afariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Poppy Hatonn

    TANZIA Butiama, mtoto wa dada yake Mwalimu Nyerere afariki Dunia

    Hii imetokea Desemba 24 kijijini Butiama ambapo Richard (Nyerere) Masanza mtoto wa dada yake Mwalimu Nyerere amefariki Dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi. Richard amesoma shule ya msingi hapa Dar es Salaam, Kurasini. Alas,that is the only education he had. Ni binamu yangu,mtoto wa shangazi...
  2. Mkalukungone mwamba

    TANZIA Meja Jenerali Mstaafu Martin Shiminzi Busungu afariki dunia

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda ametangaza kwa masikitiko kifo cha Meja Jenerali Martin Shiminzi Busungu (Mstaafu), kilichotokea tarehe 24 Disemba, 2024 majira ya saa 10:15 jioni wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Enzi za utumishi wake Jeshini...
  3. Poppy Hatonn

    TANZIA Mzee Samson Kibonde, baba yake Ephraim Kibonde afariki Dunia

    Hii imetokea jana asubuhi. Mzee huyu amefariki baada ya pressure ya mawazo iliyotokana na kuhuzunika mke wake alipougua. Interest yangu na Ephraim Kibonde ni kwamba yeye ndiye aliyesabsbisha mimi kujiunga na JF. Ephraim Kibonde alikuwa anaongea katika kipindi cha Jahazi kwamba ukitaka...
  4. Muga_Thachamp

    Muigizaji Cherel (Michelle Botes) wa Isidingo afariki dunia

    Michelle Botes, aliyetamba sana kupitia series ya Isidingo the Need miaka ya 2000, amefariki dunia. Michelle Botes, alijulikana kwa kucheza vyema nafasi ya mwanamke muuaji aliyeitwa Cherel De Villiers, na baadaye kuwa Cherel Haines baada ya kuolewa na tajiri Barker Haines, Ambapo katika...
  5. Roving Journalist

    TANZIA Amos Nnko, Mkurugenzi ofisi ya Msajili wa Hazina, bintiye wafariki ajalini Same

    Ajali zinazotokea msimu wa sikukuu zimeendelea kuacha majonzi kwa Watanzania, baada ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu ofisi ya Msajili wa Hazina, Amos Nnko kufariki dunia. Nnko amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea maeneo ya Same, mkoani Kilimanjaro...
  6. Inside10

    TANZIA Katibu wa ccm mkoa wa Tanga, Seleman Sankwa afariki dunia leo tarehe 20 dec 2024

    Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Seleman Sankwa amefariki dunia leo Desemba 20, 2024 wakati akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es Salaam. Kifo cha Sankwa kimethibitishwa na Rajab Abdulrhaman, mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga, ambaye pia ni...
  7. L

    TANZIA Msajili wa Vyama vya Siasa Mstaafu, John Tendwa Afariki Dunia

    Ndugu zangu Watanzania, Habari ndio hiyo ya majonzi juu ya kifo cha msajili wa vyama vya siasa mstaafu John Tendwa ambaye amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo. Amekuwa msajili tangia wakati wa hayati Benjamini Mkapa mpaka wakati wa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete 2013. Amepigana vita iliyo...
  8. G

    TANZIA Mwanachuo wa DIT afariki kwa kuanguka kutoka ghorofa ya 10

    Mwanafunzi wa Diploma anaefahamika kwa jina la KURWA katika Chuo cha DIT amefariki baada ya kuanguka kutoka ghorofa ya 10 (jengo linaitwa teaching tower TT) Bado hakuna taarifa ya uhakika ya kuhitimisha kikamilifu chanzo cha kuanguka aidha kajirusha, kasukumwa, ajali, n.k. chanzo >>...
  9. Waufukweni

    TANZIA Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Yanga, Abdulrahman Mnero afariki dunia kwa Ajali, kuzikwa leo Mbagala, Kingugi

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Yanga, Abdulrahman Mnero aliyefariki dunia jana kwa ajali ya barabarani anatarajiwa kuzikwa saa 10:00 jioni ya leo huko Mbagala Kingugi, jijini Dar es Salaam. Munelo alipata ajali jana katika eneo la Mbagala Zakhem baada ya bodaboda aliyokuwa amepanda...
  10. Waufukweni

    TANZIA Mchekeshaji Frank Patrick (Molingo) afariki dunia

    Kijana Frank Patrick (Mchekeshaji wa Mtandaoni) maarufu Kama Molingo (17) Mkazi wa Wilaya ya Chato Mkoani Geita amefariki dunia usiku wa kuamkia leo December 10,2024 akiwa nyumbani kwao Chato ambako alikuwa akiuguzwa na Mama yake mzazi. Rafiki yake ambaye alikuwa akiishi nae na kumrekodi...
  11. TRA Tanzania

