addiction

  1. M

    Nahisi nina uraibu wa ngono

    Watu wanasema mficha maradhi kifoo huumbua ..mwanzo nilijua ni mihemko tu ya ujana na umri utakavyozidi kwenda mambo yatakuwa tofauti lkn sasa umri umeenda na kasi imekuwa n 5G,hii kitu ni balaa n zaidi ya njaa na kiu. Na si kwamba natembea na wanaume hovyo hapana ila huyo mmja niliye nae huwa...
  2. K

    Hivi addiction ya pombe ina dawa kweli?

    Nina ndugu yangu alikuwa ameacha pombe kama miaka minne hivi iliyopita. Sasa hizi sikukuu za juzi: Akaniambia: "Aisee, ngoja niinjoi kinywaji kuanzia krismasi mpaka mwaka mpya tu, halafu mambo yarejee kama awali." Jamani, Leo hii (tarehe 15/1/2022) yuko kaunta ana bia ya nne! Jamani kuna...
  3. E

    SoC01 Social media abuse. “threatening disease to talk about”

    INTRODUCTION In a world of 7.9 billion people, there are about 4.48 billion social media users around the world in July 2021, equating to almost 57 percent of the total global population. That equates to annualised growth of 13.1 percent, or an average 16½ new users every single second. THE...
  4. Makirita Amani

    USHAURI: Jinsi ya kuondoka kwenye uraibu wa kucheza Kamari (Betting)

    Karibu rafiki yangu mpendwa kwenye makala hii ya ushauri wa changamoto zinazotuzuia kupiga hatua na kufanikiwa kwenye maisha. Kwenye makala hii tunakwenda kujifunza jinsi ya kuondoka kwenye uraibu wa kucheza kamari au kama ilivyo maarufu kwa jina la betting. Hii ni changamoto ambayo imekuwa...
Back
Top Bottom