Mtanzania mmoja amefariki akiwa anapelekwa Kituo cha Police kwenye kitongoji moja wapo jijini Johanesburg. Kulitokea majibishano na Kurushiana Mawe kati ya Police na Watanzania kwenye kitongoji hicho. Kile walichodai watanzania kuwa Police wamemuua na kuchukua pesa zake. Kuna video ya maojiano...
Balozi wa Uganda nchini Kenya Dr Hassan Waswa Ggaliwango amefariki dunia. Mwanafamilia wa karibu anasema kwamba Ggaliwango aliaga dunia katika Hospitali moja jijini Nairobi ambako alikimbizwa Alhamisi wiki iliyopita hali yake ilipozidi kuwa mbaya.
Ggaliwango, ambaye amekuwa akipambana na...
Askari Polisi jijini Arusha amefariki dunia katika mazingira ya utata katika nyumba ya kulala wageni ya Mrina shine iliyopo makao mapya jijini hapa.
Taarifa za awali kutoka kwa shuhuda wa tukio hilo ambaye aliomba jina Lake lihifadhiwe zimedai kuwa, Saiba aliingia katika nyumba hiyo majira ya...
Mkazi wa Sanawari, Wilaya ya Arumeru Mkoa Arusha, Nelson Mollel (32) amefariki dunia baada ya kudaiwa kupewa adhabu ya kuchapwa vikobo 280 kutokana na tuhuma ya kumtukana mama yake mzazi.
Wazee wa jamii ya Kimaasai na Kimeru wilayani Arumeru mkoani Arusha wamekuwa wakitoa adhabu ya kuwachapa...
Imenibidi nisubiri tuzike kwanza ili machungu yaishe, Kisha nilete Uzi hapa.
Ni ndugu yangu, ki ukoo yeye ni dada yangu, lakini upande wa mama huko. Mimi niliambiwa tu huyu ni dada yako na sikutaka kujua zaidi maana ishu za ukoo zinanichanganya sana.
Tumeonana December mwishoni tulipoenda...
Pope Benedict XVI has passed away at age 95.
He held the apostolic see from 2005 to 2013, when he unexpectedly announced his decision to abdicate.
In recent years, he lived in a small monastery, Mater Ecclesiae, in the Vatican Gardens.
Nini ilikua Motive ya Huyu Papa kujiuzulu 2013 ...
Mchungaji na mfanyabiashara raia wa Nigeria, Henry Ozoemena, anayekabiliwa na kesi ya kusafirisha kilo 20 za dawa za kulevya aina ya Heroine, amefariki dunia baada ya kupata shambulio la moyo akiwa mahabusu katika gereza la Segerea, jijini Dar es Salaam.
Wakili Yasin ameieleza Mahakama ya...
Nyota huyo wa zamani wa Santos FC, anayetambuliwa kama mmoja wa Wanasoka bora zaidi wakati wote, alilazwa hospitalini tangu Novemba 29, 2022 huko Sao Paulo
Ripoti ya utabibu kabla ya Krismasi ilionyesha alihitaji uangalizi kwa ajili ya ugonjwa wa moyo na figo, na amekuwa akipambana na saratani...
Mwanamuziki Joseph "Jo Mersa" Marley, ambaye ni mjukuu wa Mwimbaji Mkongwe wa Reggae Hayati Bob Marley amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 31, vyombo vya habari vya Marekani viliripoti.
Mwakilishi wa Marley mzaliwa wa Jamaika alithibitisha kifo chake kwa kupitia Jarida la Rolling Stone...
Elimu: >> source pdf page 90 <<
Degree ya udaktari, MD- Doctor of Medicine- UDSM
Masters ya udaktari, MMed - Masters of Medicine - UDSM
Masters ya jeshini, MSS - Master in Security and Strategies - Chuo cha taifa cha ulinzi - NDC.
Kazi
Tarehe 20 Januari 2014, Rais mstaafu Jakaya Kikwete...
