Jamani, niko na mdogo wangu wa kiume anasoma Olimpio hapa Upanga yuko darasa la 4 kuna kibarua nilikuwa najishikiza sas mkataba umeisha na anatakiwa aende shule na kule imekuwa mbali kwaiyo nikilipa ada lazima nilipe na pesa ya usafiri naishi mbagara sas nahitaj kumuhamisha swali ni shule gani...