote nchini Tchad 🇹🇩 ana urefu Wa mita 2.45
  17. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    Hii gari inaitwa Ford consul model ya mwaka 1954 ni gari ambayo ilimilikiwa na Adam sapi mkwawa alikuwa spika wa bunge la Tanzania

    Remember
  18. C

    Sikiliza clip hii ili ujue a.k.a ya nyoka aliyemdanganya Adamu kule eden

    Imenishangaza kidogo kuona clip hii ambayo inazungumzia kiumbe aliyemlazimisha adamu kumwasi Mungu. Ina maana huyu joka, ndiye anayeendelea kudanganya watu wauane, wachinje wenzao na kuendeleza vurugu duniani hadi sasa? Naomba uwafikishie hii clip watu wote wanaomwabudu nyoka ili yamkini...
  19. Erythrocyte

    Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021

    Ikiwa leo ni tarehe 2 November 2021 , kesi hii inayobeba sehemu kubwa ya habari za Tanzania inaendelea tena Mahakamani hapo . Baada ya ushahidi wa Muuza Mbege wa Rau Kukamilika , Leo upande wa Jamhuri utaleta shahidi wa Tano miongoni mwa wale 24 waliopangwa kutoa ushahidi huo . Kama kawaida JF...
  20. Greatest Of All Time

    RC Adam Malima: Yanga ina mashabiki wengi kuliko Simba

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Adam Kighoma Malima, amefunguka ya moyoni kuhusu timu mbili kongwe hapa nchini. RC Malima amesema " Mtu yoyote anayejua mpira anajua wazi Yanga ina mashabiki wengi kuliko Simba" Je Mkuu wa Mkoa huyu wa Tanga, takwimu hizo amezitoa wapi? ili nasisi mashabiki tuweze...
Back
Top Bottom