aende

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Kwa ufaulu huu nataka aende chuo, je akasomee course gani?

    Huyu ni mdogo wangu amepata ufaulu huu Ila Mimi nataka aaende chuo moja kwa moja aanze certificate mpka degree Naona kwenda advance ni kupoteza muda Natamani asome Cyber security Computer engineering science IT and accountancy Micro biology Naomba ushauri wako Benson Civic C history C...
  2. W

    Physics - A, chemistry - B, Hesabu - A, aende kusomea chuo gani na taaluma ipi ya Engineering ?

    Kuna mtoto wa dada yangu kapata hayo matokeo FORM 4 Hataki kusikia habari za form 6, anataka kuanza safari yake ya kusomea taaluma mapema, hivyo kaamua aende chuo Shida inakuja anapenda taaluma ya engineering ila hajui ipi aiseomee, hofu yangu asije akaenda kusomea engineering itayompa shida...
  3. Aliyewahi kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia Nchini Kenya Margaret Nyambura amekataa uteuzi wa Rais Ruto wa kuwa balozi wa Kenya nchini Ghana

    Aliyewahi kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia Nchini Kenya Margaret Nyambura amekataa uteuzi wa Rais wa William Ruto wa kuwa balozi wa Kenya nchini Ghana. Rais Ruto alimteuwa Novemba 19, 2024. Nyambura ametaja sababu binafsi za kukataa uteuzi huo hivyo kusema hatafika Bungeni kwa ajili ya...
  4. Wazo: Je, tunaweza kuifuta form six? Yaani Mwanafunzi akianza form one (Non-stop) aende mpaka form five, alafu anajiunga na chuo?

    Good Afternoon my dear brothers and sisters out there. Eti wadau, tunaweza kufuta form six?? Mwanafunzi akianza form one, aende mpaka form five (Non stop) alafu chuo?? Yaani tunaua mitihani ya form four pamoja form six. Mtihani mkuu wa Secondary unakuwa mmoja tu wa form five. Karibu kwa...
  5. Boniface Jacob: Anayetaka kuondoka aende, CHADEMA haiwezi kufa

    " Kuna lugha ukianza kuongea tunajua huyu mbona sio mwenzetu, Chadema tunajuana". " Kuna wengine wanasema liwalo na liwe tupasue mtumbwi tugawane mbao " "Ukianza kuongea mambo yetu ya ndani kwa watu, sisi tunajua wewe sio mwenzetu, Chama hiki hakiwezi kufa kwa sababu ya mtu, anaetaka kuondoka...
  6. Kama amedhamiria kweli kuondoka mwache aende.

    Kama amedhamiria kweli kuondoka mwache aende. Wapo watu wengine kuondoka kwao ndio mwanzo wa maisha mengine mazuri zaidi nje ya huyo mtu aliyeondoka au uliyemuondoa Maana matokeo ya upendo wa kuhurumiwa kwasababu ulimng'ang'ania basi utakufanya kuwa mtumwa na utakuwa umechagua maisha...
  7. Chuo gani huwezi pendekeza mdogo wako aende hapo?

    Oya bongo kuna vyuo vingi kwa level ya degree, lakini je ni chuo kipi huwezi kupendekeza mdogo wako eande akasome hapo? Sababu ni nini,?
  8. Baba Levo: Diamond Platinumz alitaka apewe Milioni 300 na Yanga SC aende Siku ya Wananchi, ila Yanga SC hawana Hela na wakashindwana hapo

    Tusichoshane nendeni Wasafi FM huko mkamsikie Wenyewe. Mnajifanya mna Hela zisizo na Kazi kumbe ni Masikini tu.
  9. Viongozi wa Yanga mwacheni Azizi Ki aende tu

    Nawashauri viongozi wa Yanga, msiwe na pressure kutoka Kwa mashabiki wasiojua mpira mkaingia kwenye mtego wa kumpa Aziz ki pesa ndefu takriban 1.3 billion, mtakuwa mmejichanganya. Azizi ki Kwa Sasa ana miaka 29 kwenye mpira umri huo jua limezama, unaweza kumbakiza kumbe ndo amefika kwenye peak/...
  10. Lamata aende Bungeni, atapata vipaji vya kutosha kwa ajili ya tamthilia zake.

