afariki dunia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    TANZIA Jaji Mwanaisha Kwariko, Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, afariki dunia

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs C. Mwambegele, kwa masikitiko makubwa ametangaza kifo cha Mjumbe wa Tume hiyo, Mhe. Jaji Rufani Mwanaisha A. Kwariko, kilichotokea tarehe 27 Desemba, 2024, nchini India ambako alikuwa akipatiwa matibabu. Kwa mujibu wa...
  2. Mkalukungone mwamba

    TANZIA Wakili kesi ya Gekul afariki dunia Desemba 24, 2024

    Wakili Joseph Masanja wa Babati Mkoani Manyara ambaye alikuwa anasimamia kesi ya Gekul amefariki dunia Desemba 24, 2024. Kupitia Korumba Lebabazi amezungumza na Wakili Peter Madereka ambaye aliwahi kufanya naye kazi marehemu enzi za uhai wake na kueleza kuwa kutokana na kifo chake wanasubiri...
  3. F

    TANZIA Waziri Mkuu wa zamani wa India Manmohan Singh afariki akiwa na umri wa miaka 92

    Waziri Mkuu wa zamani wa India Manmohan Singh, ambaye alitawala nchi hiyo ya Kusini mwa Asia kwa mihula miwili na kuikomboa uchumi wake katika kipindi cha awali kama waziri wa fedha, amefariki dunia. Alikuwa 92. Singh, mwanauchumi aliyegeuka kuwa mwanasiasa ambaye pia aliwahi kuwa gavana wa...
  4. Poppy Hatonn

    TANZIA Butiama, mtoto wa dada yake Mwalimu Nyerere afariki Dunia

    Hii imetokea Desemba 24 kijijini Butiama ambapo Richard (Nyerere) Masanza mtoto wa dada yake Mwalimu Nyerere amefariki Dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi. Richard amesoma shule ya msingi hapa Dar es Salaam, Kurasini. Alas,that is the only education he had. Ni binamu yangu,mtoto wa shangazi...
  5. Mkalukungone mwamba

    TANZIA Meja Jenerali Mstaafu Martin Shiminzi Busungu afariki dunia

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda ametangaza kwa masikitiko kifo cha Meja Jenerali Martin Shiminzi Busungu (Mstaafu), kilichotokea tarehe 24 Disemba, 2024 majira ya saa 10:15 jioni wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Enzi za utumishi wake Jeshini...
  6. Waufukweni

    Polisi afariki dunia kwa kugongwa na lori akiwa kwenye pikipiki

    Askari polisi wa Kituo cha Kibaya wilayani Kiteto Mkoa wa Manyara, Geogre Mwakambonjo (40) amefariki dunia baada ya kugongwa na lori alipokuwa amepanda kwenye pikipiki. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACP) Ahmed Makarani amesema tukio hilo limetokea leo...
  7. Poppy Hatonn

    TANZIA Mzee Samson Kibonde, baba yake Ephraim Kibonde afariki Dunia

    Hii imetokea jana asubuhi. Mzee huyu amefariki baada ya pressure ya mawazo iliyotokana na kuhuzunika mke wake alipougua. Interest yangu na Ephraim Kibonde ni kwamba yeye ndiye aliyesabsbisha mimi kujiunga na JF. Ephraim Kibonde alikuwa anaongea katika kipindi cha Jahazi kwamba ukitaka...
  8. Muga_Thachamp

    Muigizaji Cherel (Michelle Botes) wa Isidingo afariki dunia

    Michelle Botes, aliyetamba sana kupitia series ya Isidingo the Need miaka ya 2000, amefariki dunia. Michelle Botes, alijulikana kwa kucheza vyema nafasi ya mwanamke muuaji aliyeitwa Cherel De Villiers, na baadaye kuwa Cherel Haines baada ya kuolewa na tajiri Barker Haines, Ambapo katika...
  9. Roving Journalist

    TANZIA Amos Nnko, Mkurugenzi ofisi ya Msajili wa Hazina, bintiye wafariki ajalini Same

    Ajali zinazotokea msimu wa sikukuu zimeendelea kuacha majonzi kwa Watanzania, baada ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu ofisi ya Msajili wa Hazina, Amos Nnko kufariki dunia. Nnko amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea maeneo ya Same, mkoani Kilimanjaro...
  10. Inside10

    TANZIA Katibu wa ccm mkoa wa Tanga, Seleman Sankwa afariki dunia leo tarehe 20 dec 2024

    Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Seleman Sankwa amefariki dunia leo Desemba 20, 2024 wakati akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es Salaam. Kifo cha Sankwa kimethibitishwa na Rajab Abdulrhaman, mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga, ambaye pia ni...
  11. P

