afcon 2027

The 2025 Africa Cup of Nations, known in short as the 2025 AFCON or CAN 2025, is scheduled to be the 35th edition of the biennial African association football tournament organized by the Confederation of African Football. The tournament was supposed to be hosted in June-July 2025, however due to the formation of the expanded FIFA Club World Cup scheduled to be held in June-July 2025, the 2025 AFCON might be hosted in January-February 2026.
This edition of the tournament was supposed to be the 2nd to take place in the northern hemisphere summer since the 2019 edition to reduce scheduling conflicts with European club teams and competitions after the previous edition in 2023 was moved to January and February 2024 owing to the adverse summer weather conditions in Ivory Coast.Guinea was the set to be the original host of this edition of the tournament but CAF stripped it of hosting rights after affirming its inadequacy of hosting preparations. After a second bidding process, Morocco was given the hosting rights

View More On Wikipedia.org
  1. AFCON 2027: Naona kama kuna aibu kubwa inakuja mbele yetu kwa "international community" miaka 2 ijayo

    Wakuu, mbona naona kama kuna aibu kubwa inakuja kuchafua taswira ya Tanzania katika mashindano ya AFCON 2027?? Mtiririko wa matukio ya hivi karibuni ya kimichezo hususan soka pamoja na kukosa seriousness kwa viongozi wa mchezo husika, kunanipa wasiwasi sana wakuu.
  2. Wachezaji wa Kiafrika Wanatumika Kama Bidhaa Ulaya: AFCON Kudharauliwa na FIFA Kupuuza Maendeleo ya Soka la Afrika

    Soka ni mchezo unaopendwa zaidi ulimwenguni, lakini je, kweli Afrika ina nafasi sawa katika uwanja huu wa kimataifa? Ukweli mchungu ni kwamba mpira wa miguu umetumiwa kama silaha ya kudhibiti bara la Afrika—kutufanya tuhisi duni, kutudanganya kwamba hatustahili, na kutufanya tuendelee kuwa...
  3. VIDEO: Ujenzi wa Uwanja wa AFCON Arusha wafikia 25%

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Arusha unaotarajiwa kutumika kwa ajili ya mashindano ya Fainali za AFCON 2027 umefikia 25% za ujenzi wake. Msigwa amesema hayo leo tarehe 3 Februari...
  4. Tanzania Inapaswa Kujiondoa kama mwenyeji wa Afcon 2027

    Mwaka 2027, Tanzania, Uganda, na Kenya zitakuwa nchi mwenyeji wa Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon). Hata hivyo, maandalizi ya mashindano haya bado ni hafifu, na hadi sasa hakuna viwanja vya kiwango cha kimataifa vya kutosha kwa ajili ya mashindano makubwa haya. Katika hali hii, Shirikisho la...
  5. Gerson Msigwa: Ujenzi wa Uwanja wa AFCON Arusha wafikia zaidi ya 16%

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Arusha unaotarajiwa kutumika kwa ajili ya Fainali za AFCON 2027 unaendelea vizuri licha ya mvua kubwa zinazonyesha na sasa umefikia 16% za...
  6. AFCON 2027 NI kutengeneza pesa!

    Wenye akili wameanza kujenga apartments, restaurants na sehemu za starehe (night clubs etc.). Wengine huko Lindi na Mtwara muendelee kulaumu tu
  7. F

    Afcon 2027

    Hivi kweli kuwa kenya wamenyang'anywa nafasi ya kuandaa hayo mashindano?
  8. Kwa jinsi Rwanda anavyojenga na kukarabati kwa kasi viwanja vyake vya mpira wa miguu, ni kama kuna kitu wanajua kitatokea kuelekea AFCON 2027

    Rwanda nadhani kuna nchi wameisoma inaweza kutema au kutemeshwa tenda ya AFCON 2027. Rwanda wanakarabati na kujenga viwanja kwa kasi kubwa sana. Juzi ninemsikia Waziri wa Michezo Mh. Ndumbaro, sikumuelewa, anasema iwanja wa taifa unaingiza watu karibu 60,000, lakini anasema wameagiza viti...
  9. Picha: Mwonekano mradi wa ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa Arusha, utakaotumika kwenye michuano ya AFCON 2027

    Matukio mbalimbali katika picha wakati Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Methusela Ntonda alipokwenda kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa Arusha, wakati wa kikao kazi cha mwezi cha maendeleo ya mradi huo. Ntonda alikuwa ameambatana na...
  10. Ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Arusha utakaotumika kwenye Fainali za AFCON 2027 wafikia 11%

    UJENZI WA UWANJA WA AFCON ARUSHA WAFIKIA 11% Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Gerson Msigwa amesema anaridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Arusha unaotarajiwa kutumika kwa ajili ya Fainali za AFCON 2027 ambao hadi sasa umefikia 11% za ujenzi. Msigwa...
  11. Samia AFCON City kuoamba Jiji la Arusha

