Nikiwa kama mdau wa michezo hasa Mipira wa Miguu, nashauri Serikali kufanya haya ili kuboresha kiwango cha mpira nchini, na hata ushiriki wetu kwenye mashindano yajayo ya AFCON,2027 yatakayo fanyika nchini kwa kushirikiana na wenzetu wa Kenya na Uganda.
1. Tutafute Kocha wa daraja la juu...
"Tunaanza mkutano na wadau kuwaelimisha watu wa bodaboda na bajaji na kupanga vituo,lakini pia wenzetu wa daladala ndogo (Hiace) muda wao kati kati ya Jiji umeisha”
“Tunahitaji wawekezaji wa mabasi makubwa ,mabasi ambayo yanatakiwa yawe zero kilomita lakini pia yawe branded ili yawe na sifa ya...
Serikali imeingia mkataba wa kuanza Ujenzi wa uwanja Mpya Jijini Arusha Maarufu kama Samia Suluhu Hassan Stadium ambao ni Mahsusi Kwa Ajili ya Maandalizi ya AFCON 2027.
Uwanja huo utagharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 286.
Kazi iendelee 👇👇
https://youtu.be/q05ytnyfpa0?si=jLrsYa4X_7tKcjKO...
Wakenya wanataka fainali ya AFCON 2027 ifanyikiwe kwao. Rais Ruto ameliagiza Jeshi pamoja na Wizara ya Michezo wajenge uwanja wenye hadhi ya Kimataifa unaobeba watu 60,000 jijini Nairobi tena Ukamilike ndani ya Miaka 2 tu. Tanzania inabidi tuchangamke, fainali ichezewe kwa Mkapa.
Sisi wabongo...
Ni chini ya miaka mitatu sasa kabla ya AFCON 2027 kufanyika na tunajua Tanzania, Kenya na Uganda watakuwa wenyeji wa mashindano hayo maarufu barani Africa.
Tuliambiwa Tanzania itajenga viwanja vipya vya mpira Arush na Dodoma.
Ujenzi wa viwanja vizuri na vikubwa vya kimataifa huchukua muda...
Mawaziri wa Michezo wa Tanzania, Kenya na Uganda wamekutana na timu ya wataalamu kutoka nchi hizo kuweka mikakati ya pamoja kuelekea mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) mwaka 2027, leo Novemba 7, 2023 Mjini Mombasa nchini Kenya
Kwa upande wa Tanzania kikao hicho kimehudhuriwa na...
Majirani zetu Wakenya na Waganda kupitia mitandao ya kijamii wapongeza namna Tanzania ilivyoandaa sherehe za ufunguzi wa African Football League na kushauri Tanzania ipewe sherehe za ufunguzi na mechi ya fainali katika mashindano ya Afcon 2027 ambayo kwa pamoja itaandaliwa Tanzania, Kenya na Uganda.
Pongezi kwenu JWTZ kuwa na maeneo mengi makubwa hapa Tanzania.
Maeneo mengi yapo strategically kama mtayatumia kama fursa ya kukuza uchumi wa Jeshi letu la wananchi.
Pale Nyegezi kona katikati ya jiji la Mwanza mna kiwanja local ambacho huwa mashindano mbalimbali ya michezo huwa yanafanyika...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema haikuwa kazi rahisi kwa nchi za Tanzania, Kenya na Uganda kushinda zabuni ya kuandaa Fainali za Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027).
Dkt. Ndumbaro amesema hayo Septemba 29, 2023 jijini Dar es Salaam...
GENTAMYCINE naomba niandaliwe Program Maalum nchi nzima ya kufundisha Customer Care kwa Watoa Huduma Wote kabla ya kuanza kwa Mashindano haya na nawahakikishieni kwa Madini yangu ya Kutukuka ambayo nitawapa tegemeeni Wageni wengi watakaokuja kutizama Michuano ya AFCON 2027 wakang'ang'ania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.