Wadau nimeamua niulize hili swali ili nipate uhakika!
Ni usiku huu nipo nimetulia hapa mageto nasikiliza Clouds FM, nadhani itakuwa ni kipindi cha Soso Fresh Friday (sina uhakika), Adamu Mchomvu anahojiwa na Meena Ally na Soudy Brown nadhani ni kuhusu Fiesta sijui, Mchomvu yupo Kigamboni...