adhabu ya kifo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Sheriff

    Adhabu ya kifo ni adhabu ya kikatili inayokiuka Haki ya Mtu ya kuishi

    Tanzania imekuwa na sheria za adhabu, katika Tanzania Bara na Zanzibar, ambazo zinajumuisha hukumu ya kifo kama moja ya adhabu kwa uhalifu, ikiwa ni pamoja na mauaji. Hata hivyo, Tanzania bado ni moja ya nchi ambazo zimefuta adhabu ya kifo katika vitendo, kwani utekelezaji wa mwisho uliorekodiwa...
  2. BARD AI

    Nchi za Afrika zilizofuta Adhabu ya Kifo kwa Makosa yote

    1981 - Cape Verde 1990 - Msumbiji, Namibia, Sao Tome 1992 - Angola 1993 - Guinea-Bissau, Seychelles 1995 - Djibouti, Mauritius 1997 - Afrika Kusini 2000 - Ivory Coast 2004 - Senegal 2007 - Rwanda 2009 - Burundi, Togo 2010 - Gabon 2015 - Congo-Brazzaville, Madagascar 2016 - Benin 2017 - Guinea...
  3. Pang Fung Mi

    Uislamu na Adhabu ya kifo ni ubatili wa Imani ya haki

    Hello JF, Hivi asili ya watu wanaomriwa kuuwa au kunyongwa baada ya kukutwa na makosa ya yanauoadhibiwa na nguzo za kidini je, wapo wa Royal family au ndio wale makabwela wale wenye African origin? Mwenye history ya hukumu hizo aweke bayana kama hizo Adhabu hazikuwa kwa wenye asili ya Africa...
  4. BARD AI

    Mzee Pinda: Adhabu ya kifo ifutwe nchini

    Hoja ya kufutwa kwa adhabu ya kunyongwa inazidi kupata nguvu, baada ya Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda kuungana na wadau wengine kutaka adhabu hiyo ifutwe na badala yake iwe kifungo cha maisha. Mapendekezo ya Pinda yanaungana na wadau mbalimbali, wakiwamo mawakili, watetezi wa haki za...
  5. GENTAMYCINE

    Napingana na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda anayetaka Adhabu ya Kifo ifutwe

    Kwanini GENTAMYCINE nataka iendelee kuwepo na tena kama Watekelezaji wakiwa hawapo Mimi nipo tayari Kuwasaidia. 1. Adhabu ya Kifo inaokoa Gharama za Walipa Kodi katika Kuwatunza 2. Adhabu ya Kifo inasaidia Kuokoa muda kwa Watendaji wa Magereza Kuwatunza Wahalifu Wanaotaka a Kunyongwa 3...
  6. BARD AI

    Ripoti: Hali ya Utekelezaji wa Adhabu ya Kifo Barani Afrika

    Nchi 13 za Afrika (24%) Bado zinatekeleza Hukumu ya Kifo katika Sheria zake na Utendaji wake wakati Nchi 25 sawa na (46%) zimemeifuta kabisa. Nchi 15 za Afrika (28%) ikiwemo Tanzania zinaruhusu Adhabu ya Kifo kwa uhalifu wa kawaida, lakini hazijaitumia kwa zaidi ya miaka 10 na baadhi zimeanza...
  7. BARD AI

    Rais Hakainde Hichilema afuta rasmi Adhabu ya Kifo Zambia

    #JFDATA: Kati ya mwaka 2015 hadi Desemba 2021, Watu 28,670 Walihukumiwa Kifo duniani kote kwa njia ya Kunyongwa, Kupigwa Risasi, Kukatwa Kichwa na Kuchomwa Sindano ya Sumu. Mwaka 2021 pekee Watu 2052 Walipewa Adhabu ya Kifo kwenye Nchi 56 ikiwa ni Ongezeko la 39% na 579 kati yao Wameshauawa...
  8. BARD AI

    Iran: Msanii aliyepinga ukandamizaji wa Serikali, akabiliwa na hukumu ya kifo

    Kwa mujibu wa Waendesha Mashtaka, Toomaj Salehi anatuhumiwa kueneza Propaganda, Kushirikiana na Serikali yenye Uadui na Kuchochea Vurugu. Salehi alikamatwa Oktoba 2022 baada ya kuunga mkono maandamano ya kupinga kifo cha Mahsa Amini, msichana wa miaka 22 aliyefariki akiwa chini ya Polisi kwa...
  9. BARD AI

    Equatorial Guinea imekuwa nchi ya 24 Afrika kufuta Adhabu ya Kifo

    Rais Teodoro Obiang Nguema Mbasogo aliyekaa Madarakani kwa miaka 43 ametia saini Sheria hiyo mpya itakayoanza kutekelezwa ndani ya siku 90 baada ya kuchapishwa katika Gazeti la Serikali. Mara ya mwisho adhabu ya kifo kutekelezwa nchini humo ilikuwa mwaka 2014. Pamoja na uamuzi huo, Amnesty...
  10. Notorious thug

    Kuna haja ya kuwepo kwa adhabu ya kifo

    Kumekua na matukio mengi sana kwa watu kuuliwa maeneo mbali mbali nchini kuanzia mwishoni mwa mwaka 2021 hadi leo hii kila siku yanaibuka mauaji sababu zikiwa wivu wa mapenzi,dhuluma,tamaa ya mali na hasira. Binafsi naona kwa hali ilivyo sasa uhai wa binadamu umekua kitu cha kuchezea kama...
  11. mwanamwana

    Mwanza: Mmiliki wa mabasi ya J4 ahukumiwa adhabu ya kifo kwa kuwaua watu wawili kwa kukusudia

    Mahakama Kuu Mwanza imemhukumu adhabu ya kifo mfanyabiashara wa kampuni ya mabasi J4, Jumanne Mahende (45) baada ya kumtia hatiani kwa makosa ya kuwaua watu wawili kwa kukusudia. Jumanne alikuwa akikabiliwa na Kesi ya mauaji namba 131 ya mwaka 2015 Anadaiwa kuwa Julai 13, mwaka 2015, saa 4...
  12. kimsboy

    Mashoga wanatakiwa wapewe adhabu ya kifo hapo ndio tutaokoa kizazi hiki

    Kila siku mambo yanazidi kuzidi unga nadhani kama taifa tunapaswa tuchukue maamuzi magumu sana Hatuwezi kuokoa taifa kwa style hii nenda arusha muone ushoga ulivyoharibu vijana dar ni cha mtoto arusha ndo hali mbaya.... Hatuwezi kujenga taifa kwa hali ilivyo mbaya... Nashauri mashoga wapewe...
  13. VoiceOfReason

    Adhabu ya kunyonga hadi kufa imepitwa na wakati?

    "Why do we Kill People who Kill People to Show that Killing People is Wrong?" Je, ni sawa kuwa na Hukumu ya Kifo? Baada ya yule Chizi wa Norway kuua kadamnasi ya watu (ukizingatia Norway life Sentence ni limited kwa miaka 21 tu) Je ni muhimu kuwa na hukumu ya kifo? Ni nini hasa faida ya hukumu...
Back
Top Bottom