afariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. macho_mdiliko

    TANZIA Anayesadikiwa kuwa MwanaJF afariki dunia

    Memba mwenzetu ametangulia mbele ya haki. Pengine nisingejisumbua kuripoti huu msiba lakini mazingira ya kifo chake ni ya kuhuzunisha na yenye mafunzo. Sijui username yake ya JF kwani tulikutana ''casually'' kwenye kilevi mwezi wa tatu mwaka huu tena siku moja tu. Katika maongezi alinijulisha...
  2. S

    Kaliua: Askari wa wanyama pori afariki

    Askari wa wanyama pori afariki dunia wakati akijaribu kumkimbiza jangili. Jangili huyo alikimbilia mtoni na akaaanza kuogelea ndipo askari huyo aliekuwa na wenzake nawe akaamua ajitose kimfuata mtuhumiwa. Alioogelea lakini alipofika katikati ya mto maji yalimzidi kwani kina cha maji...
  3. Ujinga mtupu

    TANZIA Mtoto wa mwanamziki Davido Afariki Dunia akiwa anaogelea

    Habari. Mtoto wa mwanamziki mashuhuri Davido Amefariki akiwa anaogelea Kwenye Swimming pool. RIP little Young. Music icon, David Adeleke aka Davido has sadly lost his first son, Ifeanyi David, he had with Chioma Rowland aka Chef Chi. Ifeanyi who only recently celebrated his 3rd birthday...
  4. BARD AI

    Binadamu ambaye hajaoga kwa miaka 50 afariki akiwa na miaka 94

    Amou Haji aliyetajwa na vyombo vya habari kuwa "mtu mchafu zaidi duniani" amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 94, ikiwa ni miezi michache tu baada ya kunawa kwa mara ya kwanza katika miongo kadhaa. Amou alikuwa amekataa kutumia sabuni na maji kwa zaidi ya nusu karne, akihofia ingemfanya...
  5. King Kong III

    Kamanda wa Bavicha Calvin Lekule afariki dunia -Alitabiriwa kifo wiki moja nyuma

    Habari wana JF, Chadema imepata pigo kwa kumpoteza kamanda Calvin Lekule ambaye alikuwa mpambanaji sana, Lekule alikuwa mwanaharakati kama alivyo mdude, alikuwa anapinga sana police brutality na uonevu wa aina yeyote kwa vitendo na bila kuogopa. Wiki moja iliyopita alitabiriwa kifo na mmoja wa...
  6. figganigga

    TANZIA Mbunge Mussa Hassan Mussa Silima, afariki dunia

    Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Mussa Hassan Mussa Silima, Mbunge wa Jimbo la Amani Zanzibar amefariki dunia leo 13/10/2022 nyumbani kwake Zanzibar na taratibu za maziko zinafanyika. Kwa mujibu wa taarifa mwili wa marehemu unapelekwa kijijini kwao Bwejuu kwa ajili ya...
  7. BARD AI

    Mfanyakazi mwingine afariki kwa Ebola Uganda

    Ugonjwa wa Virusi vya Ebola (EVD) umekatisha maisha ya mhudumu mwingine wa afya wakati nchi ikipambana kudhibiti kuenea kwa virusi hivyo, Wizara ya Afya imeripoti. Dkt Jane Ruth Aceng, Waziri wa Afya alitangaza kifo cha Bi Margaret Nabisubi, Afisa wa Ganzi, leo Jumatano asubuhi. "Muuguzi huyo...
  8. JanguKamaJangu

    Mwanariadha afariki akishiriki katika mbio za London Marathon 2022

    Mwanaume mwenye umri wa miaka 36 alifariki baada ya kuzimia alipokuwa akikimbia mbio za London Marathon, waandalizi wamethibitisha. Mwanamume huyo, kutoka kusini-mashariki mwa Uingereza, aliugua kati ya maili 23 na 24 kati ya tukio la maili 26.2. Alipata matibabu ya haraka na gari ya wagonjwa...
  9. BARD AI

    Mtaalamu wa kukata mawimbi Chris Davidson afariki baada ya kupigwa ngumi nje ya bar

    Mchezaji nyota wa zamani wa Australia Chris Davidson amefariki baada ya kupigwa ngumi nje ya baa moja Kaskazini mwa Sydney. Mwanamaji huyo mwenye umri wa miaka 45 alipigwa usoni na kuanguka, akigonga kichwa chake kwenye barabara, polisi walisema. Alitibiwa katika eneo la tukio lakini alifariki...
  10. BARD AI

    Nguli wa muziki wa Jazz, Pharoah Sanders afariki akiwa na miaka 81

    Pharoah Sanders, mpiga saxophone wa Jazz wa Marekani, amefariki akiwa na umri wa miaka 81. Habari hizo zilithibitishwa na lebo ya Sanders, Luaka Bop, kwenye Twitter. "Tumesikitika kushiriki kwamba Pharoah Sanders amefariki," taarifa ya lebo hiyo ilisema. "Alikufa kwa amani akiwa amezungukwa na...
  11. BARD AI

