adimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tangu mabando yapande bei, Diamond pekee kaweza kupata views milioni kwa siku, kahamia muziki unaoweza kusikika na kila mtu ila ni wachache wanauimba

    Tangu mwaka 2021 mwezi wa 11 tulipopata kilio cha mabando kupanda bei hakuna msanii yoyote hapa bongo alieweza kugonga views milioni 1 ndani ya masaa 24, ipo lebo flani ilikuwa inamwagia views milioni 1 chini ya dakika 1 kwa kila msanii lakini wakaja kuumbuka. Diamond kaweka rekodi ya ngoma ya...
  2. C

    INAUZWA Nauza Tairi Adimu na Mpya za Pirelli/ iMove

    Tairi ni kama ifuatavyo: 2 pieces Pirelli P Zero (PZ4) size 265/45R 18 2 pieces Ironman iMOVE GEN2 size 245/50R 18 Rim size ni inchi 18. Hizi tairi niliagiza brand new kutoka USA mwezi February 2022 na zimetembea chini ya kilomita 20. Ni mpya tuseme. Sababu ya kuuza ni kwamba mara baada ya...
  3. Zanzibar samaki zenu huwa mnauzia wapi? Mbona adimu sana

    Nipo hapa kwenye kisiwa cha marashi ya karafuu jioni nikaenada zangu barabarani kuzurura nikakutana na wauza samaki wa kukaanga sikuuliza bei maana huku bongo huwa tunawanunua kwa buku ikizidi sana buku jero, nikawagonga samaki watatu palepale nikamaliza natoa elfu tano ili nirudishiwe chenji...
  4. Nyerere DAY 2022: Picha adimu

    NYERERE DAY 2022: MWANZO WA HARAKATI ZA KUDAI UHURU - UCHAGUZI WA TAA 1953 (NYONGEZA YA PICHA) Katika video iliyotangulia kipindi cha Zumari watu wengi wamevutiwa na historia ya uchaguzi wa TAA wa 1953 katika ya Abdul Sykes na Julius Nyerere. Maswali yamekuwa mengi kwangu kuwa imekuwaje miaka...
  5. K

    SoC02 Biashara ya nafaka (mahindi) nje ya nchi ni fursa muhimu, kuzuia ni kuikataa fursa ambayo ni adimu kuipata

    MAANA YA NAFAKA. Nafaka ni mbegu zinazotokana na mimea aina ya nyasi zilimwazo mashambani kama mahindi, mtama, mpunga, ngano na hutumika kama chakula kwa ajili ya binadamu na hata mifugo. Kumekua na kasumba ya mara kwa mara ya serikali ya Tanzania kupiga marufuku nafaka hasa mahindi kuuzwa nje...
  6. Picha Adimu Kutoka Maktaba ya Ally Sykes: Mwanamuziki Eduardo Masengo na Julius Nyerere Rais wa TANU 1958

    ''Peter Colmore signed Edouard Masengo the gifted guitarist from Elizabethville, Belgian Congo to promote Coca-Cola. Masengo had come to Nairobi with a group called Je-Co-Ke meaning, Jean Comedian Katanga. Colmore who was already in broadcasting was informed that there was a young man in town...
  7. Picha Adimu za TANU Kutoka Maktaba ya Marehemu Ally Sykes

    Picha hiyo hapo chini inatoka kwenye Maktaba ya marehemu Ally Sykes. Mimi picha hii nilikuwanayo lakini ilikuwa nakala iliyochoka kupita kiasi na ni hiyo iliyo hapo chini. Kulia ni Haruna Iddi Taratibu (Central Province), Saadan Abdu Kandoro (Lake Province), Julius Nyerere (Eastern Province)...
  8. Hapa Zanzibar tunapiga "mnyama" kama kawa japokuwa adimu

    Chanzo: NBS
  9. Mapenzi ya kweli ni adimu kama dhahabu na wengi tunayagundua baada ya kuyapoteza

    Frank ni mtoto wa mwalimu na baba yake alimkazia sana kwenye elimu yeye na ndugu zake. Kwa miaka yote wakiwa shule ya msingi baba yao hakuwahi kwenda kunywa bia bar, alirudi nyumbani na kuoga na kuanza kuwa mwalimu wa watoto wake. Topic za hesabu Frank alifundishwa mwezi mmoja kabla ya wenzake...
  10. Ugali ni chakula adimu katika sherehe, sababu ni nini?

    Ugali ni chakula tunachokula kila siku, iwe ugali wa mahindi, wa mihogo, mtama au uwezo. Hiki ni chakula tunachokimudu watu wengi, hata ukikosa mboga nyanya, kitunguu, ndimu, pilipili na chumvi kidogo vitakusaidia kumaliza portion ya ugali. Chakula kinacholiwa na wengi kuadimika katika sherehe...
  11. Bidhaa adimu zaidi na Adhimu Duniani

    Habarini wapendwa wana Jf, natumai mu wazima wote na mwaendelea vyema.Nisipoteze muda wenu mwingi hebu niwajuze bidhaa adimu duniani. Katika dunia wengi wetu tunaishi na kununua bidhaa mbalimbali na nyingi tunazinunua kwa kupenda au zingine kwa kutokupenda ila zatuhitaji tununue, lakini pia zipo...
  12. Moshi: Majeneza yaadimika

    Na Mary Mosha, MOSHI HUDUMA za mazishi na uuzaji wa majeneza kwenye Mji wa Moshi zimetajwa kuongezeka katika siku za karibuni. Kutokana na ongezeko hilo, baadhi ya watoa huduma wameiomba serikali kuona namna ya kuwasaidia wasilipe kodi na tozo mbalimbali kwa kuzingatia wanatoa huduma na sio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…