    TANZIA TRA inatangaza kifo cha mtumishi wao, Amani Simbayao kilichotokea leo 06/12/2024

    ============= Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inasikitika na kutoa pole kwa familia na ndugu na jamaa kutokana na kifo cha mtumishi wetu wa TRA, Bw. AMANI Kamguna Simbayao kilichotokea leo mchana wa tarehe 06 Desemba 2024 katika Hospitali ya...
  12. Inside10

    LGE2024 Manyoni: Jeshi la Polisi linamshikilia Askari aliyesababisha kifo cha mgombea wa CHADEMA

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamshikilia Askari mmoja wa Jeshi la Magereza kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mwananchi mmoja tukio ambalo lilitokea Novemba 26,2024 majira ya saa 5:00 usiku huko katika Kitongoji cha Stendi, kata ya Mkwese Wilaya ya Manyoni Mkoa wa Singida...
  13. B

    ALIYESEMA CCM HAINA CHA KUSEMA AKIPENDA MUNGU NDIYO ISHINDE. AFARIKI DUNIA.

    Marehemu Zawadi Salehe Makame KADA maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Visiwani Zanzibar, Zawadi Salehe Makame, amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Radio ya Serikali ya Zanzibar, Zawadi amefikwa na mauti jana Jumanne, tarehe 17...
  14. Roving Journalist

    TANZIA Aliyekuwa kiongozi wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) Selemani Kissoki afariki, azikwa Dar

    Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA), Suleiman Kissoki amefariki usiku wa kuamkia leo Novemba 6, 2024 nyumbani kwake Tabata jijini Dar es Salaam. Akizungumzia taarifa hiyo, Katibu Mkuu wa Shiwata, Michael Kagondela alisema hadi jana jioni, marehemu alikuwa...
  15. Stuxnet

    TANZIA Mtayarishaji nguli na mtunzi wa muziki Quincy Jones afariki dunia

    Quincy Jones amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 91. Alifariki usiku wa Jumapili nyumbani kwake Bel Air, Los Angeles, akiwa amezungukwa na familia yake. Quincy Jones alikuwa mtayarishaji maarufu wa muziki, mtunzi, na mpiga ala, anayejulikana kwa kazi zake na wasanii kama Michael Jackson na...
  16. Waufukweni

    TANZIA Kigogo ACT Wazalendo afariki dunia

    Mwenyekiti wa Ngome ya Wazee Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo, Yasin Mohamed Gumsani amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatatu Novemba 4, 2024 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Taarifa ya kifo chake imetolewa na mwenyekiti wa chama hicho, Othman Masoud Othman, imeeleza kuwa Gumsani...
  17. The Supreme Conqueror

    Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Msumbiji(SISE) Bernardo Lidimba afariki kwa ajali ya gari

    Kifo cha ghafla cha Bernardo Lidimba, Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa ya Msumbiji (SISE), katika ajali ya gari iliyotokea jana kimetikisa sekta ya kisiasa na kiusalama ya nchi. Tukio hili la kusikitisha limetokea wakati kuna maandamano makubwa yanayoendelea kufuatia matokeo ya...
  18. Poppy Hatonn

    Narada Muni

    LOKAPALA SABHAKHYANA PARVA Vaisampayana said, "While the splendid Pandavas sit in that sabha with the great Gandharvas, O Bhaarata, the Devarishi Narada arrives in that assembly, he who is a master of the Vedas and the Upanishads, he whom the Devas worship, he who knows the Itihasas and Puranas...
  19. Kidagaa kimemwozea

    Arusha: Afariki kwa kupondwa korodani na uume

    Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Israel Paulo (36) mkazi wa Leguruki wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, amefariki dunia baada ya kupondwa korodani na uume wake kwa madai ya kushindwa kuleta fedha kiasi cha shilingi 15,000 za kuku aliyoagizwa akauze na rafiki yake wilayani humo...
  20. Ghost MVP

    TANZIA Aliyekuwa Mwenyekiti wa TATA GROUP (Ratan Tata) afariki dunia

    Padma Vibhushan Ratan N Tata (Ratan Tata) mwenye asili ya India, alikuwa mwenyekiti wa Kampuni Kubwa ya Uwekezaji inayoitwa TATA GROUP. Ambayo imejikita katika maswali mbalimbali, ikiwemo usafirishaji, Vyakula, Usafiri wa anga. Ratan Tata Amefariki leo akiwa na umri w miaka 86, katika hospital...
Back
Top Bottom