adui

Étraire de la Dui (also known simply as Étraire) is a red French wine grape variety that was historically grown in the Rhone and Savoy wine regions. Its numbers were hit hard following the phylloxera epidemic and now only a few plantings remain in Savoy and the southeast fringes of the Rhone valley. According to wine expert Jancis Robinson, the grape produces a wine similar in style to Persan and can produce wine with aging potential.

View More On Wikipedia.org
  1. SAYVILLE

    Ndugu yako anaweza kuwa adui yako wa kwanza

    Maisha yana fumbo kubwa. Yule ambaye hauna undugu naye wowote wa karibu ndiye anaweza kuwa msitiri wako wa kwanza wakati yule ambaye ni ndugu yako wa damu anaweza kugeuka kuwa adui yako asiyetaka maendeleo wala mafanikio yako. Tujifunze na tuchukue tahadhari.
  2. fakhbros

    Usimhukumu adui yako, huenda yeye ndio sababu ya uwepo wako

    Siku moja Nyani waliposikia kwamba mtu aliyekuwa akiwafukuza kwenye shamba la mahindi amefariki, walisherehekea kwa furaha kubwa na Shangwe wakijipongeza na kuamini hakuna tena atakae weza kuwazuia kuiba Mahindi. Lakini mwaka uliofuata, hakukuwa na mahindi. Hapo ndipo walipogundua kwa uchungu...
  3. Magical power

    Leo tena wameenda kanisani kumuangamiza adui yuleyule waliyemuangamiza wiki iliyopita ...

    Leo tena wameenda kanisani kumuangamiza adui yuleyule waliyemuangamiza wiki iliyopita ... Mi nawaambia hawa watu ni VICHAA... !!!
  4. Bams

    Watanzania Wote ni ndugu, anayeteka ndugu zako ni adui yako

    Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, akitaka kuamsha ari ya kila mtanzania kupigania haki za Mtanzania mwenzake, alisema kuwa "WATANZANIA WOTE NI NDUGU" Sentensi hii moja, kivitendo ni majumuisho ya matendo mema msululu. 1) Ndugu yako huwezi kumwua. Hawa viongozi wa CCM wanaowaambia polisi kuwa...
  5. machafuko jr

    Je, yupi ni adui wa Tanzania?

    Tunaelewa kwamba maadui hawakosekani hasa ukiwa na potential ya kukuwa. Je yupi ni adui wa Tanzania?
  6. J

    Kuwapenda Adui Zetu Katika Maisha ya Kila Siku

    Kuwapenda Adui Zetu Katika Maisha ya Kila Siku Katika mahubiri yake, Yesu alisema, “endeleeni kuwapenda adui zenu” (Mathayo 5:43-44; Luka 6:27, 35). Maneno haya yanamaanisha tunapaswa kuwatendea kwa upendo wale wanaotuchukia au kututendea vibaya. Hakuna mtihani mgumu ambao Kristo alitupa katika...
  7. hitler2006

    Adui wa mwanamke ni mwanamke nimeamini

    Yanayoendelea katika sakata la ubakaji na ulawiti la clip iliyosambaa mitandaoni yanatafakarisha inawezekanaje haya kutokea katika nchi ambayo kiongozi ni mwanamke, Waziri wa ulinzi mwanamke, Spika wa bunge mwanamke, RPC wa mkoa husika lilikotokea tukio mwanamke Lakini kinachoshangaza zaidi ni...
  8. Mwamuzi wa Tanzania

    Adui wa Mtanzania ni Mtanzania mwenzake wala si serikali

    Nitasema tena na tena kuwa serikali yetu haijawahi kuwa adui kwa raia wake. Haijawahi kuwa na nia ovu kwa raia wake hata siku moja. Watanzania wenzenu ndio wanageuka kuwa adui wa maisha yenu kisha nyie mnaisingizia serikali. Serikali inatenga mabilioni kununua dawa kwenye Vituo vya afya...
  9. mahindi hayaoti mjini

    Adui wa adui yako ni rafiki yako

    Urafiki wenu umekutanishwa kutokana na adui wenu kuwa mmoja, Vijana kuweni makini sana
  10. Majok majok

    Adui wa ndugu yako ni adui yako ,,,Tumewalipia Simba deni lao la kichapo cha bao 4-0 toka kwa AMAKHOSI!