    TANZIA Mwanazuoni na Mwanasayansi Prof. Anselm Biseko Lwoga afariki dunia

    Aliyekuwa makamu mkuu wa Chuo cha kilimo Sokoine SUA kuanzia mwaka 1989 mpaka 2006 na Mwenyekiti BODI ya MIKOPO kuanzia 2008 mpaka 2016...amefariki DUNIA hapo Jana tarehe 18dec2024 mkoani Morogoro...! Ikumbukwe marehemu alifanya kazi na Marais wastaafu Mwl Julius Kambarage Nyerere, Ally Hassan...
  12. L

    TANZIA Msajili wa Vyama vya Siasa Mstaafu, John Tendwa Afariki Dunia

    Ndugu zangu Watanzania, Habari ndio hiyo ya majonzi juu ya kifo cha msajili wa vyama vya siasa mstaafu John Tendwa ambaye amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo. Amekuwa msajili tangia wakati wa hayati Benjamini Mkapa mpaka wakati wa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete 2013. Amepigana vita iliyo...
  13. Waufukweni

    TANZIA Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Yanga, Abdulrahman Mnero afariki dunia kwa Ajali, kuzikwa leo Mbagala, Kingugi

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Yanga, Abdulrahman Mnero aliyefariki dunia jana kwa ajali ya barabarani anatarajiwa kuzikwa saa 10:00 jioni ya leo huko Mbagala Kingugi, jijini Dar es Salaam. Munelo alipata ajali jana katika eneo la Mbagala Zakhem baada ya bodaboda aliyokuwa amepanda...
  14. Waufukweni

    TANZIA Mchekeshaji Frank Patrick (Molingo) afariki dunia

    Kijana Frank Patrick (Mchekeshaji wa Mtandaoni) maarufu Kama Molingo (17) Mkazi wa Wilaya ya Chato Mkoani Geita amefariki dunia usiku wa kuamkia leo December 10,2024 akiwa nyumbani kwao Chato ambako alikuwa akiuguzwa na Mama yake mzazi. Rafiki yake ambaye alikuwa akiishi nae na kumrekodi...
  15. Waufukweni

    TANZIA CCM Wilaya ya Geita yapata pigo, diwani Malimi Saguda afariki dunia

    Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Geita kimepata pigo baada ya diwani wake wa Kata ya Nyaruyeye Halmashauri ya Geita, Malimi Saguda kufariki dunia. Malimi ameshika nafasi ya udiwani kwa vipindi viwili mfululizo na amefikwa na mauti akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Bugando kwa ugonjwa wa...
  16. B

    Aliyekuwa mbabe wa kivita Liberia, Prince Johnson afariki dunia akiwa na miaka 72

    Aliyekuwa mbabe wa kivita wa Liberia Prince Johnson, ambaye alisimamia mauaji ya kikatili ya aliyekuwa Rais Samuel Doe wakati vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyotikisa nchi hiyo, kabla ya kuwa Seneta na Mfalme wa kisiasa, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 72. Msemaji wa familia Wilfred...
  17. B

    ALIYESEMA CCM HAINA CHA KUSEMA AKIPENDA MUNGU NDIYO ISHINDE. AFARIKI DUNIA.

    Marehemu Zawadi Salehe Makame KADA maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Visiwani Zanzibar, Zawadi Salehe Makame, amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Radio ya Serikali ya Zanzibar, Zawadi amefikwa na mauti jana Jumanne, tarehe 17...
  18. S

    TANZIA Mwanamuziki Mkongwe, Boniface Kikumbi Mwanza Mpango (King Kikii) amefariki dunia

    Kwema Wakuu? Niko mahali hapa nasikia taarifa zisizo njema kuhusu huyu Mzee, zina ukweli wowote? ===== Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi nchini Boniface Kikumbi Mwanza Mpango maarufu King Kikii amefariki dunia. Amefariki Dunia Usiku wa kuamkia leo katika Hospital ya Taifa...
  19. A

    DOKEZO Fundi Ujenzi afariki dunia kwa kukosa Huduma ya Kwanza ndani ya Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Biashara cha Afrika Mashariki – EACLC, Ubungo

    Hivi karibuni fundi ujenzi ameanguka ndani ya EACLC, Wachina wagoma kumpatia huduma ya kwanza akataliwa na mabosi zake wa kampuni za Kichina, afariki akiwa njiani kuelekea hospitalini mwili wake wasafirishwa na kuzikwa kimya kimya kwao Tabora. Katika miradi mingi ya ujenzi iliyopo hapa nchini...
  20. Mtoa Taarifa

    TANZIA Lawrance Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango afariki dunia

    Lawrence Nyasebwa Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango amefariki Dunia leo Novemba 9, 2024 katika hospitali ya Apollo nchini India. Rais Samia Suluhu Hassan ameandika katika Mitandao yake ya Kijamii kuhusu Kifo cha Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, "Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya...
Back
Top Bottom