    Arusha Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi ametembelea eneo utakapojengwa Mji wa “Samia AFCON City” kwenye eneo linalozunguka Uwanja Mpya wa Michezo unaojengwa eneo la Mirongoine jijini Arusha. Waziri Ndejembi amefanya ziara hiyo Oktoba 03, 2024 kukagua eneo...
  12. Kamati ya Bunge Yaridhishwa na Kasi ya Ujenzi wa Uwanja wa Arusha

    KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA KASI YA UJENZI WA UWANJA WA ARUSHA Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo chini ya mwenyekiti wake Mhe. Husna Sekiboko imeridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa Jijini Arusha kufuatia muda na kiasi cha pesa ambacho Serikali...
  13. Waziri Ndumbaro: Uwanja wa mpira Arusha utakamilika kwa wakati kwa michuano ya AFCON 2027

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro amesisitiza kuwa ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa Arusha utakamilika kwa wakati kama ilivyopangwa na kuwa tayari kwa michuano ya AFCON 2027. Akizungumza katika ziara ya kukagua maendeleo ya uwanja huo leo Agosti 29, 2024 Dkt...
  14. Hivi kweli Tanzania tuko serious na maandalizi ya AFCON? Kwa Mkapa panakarabatiwa? Arusha kuna hata jiwe limewekwa? Dodoma?

    Najiuliza tu, kama kweli kuna umakini katika hili, mbali na katibu mkuu wa wizara kukesha gym na mitandaoni, sioni alichokifanya katika Wizara, ni mambo ya status quo ante. Arusha na Dodoma, tuliambiwa watajenga viwanja, kuna dalili?. Naona Rwanda anakarabati na kujenga viwanja kama vile kuna...
  15. Serikali igeuze stendi ya Msamvu kuwa uwanja wa mpira AFCON 2027

    Habari wakuu, Mji wa Morogoro mjini haukuwi kwa kasi sababu umebanana, Stendi ya msamvu isogezwe Azimio au mbele huko mitaa ya kwa chambu usawa wa shamba la katani kushoto kama unaenda mkundi, Ili iwe jirani na kituo cha SGR. Kituo cha bus msamvu kigeuzwe kuwa uwanja wa mpira wa kisasa, Miundo...
  16. AFCON 2027 : Mechi za ufunguzi na fainali kufanyika Kenya ni failure kwa viongozi Tanzania

    Nimesikitika sana kuona nchi ambayo kwa siku za karibuni haijashiriki wala haina perfomance nzuri katika michuano ya soka kimataifa kupewa kipaumbele mbele ya Tanzania ambayo miaka ya karibuni imefanya vizuri kimataifa, hususan barani Afrika. Je, viongozi wetu wamelala tu wala hawahangaiki au...
  17. Kama CAF wameamua Mechi ya Ufunguzi na Fainali za AFCON 2027 zifanyike Kenya, kuna Faida gani Tanzania kuwa Muandaaji?

    Waziri wa Michezo wa Kenya amedai kwamba Kenya ndio imechaguliwa kuwa Mwenyeji wa mechi za Ufunguzi na Fainali za AFCON ya mwaka 2027 pamoja na mechi zingine. Sasa naomba ieleweke kwamba mechi za ufungyna Fainali ndio hufuatiliwa zaidi na ndio Zina faida kiuchumi,Sasa iweje mechi zote 2...
  18. SoC04 Tanzania we want: We are not ready for AFCON 2027

    Mzee Hamis held the worn photograph, the vibrant colors dulled by time, a flag Gold-edged black diagonal band, divided diagonally from the lower hoist-side corner, with a green upper triangle and light blue lower triangle. It was him, younger, joyous, celebrating Tanzania's AFCON bid victory...
  19. SoC04 Tanzania Tuitakayo: Je, tupo tayari kwa AFCON 2027?

    Septemba 27, 2023 huko Cairo, Misri katika Kikao cha Kamati ya Utendaji ya CAF walitangaza kuwa Tanzania, Kenya pamoja na Uganda watakuwa wenyeji wa michuano ya Afcon 2027. Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika ya 2027, ambayo pia inajulikana kama AFCON 2027 au CAN 2027, imeratibiwa kuwa ni...
  20. Kuelekea Afcon 2027: Arusha ipo haja ya kuwa na timu Ligi Kuu

    Wakati serikali ikiendelea na ujenzi wa uwanja wa mpira jijini Arusha kwa ajili ya Afcon 2027, Sio vibaya Arusha iwe na timu ligi kuu kwa lengo la kuufanya mji uwe busy na pilika za kimichezo. Hata kama mpaka kufikia muda huo hili litashindikana basi TFF waangalie namna ya kupanga mechi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…