Tangu mwaka 2021 mwezi wa 11 tulipopata kilio cha mabando kupanda bei hakuna msanii yoyote hapa bongo alieweza kugonga views milioni 1 ndani ya masaa 24, ipo lebo flani ilikuwa inamwagia views milioni 1 chini ya dakika 1 kwa kila msanii lakini wakaja kuumbuka.
Diamond kaweka rekodi ya ngoma ya...
Tairi ni kama ifuatavyo:
2 pieces Pirelli P Zero (PZ4) size 265/45R 18
2 pieces Ironman iMOVE GEN2 size 245/50R 18
Rim size ni inchi 18.
Hizi tairi niliagiza brand new kutoka USA mwezi February 2022 na zimetembea chini ya kilomita 20. Ni mpya tuseme.
Sababu ya kuuza ni kwamba mara baada ya...
Nipo hapa kwenye kisiwa cha marashi ya karafuu jioni nikaenada zangu barabarani kuzurura nikakutana na wauza samaki wa kukaanga sikuuliza bei maana huku bongo huwa tunawanunua kwa buku ikizidi sana buku jero, nikawagonga samaki watatu palepale nikamaliza natoa elfu tano ili nirudishiwe chenji...
NYERERE DAY 2022: MWANZO WA HARAKATI ZA KUDAI UHURU - UCHAGUZI WA TAA 1953 (NYONGEZA YA PICHA)
Katika video iliyotangulia kipindi cha Zumari watu wengi wamevutiwa na historia ya uchaguzi wa TAA wa 1953 katika ya Abdul Sykes na Julius Nyerere.
Maswali yamekuwa mengi kwangu kuwa imekuwaje miaka...
MAANA YA NAFAKA.
Nafaka ni mbegu zinazotokana na mimea aina ya nyasi zilimwazo mashambani kama mahindi, mtama, mpunga, ngano na hutumika kama chakula kwa ajili ya binadamu na hata mifugo.
Kumekua na kasumba ya mara kwa mara ya serikali ya Tanzania kupiga marufuku nafaka hasa mahindi kuuzwa nje...
''Peter Colmore signed Edouard Masengo the gifted guitarist from Elizabethville, Belgian Congo to promote Coca-Cola.
Masengo had come to Nairobi with a group called Je-Co-Ke meaning, Jean Comedian Katanga.
Colmore who was already in broadcasting was informed that there was a young man in town...
Picha hiyo hapo chini inatoka kwenye Maktaba ya marehemu Ally Sykes.
Mimi picha hii nilikuwanayo lakini ilikuwa nakala iliyochoka kupita kiasi na ni hiyo iliyo hapo chini.
Kulia ni Haruna Iddi Taratibu (Central Province), Saadan Abdu Kandoro (Lake Province), Julius Nyerere (Eastern Province)...
Frank ni mtoto wa mwalimu na baba yake alimkazia sana kwenye elimu yeye na ndugu zake. Kwa miaka yote wakiwa shule ya msingi baba yao hakuwahi kwenda kunywa bia bar, alirudi nyumbani na kuoga na kuanza kuwa mwalimu wa watoto wake.
Topic za hesabu Frank alifundishwa mwezi mmoja kabla ya wenzake...
Ugali ni chakula tunachokula kila siku, iwe ugali wa mahindi, wa mihogo, mtama au uwezo. Hiki ni chakula tunachokimudu watu wengi, hata ukikosa mboga nyanya, kitunguu, ndimu, pilipili na chumvi kidogo vitakusaidia kumaliza portion ya ugali.
Chakula kinacholiwa na wengi kuadimika katika sherehe...
Habarini wapendwa wana Jf, natumai mu wazima wote na mwaendelea vyema.Nisipoteze muda wenu mwingi hebu niwajuze bidhaa adimu duniani.
Katika dunia wengi wetu tunaishi na kununua bidhaa mbalimbali na nyingi tunazinunua kwa kupenda au zingine kwa kutokupenda ila zatuhitaji tununue, lakini pia zipo...
Na Mary Mosha, MOSHI
HUDUMA za mazishi na uuzaji wa majeneza kwenye Mji wa Moshi zimetajwa kuongezeka katika siku za karibuni.
Kutokana na ongezeko hilo, baadhi ya watoa huduma wameiomba serikali kuona namna ya kuwasaidia wasilipe kodi na tozo mbalimbali kwa kuzingatia wanatoa huduma na sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.