Mtu mmoja amefariki huku wengine kadhaa wakijeruhiwa baada ya basi la Modern Coast kutumbukia kwenye mto Masosa kwenye makutano ya Makutano mjini Kisii.
Kamanda wa Polisi wa Kisii Central Amos Ambasa amesema gari hilo lenye nambari za usajili T247 DKE lilikuwa likielekea Homa Bay kutoka...
Wakazi wa Kaunti ya Kirinyaga wameibua wasiwasi kuhusu visa vya watoto kujitoa uhai baada ya mtoto wa miaka 10 kujiua katika Kijiji cha Kibingoti Kaunti Ndogo ya Ndia.
Mwanafunzi huyo wa darasa la 4 anasemekana kujinyonga ndani ya nyumba yao katika kijiji cha Kibingoti siku ya Jumanne.
Kwa...
Mtu mmoja amefariki dunia baada ya kutokea vurugu kati ya sungusungu na baadhi ya vijana katika Kijiji cha Mwitikila wilayani Bahi Mkoa wa Dodoma.
Inadaiwa kuwa vurugu hizo zilizotokea usiku wa kuamkia leo Jumapili Desemba 18, 2022 zilianza baada ya sungusungu kuanza kukamata vijana wanaodaiwa...
Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine Joseph Mushy, amefariki dunia kwa ajali ya gari eneo la Mkata, wilayani Handeni mkoani Tanga.
Ajali hiyo imetokea jana usiku wakati akiendesha gari aina ya crown lenye namba za usajili T175 DMF kuelekea Moshi, Kilimanjaro.
===
Balozi wa Tanzania...
Khalid al-Misslam, Mwandishi wa picha aliyekuwa akifanya kazi na Kituo cha runinga cha Al Kass, amefariki jana huku sababu za kifo chake zikiwa hazifahamiki hadi sasa
Khalid ni Mwanahabari wa pili kufariki kwenye Kombe la Dunia huko Qatar ikiwa ni saa 48 baada ya Mwanahabari wa Marekani, Grant...
Kombe la Dunia 2022: Mwanahabari mkongwe wa michezo wa Marekani Grant Wahl afariki dunia nchini Qatar
Mwanahabari maarufu wa kandanda kutoka Marekani amefariki dunia alipokuwa akiripoti kuhusu michuano ya Kombe la Dunia nchini Qatar.
Grant Wahl, 48, alianguka ghafla alipokuwa akitazama mchezo...
Taarifa ambazo zimewekwa kwenye mtandao wa kijamii wa balozi Omari Kashera unathibitisha kufariki kwa Captein Aboubakar Ibrahim Nkya. Marehemu amefariki nchini India alipokuwa anapatiwa matibabu.
Soma zaidi kumhusu...
Aliyekuwa Rais wa China bwana Jiang Zemin amefariki dunia leo alfajiri mjini Shanghai China akiwa na umri wa miaka 96.
Taarifa kutoka vyombo vya utawala vya China [ kamati kuu ya Chama cha kikomunisti cha China, kamati ya kudumu ya bunge la taifa la China , Baraza la mashauriano ya kisiasa na...
Vladimir Makey mwenye umri wa miaka 64 alishikilia wadhifa huo tangu 2012
Waziri wa Mambo ya Nje wa Belarus Vladimir Makey, alifariki ghafla siku ya Jumamosi, shirika la habari la Belta limeripoti, likimnukuu msemaji wa wizara hiyo, Anatoly Glaz. Alikuwa ameshikilia nafasi yake kwa muongo...
Mzee wa miaka 70, Bw.Seif Mwangaeka mkazi wa Kijiji cha Mkurumusi, wilayani Mbinga mkoani Ruvuma, amefariki dunia akiwa kwenye kituo cha kuuzia mbolea ya Ruzuku cha Kigonsera na kusababisha kituo hicho kufungwa kwa siku moja kuomboleza kifo hicho.
CHANZO: ITV