  11. Fresh mwambuli akauza mifugo mpenzi aende japani kusoma

    Wakenya katika mitandao ya kijamii wamechangamkia sana wimbo wa Stella Wangu wa mwanamziki mashuhuri wa humu nchini Freshley Mwamburi. Wamechangamkia wimbo huo wakikumbuka leo hii ni tarehe 17 mwezi wa tano mwaka wa 1992 mpenzi wake wa Kenya, Stella, aliposhuka kutoka kwa ndege na mchumba wake...
  12. "Ex Anakusumbua? Jifunze Jinsi ya Kumwacha Aende!

    "Ex Anakusumbua? Jifunze Jinsi ya Kumwacha Aende! Ever feel stuck, haunted by an ex who won't let go? It's tough, especially when building a new relationship. Moving on isn't easy. There might be guilt, confusion, or lingering feelings. But remember, you deserve happiness and peace. So, how...
  13. Ukweli Mchungu; Chama Jr akija Yanga, Benchi litamuhusu sana. Nashauri aende Azam

    Kwa kiwango alichonacho kwasasa sio rahisi aanze kwenye 1st eleven ya Gamondi. Na siku zote Chama hajawahi kuwa mzuri akitokea Benchi. Atapata nafasi Azam FC. Kuliko Yanga! Yanga wakimsajili ni kwa ajili yakupeleka makasiriko Msimbazi na si vinginevyo.
  14. Chama hana mbadala Simba. Akiondoka sasa hivi aende Yanga au Azam nahama naye na nachoma jezi ya Simba

    Simba viongozi wanazani kupata mchezaji wazuri ni pesa tu. Wanaiumiza Timu sana. Ata wachezaji wenzake hakuna aneweza kutia mashaka uwezo wake ulivyo juu kabisa. Katoa asist matata mechi ya Al ahly. Wanawazurumu pesa zao alafu wanamfitinisha na kocha. Naomba chama aende Azam au Yanga na...
  15. O

    Mke wangu amesema amenichoka, amechoka na anaomba nimpe nauli aende kwao

    Niaje wana gwan? Aisee maisha ya ndoa ni kichefu chefu aisee na yanakera na kuchukiza kabisa aiseee ni very streful kabisa wakuu usikubali ushauriwe kuhusu mahusiano au ndoa maana ni kichefu chefu kabisa Leo asubuhi mke wangu amenitamkia amenichoka, amechoka na anataka kurudi kwao na amesema...
  16. Aende chuoni miaka 5 kisha apewe mtaji au aende kusaidia biashara ya familia miaka mitano kisha afunguliwe biashara?

    Kamaliza form 6, Ni mtoto wa kwanza wa kwanza wa kiume, wa pili yupo form 5 wa kike, wa tatu wa kiume yupo form 1, wa nne wa kiume yupo darasa la saba Wazazi wanajishughulisha na biashara, mambo ya usafirishaji na makazi. option mbili 1. Apprenticeship miaka mitano afunzwe kwa ukaribu...
  17. Kitila Mkumbo acha kuchukia juu ya ukweli anaousema Lissu, hayati JPM asingefanya huu uozo. Muache aende Chato kueleza ukweli

    Hii nini unaropoka kama mtoto bhana 👇
  18. Mjadala wa kwamba mtu asome five na six au aende vyuo vya kati ni wa kipuuzi

    Moja kwa Moja kwenye mada. Siasa za nchi hii zimefikia pabaya sana. Zimegeuka kuwa za kisanii. Nakumbuka nikiwa form four lever enz hizo nilitaka niende chuo ili nipate ajira haraka. Bahati njema nikafaulu kwenda five. Nikaenda...tena msukumo ulitokana na kusomeshwa bureee uitokana na kuwa na...
  19. Fei Toto kukata rufaa rasmi CAS aomba mchango wa pesa kwa Watanzania

    Aliyekimbia mshahara wa mil 4 anawaomba walala hoi wa instagram wamchangie pesa za kupeleka kesi CAS; === Picha: Feisal Salum (Fei Toto) Feisal Salum katika ukurasa wake rasmi wa Instagram ameandika ujumbe ufuatao: Ndugu zangu Watanzania na familia yote ya soka kwa Bara na visiwani. Mimi...
  20. TFF ilileta siasa za Simba na Yanga kuchagua kikosi. Kapombe na Zimbwe wasikubali unafiki

    Tuliaminishwa kuwa Kapombe na Hussein (Zimbwe Jr) ama wamezeeka au viwango vimeporomoka. Leo baada ya ushindi wa kishindo watu wanakuja kupiganao picha kwa mkapa. Wakaitwa watu wanachezea benchi. Nazani TFF wasilete usanii. Waachwe tu waende na Kibwana Shomari na nabi kwenye benchi tusubiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…