aende

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Aache kazi private anakolipwa 1.6m au aende government atakapolipwa laki 7.6?

    Wife kapata kazi serikalini huko,mshahara ni TGS D ambayo ni sawa na laki 7.6, kwa sasa anafanya kazi private sector ambako mshahara ni 1.6m gross. Kampuni anayofanyia ina pressure za hapa na pale ila kuna a lot of incentives kama bima ya afya ya Jubilee,holidays allowance na nyingine nyingi...
  2. Kinachoniuma kwa Feitoto ni sawa na mpenzi wako akubwage aende kwa mtu anayekuzidi kila kitu

    Kwa mwenye akili unamwambia hongera Sana. Unamtia na moyo na ikiwezekana Basi unajikausha Kama huoni vile. Lkn wanachokifanya Yanga Ni sawa na kulalama tu. Mtu mmempeleka kula miwa Morogoro pre season kweli. Mmemtembeza kwa miguu wee. Muheshimuni Sasa Yuko mamtoni anapata kila anachostalili...
  3. Ukipata mnayependana mshikilie, usimwache aende. Utakuja kujuta kama wanandoa wengi wanavyojuta kwa sasa

    Ukipata mnayependana mshikilie, usimwache aende. Utakuja kujuta kama wanandoa wengi wanavyojuta kwa sasa. Kukuta wote mnapendana inatokea mara chache sana maishani. Wengi wetu tuna wapenzi wenye wapenzi wa mioyoni mwao. Wakuu leo nimeona tujikumbushe jambo muhimu kwenye haya maisha. MAPENZI...
  4. Yanga muacheni Feisal aende pale nafsi inapomtuma

    Mchezaji sio taasisi, Mchezaji ni nafsi huru, ni takwa la nafsi, ni hiyari ya nafsi na takwa la mtu binafsi, mchezaji ni mwanadamu kwa maana hiyo ana utashi binafsi, kitu pekee kinachomfanya mtu akacheza kwa bidii zote ni GUTS, ipeni nafsi yake uhuru, mkimng'ang'ania sana kinyume na nafsi yake...
  5. Huyu Mwanamke tumeshindwana. Aende zake tu mi siwezi kwa kweli

    Nimemwambia tukutane guest house. Kawahi sababu kwao ni karibu. Kachukua room ila hakulipa mpaka nije mimi. Nimefika room nikampa pesa aende kulipa hataki. Tumebishana masaa mawili mwishowe kaenda kalipa. Karudi namuliza umeandikisha na jina. Anasema hawezi andikisha jina lake nikaandike langu...
  6. U

    Shujaa wetu wamuache apige hela za matangazo, Januari aende kambini

    Sasa hivi shujaa wetu Majaliwa apewe muda apige pesa na matangazo ili sasa Januari aende kupiga kwata, si vema kumuwahisha sasa hivi. Hata hivyo, nina wasiwasi na wale watu wa majeshi huko anapoenda watampiga mizinga sana. Yote kwa yote, ufanyike mpango namba zake za simu ziwekwe na chimbo...
  7. Joseph Mbilinyi afanyiwe mpango aende bungeni, huyu Tulia Mimi bado sijamwelewa

    Huyu mtu Joseph Mbilinyi alikuwa mbunge na nusu. Chuma kweli kweli Mbeya ilikuwa nakidume haswaaaa!! Mimi sio chadema ila Sugu nilimuelewa sana! Hapa naona mbwembwe flani hivi za kizamani sana Kwa mbunge wa Sasa kugawagawa vitu. Na kuwapa watu misaada ya fedha au pikipiki sio maendeleo...
  8. Kwanini aende Makamba na si Jaffo?

    Nauliza kwa nia njema kabisa, iweje Waziri anayehusika moja kwa moja na masuala ya mazingira na tabianchi asiendeke kwenye hilo kongamano na badala yake kaenda mtu wa nishati?!
  9. Natamani aende kwao tu....

    Yani full tafrani home, ana wiki ya pili sasa yani nimeshamchoka huyu ndugu, kafika home kututembelea lakini full kutupangia ratiba za kuamka , leo kaamka mapema kaanza kutia makelele amkeni amkeni Usafi mtafanya SAA ngapi? Wakati sisi tuna ratiba zetu za usafi, kila mtu akiamka ana kazi yake...
  10. Ushauri Msiba wa mkwe na mdogo wake na maziko siku moja je aende kumzika nani

    Wadau kuna ndugu yetu mmoja anapitia wakati mgumu sana mimi Jana kanipigia nimeongea nae nimeshindwa kwakweli kumpa ushauri hali iko hivi ana msiba wa mdogo wake anayemfuata uku akapata tena msiba wa mkwewe baba wa mkewe. Kwa bahati mbaya maziko ni siku moja maeneo tofauti baba mkwe anaenda...
  11. Baada ya Ronaldo kuomba kuondoka Manchester United, mashabiki wasema ‘muacheni aende’