    Ndo Ivyo wananchi wamewalipia kisasi wale vijana wa Mangungu maana walipigwa chuma 4 kwa mtungi na kaizer chief! Wananchi wanatamba kokote na wanatoa adhabu kokote na kwenye uwanja wowote, siwatishi lakini Yanga wanatisha! Moja ya pre-season Bora kabisa imefanywa na Yanga msimu huu!
  11. political monger senior

    Ujue mchezo wa aviator au kindege na siri zilizojificha nyuma yake

    Leo tuangazie adui wa maendeleo kwa watu wa rika zote anayejulikana kama aviator na maarufu kwa jina la Kandege. Mchezo huu umegubikwa na siri nyingi sana na ambazo wenye betting sites wamekuwa wakizitumia kuchota mamilioni ya fedha kutoka kwa wateja wao bila jasho. Wachezaji wa huu mchezo...
  12. narudi kesho

    Kipi kilikufanya ugombane na rafiki yako?

    -Tupe story ilikuwaje hadi rafiki yako mpendwa uliyo amini utafika naye mbali lakin mkashindwana. mimi nilimkopesha na simu zangu hakawa hapokei wala sms hajibu. #bakitumolo
  13. GoldDhahabu

    Watumishi wa umma ni adui wa nne wa nchi yetu?

    Kipindi cha Nyerere, maadui wa nchi walikuwa watatu: ujinga, magonjwa, na umaskini. Ingawa hao maadui wangalipo, lakini huenda kuna adui mwingine kaongezeka: watumishi wa umma. Mbaya zaidi ni kuwa huyo adui anaishi kwa jasho la wenye nchi kwa manufaa yake mwenyewe huku wenye nchi wakiumia...
  14. N

    Christina Shusho ashauri umri wa mtu mzima usianzia miaka 18

    Nimekutana na hii Mahali mke wa mchungaji shusho anataka kupindisha sheria ya mtu mzima isiwe kwanzia miaka 18. Adai aliolewa akiwa mtoto na mume hana mchango kwenye mafanikio yake. Jamani na kama maamuzi kwanini asiyafanye wkt ule Yuko Binti maana Kwa sasa sijui anautoto upi
  15. Mwamuzi wa Tanzania

    Tetesi: Kwasababu ya umaskini na woga vijana wanachukua kadi za CCM kwa kasi sana. Nani atalikomboa taifa na adui wetu 3 wa asili?

    Hello ! Mwanzoni mwa mwezi May 2024 mke wangu aliniambia kuwa kadi za CCM zinefika, mjumbe kaandika jina lako hivyo twende ukachukue kadi yako. Nilitafakari, inakuwaje mjumbe aandike jina langu kwenye orodha ya wanaohitaji kadi za CCM bila ridhaa yangu. Kwakuwa nilikuwa free nikaona nisigombane...
  16. afrixa

    SoC04 Rushwa ni adui wa haki

    1:Elimu ya Uraia: Elimu ya uraia ni muhimu sana katika kuongeza ushiriki wa wananchi. Wananchi wanapaswa kuelewa vizuri madhara ya rushwa katika jamii na uchumi wa nchi. Wanapaswa pia kufahamu haki zao na jinsi gani wanaweza kuchukua hatua pale wanapokutana na rushwa. Elimu hii inaweza kutolewa...
  17. H

    SoC04 Rushwa ni adui wa haki kwa Mtanzania mpenda maendeleo

    Rushwa ni adui wa haki Kwa mtanzania yeyote yule mwenye uzalendo na kuipenda nchi yake Kwa moyo wake wote. Rushwa inaweza kuzibitiwa Kwa njia mbali Kwa kila mtanzania mpenda maendeleo ndani ya nchi yake. Tukisema rushwa ni adui wa haki Kwa mtanzania hatukosei hata kidogo walio wahi kutana na...
  18. BARD AI

    Je Biblia inajipinga yenyewe katika maandiko yake mfano Zaburi 109 inapingana na Mathayo 18:21?

    Zaburi 109:Hii ni zaburi ya Daudi inayojulikana kama "Zaburi ya Kulaani." Katika zaburi hii, Daudi anamlilia Mungu awaadhibu maadui zake kwa maneno makali na malalamiko mazito. Mfano, katika Zaburi 109:9, Daudi anaomba Mungu, "Watoto wake na wawe mayatima, na mke wake awe mjane." Mathayo...
  19. ngara23

    Ni lini adui wa mwanamke akawa mwanaume

    Siku hizi zimeibuka NGOs zinazojiasibu kutetea mwanamke. Huwa najiuliza wanamtetea mwanamke dhidi ya adui Gani bila shaka ni mwanaume. Hakuna mwanaume asiyehusika na mwanamke, hawa wanawake mnaowafanya adui ili kuibua utengano na uvunjifu wa maadili ndo mama za mwanaume, ndo Binti zetu, ndo...
  20. X

    Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

    Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali. Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya hewa. Wengine waliokuwa kwenye helicopter hiyo ni pamoja na Governor wa East Azarbaijan, Ayatollah...
Back
Top Bottom