Wife kapata kazi serikalini huko,mshahara ni TGS D ambayo ni sawa na laki 7.6, kwa sasa anafanya kazi private sector ambako mshahara ni 1.6m gross.
Kampuni anayofanyia ina pressure za hapa na pale ila kuna a lot of incentives kama bima ya afya ya Jubilee,holidays allowance na nyingine nyingi...
Kwa mwenye akili unamwambia hongera Sana. Unamtia na moyo na ikiwezekana Basi unajikausha Kama huoni vile.
Lkn wanachokifanya Yanga Ni sawa na kulalama tu. Mtu mmempeleka kula miwa Morogoro pre season kweli. Mmemtembeza kwa miguu wee. Muheshimuni
Sasa Yuko mamtoni anapata kila anachostalili...
Ukipata mnayependana mshikilie, usimwache aende. Utakuja kujuta kama wanandoa wengi wanavyojuta kwa sasa. Kukuta wote mnapendana inatokea mara chache sana maishani. Wengi wetu tuna wapenzi wenye wapenzi wa mioyoni mwao.
Wakuu leo nimeona tujikumbushe jambo muhimu kwenye haya maisha. MAPENZI...
Mchezaji sio taasisi, Mchezaji ni nafsi huru, ni takwa la nafsi, ni hiyari ya nafsi na takwa la mtu binafsi, mchezaji ni mwanadamu kwa maana hiyo ana utashi binafsi, kitu pekee kinachomfanya mtu akacheza kwa bidii zote ni GUTS, ipeni nafsi yake uhuru, mkimng'ang'ania sana kinyume na nafsi yake...
Nimemwambia tukutane guest house. Kawahi sababu kwao ni karibu. Kachukua room ila hakulipa mpaka nije mimi.
Nimefika room nikampa pesa aende kulipa hataki. Tumebishana masaa mawili mwishowe kaenda kalipa. Karudi namuliza umeandikisha na jina. Anasema hawezi andikisha jina lake nikaandike langu...
Sasa hivi shujaa wetu Majaliwa apewe muda apige pesa na matangazo ili sasa Januari aende kupiga kwata, si vema kumuwahisha sasa hivi.
Hata hivyo, nina wasiwasi na wale watu wa majeshi huko anapoenda watampiga mizinga sana.
Yote kwa yote, ufanyike mpango namba zake za simu ziwekwe na chimbo...
Huyu mtu Joseph Mbilinyi alikuwa mbunge na nusu. Chuma kweli kweli Mbeya ilikuwa nakidume haswaaaa!! Mimi sio chadema ila Sugu nilimuelewa sana! Hapa naona mbwembwe flani hivi za kizamani sana Kwa mbunge wa Sasa kugawagawa vitu.
Na kuwapa watu misaada ya fedha au pikipiki sio maendeleo...
Nauliza kwa nia njema kabisa, iweje Waziri anayehusika moja kwa moja na masuala ya mazingira na tabianchi asiendeke kwenye hilo kongamano na badala yake kaenda mtu wa nishati?!
Yani full tafrani home, ana wiki ya pili sasa yani nimeshamchoka huyu ndugu, kafika home kututembelea lakini full kutupangia ratiba za kuamka , leo kaamka mapema kaanza kutia makelele amkeni amkeni
Usafi mtafanya SAA ngapi? Wakati sisi tuna ratiba zetu za usafi, kila mtu akiamka ana kazi yake...
Wadau kuna ndugu yetu mmoja anapitia wakati mgumu sana mimi Jana kanipigia nimeongea nae nimeshindwa kwakweli kumpa ushauri hali iko hivi ana msiba wa mdogo wake anayemfuata uku akapata tena msiba wa mkwewe baba wa mkewe.
Kwa bahati mbaya maziko ni siku moja maeneo tofauti baba mkwe anaenda...
Cristiano Ronaldo ameomba kuondoka ndani ya Manchester United ikiwa ni msimu mmoja tu tangu arejee kikosini hapo, ambapo inadaiwa lengo lake ni kuendelea kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya ambapo mashabiki wamesema ‘muacheni aende’.
United haijafuzu katika ligi hiyo badala yake itashiriki katika...
Andiko la Bernard Morrison: "Mara nyingi tunakatishwa tamaa na wale tunaowapenda na kuwaamini. lakini wacha nifanye hadithi yangu kuwa fupi na rahisi, nahitaji vipande 100 vya jezi za simba kutoka kwa mashabiki waaminifu ili zipewe marafiki na familia nchini Ghana.
"Hii ni kutokana na nyinyi...
Ndugu wana jukwa kuna dogo kapata 4 ya 26 ana c ya bios na chemia c alafu nyingine D6 na mathf sasa anapenda kujiunga na kozi moja wapo hapo juu yana lab assistance veta au health information technolog chuo furan dar je ipi ina fursa ya kujiajiri kati ya hizo?
Condester Sichalwe(Momba): Ni nini watu wa TBS wanaweza wakatusaidia kutoa makali ambayo yapo kwenye gongo yafanane konyagi, yafanane na pombe nyingine ambazo mnaziona za kifahari ambazo matajiri wanakunywa lakini wote wakinywa wanalewa.
Nataka kuwaambia, pombe hizi za kienyeji ambazo...
Kuna Mtanzania amekwama kwenye mgodi kule Burkina Faso, nchi ya mbali sana magharibi mwa Afrika, na mpaka sasa imeshindikana kutoka.
===========
Tanzanian among 8 trapped in Burkina Faso zinc mine
The accident, which occurred on April 16, 2022, was accelerated by the heavy rainfall, which...
Muda mfupi baada ya RC wa zamani wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuandika mtandaoni kuwa kuna makundi matano yanamuwinda ili kumuua, Jeshi la Polisi limesema kama kweli ana hofu anatakiwa aende kutoa taarifa Kituo cha Polisi.
Akizungumza na Kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, Kamanda wa Polisi...
Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Mhe. Mej. Jen. Richard M. Makanzo awasilisha hati zake za utambulisho kwa Mhe. Rais Paul Kagame wa Rwanda.
Chanzo: Ukurasa wa Mtandao ( Instagram ) wa Msemaji wa Serikali Bw. Gerson Msigwa.
Kaipelelezeni Burundi ila siyo Rwanda.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni,imeahirisha kesi ya jinai namba 1/2022, dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda,hadi Februari 8.
Kuahirishwa kwa kesi hiyo kunatokana na mahakimu kuwa na majukumu mengine ya Kimahakama eneo la Segerea.
Hii ndio Taarifa iliyopatikana...
Habari waungwana.
Nina mtoto hapa ambaye matokeo yake ya Kidato cha nne ni Kama ifuatavyo.
Amepata "C" katika Civics, Kiswahili, Chemistry na Biology.
Amepata " D" katika History, Geography, Literature, English, physics na Hisabati.
Hivyo ana "C" nne na " D" sita.
Division three point 24.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.