    Mgonjwa mwingine wa Ebola afariki Uganda

    Mgonjwa mwingine ambaye ni mtoto mdogo, amefariki kwa Ebola katika hospitali moja katikati mwa nchi hiyo, kwa mujibu wa taarifa za gazeti la New Vision la nchini humo. Maafisa wa afya wanasema kuwa marehemu alikuwa mmoja wa watu 14 waliolazwa hospitalini wakiwa na dalili kama za Ebola...
  12. BARD AI

    Afariki kwa ajali ya gari akimfukuza mchepuko wa mume wake

    Kamanda Kikosi cha Usalama Barabarani cha Shirikisho (FRSC), huko Cross River, Maikano Hassan, amesema mwanamke huyo wa makamo alipata ajali hiyo na kupoteza maisha huko Calabar siku ya Jumapili baada ya kuwa katika ugomvi mzito na mwanamke aliyedaiwa kuwa ni mchepuko wa mume wake. Alisema...
  13. H

    TANZIA Balozi Paul Milyango Rupia amefariki dunia nchini Afrika Kusini

    Nimehuzunishwa na kifo cha Balozi Paul Milyango Rupia Aliyekuwa na umri wa miaka 84. Mauti yalimkuta Afrika Kusini alikokuwa akitibiwa. Paul alikuwa miongoni mwa wanadiplomasia wabobezi wa Tanzania na alikuwa muungwana. Kifo chake kimetupokonya busara na bashasha zake. Balozi Paul Rupia...
  14. BARD AI

    Abiria afariki ndani ya ndege ya Kenya Airways kabla haijaruka

    Taarifa iliyotolewa na shirika hilo leo Septemba 14, 2022 ilisema abiria huyo alifariki alipokuwa akihudumiwa na wahudumu wa afya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) Imeelezwa abiria huyo alipata matatizo ya kupumua alipokuwa akiingia kwenye ndege ambayo ilikuwa...
  15. Msitari wa pambizo

    TANZIA Askofu John Ramadhani afariki dunia

    Habari zalizotufikia hivi punde ni kuwa askofu mstaafu wa kanisa Anglikana Dayosisi ya Zanzibar na askofu mkuu msataafu wa Kanisa Anglikana jimbo la Tanzania John Ramadhani amefairiki dunia. Bishop Ramadhani ni kaka wa marehemu jaji mkuu msataafu wa Tanzania Jaji Augustino Ramadhani. Bishop...
  16. SYLLOGIST!

    Tetesi: Malikia Afariki: Sasa Nchi za Commonwealth Kusambaratika??

    Nitangulize pole zangu kwa Familia ya Elizabeth na Waingereza wote kwa msiba. ...vilevile nimpongeze Mfalme wa Waingereza. ....kwa taarifa zinazotiririka kuhusu kifo cha Malikia, kumekuwa na gumzo la Nchi zilizomo kwenye mfumo wa Commonwealth, sasa zitaanza ku"Brexit". Binafsi sioni umuhimu...
  17. BARD AI

    Ukame kupandisha tena bei za vyakula nchini

    Wakati mfumuko wa bei ya bidhaa za chakula ukiripotiwa sehemu mbalimbali nchini, hofu ya bei hizo kuendelea kupanda imeibuka baada ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kutangaza uwezekano wa kuwepo upungufu wa mvua za vuli katika maeneo yanayopata misimu miwili ya mvua. Hofu ya bei ya...
  18. Msitari wa pambizo

    Askofu wa Kanisa Angliakana Dayosisi ya Mpwapwa afariki siku 6 baada ya kuwekwa wakfu

    Katika hali ya majonzi na maskitiko askofu mkuu wa Kanisa Anglikana Tanzania Mahimbo Mndolwa ametangaza kifo cha Askofu mpya wa kanisa Anglikana Dayosisi ya Mpwapwa George Chiteto leo tarehe 3.9.2022 ikiwani nitakribani siku sita tangu askofu huyo alipowekwa wakfu wa kuwa askofu mkuu wa dayosisi...
  19. Suley2019

    Geita: Afariki dunia baada ya kuchomwa kisu mara 17

    Mkazi wa Lukirini, Kata ya Kalangalala, wilayani Geita, Amina Hassan (34) amefariki dunia wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Mkoa wa Geita baada ya kudaiwa kuchomwa visu mara 17 maeneo mbalimbali na mume wake. Kaimu kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Ally Kitumbu amethibitisha kutokea...
  20. P

    TANZIA Mikhail Gorbachev afariki Dunia

    Aliyekuwa rais wa Soviet Union (Russia) Mikhail Gorbachev amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 91 Gorbachev amefariki akiwa anapatiwa matibabu katika Central Clinical Hospital jijini Moscow Marehemu atakumbukwa kwa kufanikiwa kumaliza Cold War bila ya umwagaji wa damu, pia atakumbukwa kwa...
Back
Top Bottom