    Cristiano Ronaldo ameomba kuondoka ndani ya Manchester United ikiwa ni msimu mmoja tu tangu arejee kikosini hapo, ambapo inadaiwa lengo lake ni kuendelea kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya ambapo mashabiki wamesema ‘muacheni aende’. United haijafuzu katika ligi hiyo badala yake itashiriki katika...
  12. Bernard Morrison arudi Dar, aomba jezi 100 za Simba ili aende nazo Ghana

    Andiko la Bernard Morrison: "Mara nyingi tunakatishwa tamaa na wale tunaowapenda na kuwaamini. lakini wacha nifanye hadithi yangu kuwa fupi na rahisi, nahitaji vipande 100 vya jezi za simba kutoka kwa mashabiki waaminifu ili zipewe marafiki na familia nchini Ghana. "Hii ni kutokana na nyinyi...
  13. M

    Vip kwa matokeo haya atapata kusoma mambo ya afya , au aende tu A level asome masomo ya art

    Civics B, History C, Geograqhy C, Kiswahili C, English C, Literature C, Biology D, CHEMISTRY D, PHYICS D, MATHEMATICS F.
  14. Aende kozi ipi kati ya Lab Assistance ya VETA au Health Information Technolog ya NACTE

    Ndugu wana jukwa kuna dogo kapata 4 ya 26 ana c ya bios na chemia c alafu nyingine D6 na mathf sasa anapenda kujiunga na kozi moja wapo hapo juu yana lab assistance veta au health information technolog chuo furan dar je ipi ina fursa ya kujiajiri kati ya hizo?
  15. Mbunge Condester ataka gongo ihalalishwe, aenda bungeni na 'sample'

    Condester Sichalwe(Momba): Ni nini watu wa TBS wanaweza wakatusaidia kutoa makali ambayo yapo kwenye gongo yafanane konyagi, yafanane na pombe nyingine ambazo mnaziona za kifahari ambazo matajiri wanakunywa lakini wote wakinywa wanalewa. Nataka kuwaambia, pombe hizi za kienyeji ambazo...
  16. Nini kilisababisha Mtanzania aende kuteseka kwenye migodi ya Burkina Faso?

    Kuna Mtanzania amekwama kwenye mgodi kule Burkina Faso, nchi ya mbali sana magharibi mwa Afrika, na mpaka sasa imeshindikana kutoka. =========== Tanzanian among 8 trapped in Burkina Faso zinc mine The accident, which occurred on April 16, 2022, was accelerated by the heavy rainfall, which...
  17. Jeshi la Polisi: Madai ya Makonda kuuawa, kama yupo ‘siriasi’ aende Polisi

    Muda mfupi baada ya RC wa zamani wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuandika mtandaoni kuwa kuna makundi matano yanamuwinda ili kumuua, Jeshi la Polisi limesema kama kweli ana hofu anatakiwa aende kutoa taarifa Kituo cha Polisi. Akizungumza na Kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, Kamanda wa Polisi...
  18. Aende tu kwa Kilichompeleka na kamwe siyo kwa Kuijasusia Rwanda, kwani hatopata chochote kwakuwa Rwanda ya sasa ni Israel Kiujasusi

    Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Mhe. Mej. Jen. Richard M. Makanzo awasilisha hati zake za utambulisho kwa Mhe. Rais Paul Kagame wa Rwanda. Chanzo: Ukurasa wa Mtandao ( Instagram ) wa Msemaji wa Serikali Bw. Gerson Msigwa. Kaipelelezeni Burundi ila siyo Rwanda.
  19. Paul Makonda ashindwa kufika Mahakamani katika kesi inayomkabili. Kesi yaahirishwa hadi 08 Feb 2022

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni,imeahirisha kesi ya jinai namba 1/2022, dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda,hadi Februari 8. Kuahirishwa kwa kesi hiyo kunatokana na mahakimu kuwa na majukumu mengine ya Kimahakama eneo la Segerea. Hii ndio Taarifa iliyopatikana...
  20. Naomba ushauri "huyu" mtoto aende wapi na akasome nini?

    Habari waungwana. Nina mtoto hapa ambaye matokeo yake ya Kidato cha nne ni Kama ifuatavyo. Amepata "C" katika Civics, Kiswahili, Chemistry na Biology. Amepata " D" katika History, Geography, Literature, English, physics na Hisabati. Hivyo ana "C" nne na " D" sita. Division three point 24.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…