Alikamatwa Mei 2020 na kukaa mahabusu ya polisi Central kwa siku 14 kwa amri ya utawala wa awamu ya tano kwa tuhuma za kuposti taarifa za wagonjwa wa Covid19 kukimbia Amana Hospital.
Pamoja naye Mhariri na Mkurugenzi wa Raia Mwema Mbaraka Islam naye alikamatwa na wote walipekuliwa nyumbani...
Rejea headline ya Raia Mwema ya tarehe 24 August, 2022. Deus Kakoko alikuwa "Untouchable" kipindi cha Magufuli kutokana na kuwa msiri wake tangu akiwa Regional Manager wa TANROADS enzi za awamu ya 4.
Wakati wa Mwendazake hata PM Majaliwa amewahi kugonga mwamba kwa hiki kisiki.
Soma na hizi...
Edward Motaroki Nyaanga
Edward Motaroki Nyaanga amefikishwa Mahakamani kwa makosa ya kujifanya ni askari, pili kumjeruhi kwa kumpiga askari halisi Nchini Kenya na kumsababishia majeraha kichwani na mikononi.
-
Amesomewa shitaka la kumpiga Konstebo Dominic Obura tukio lililotokea Juni 16, 2022...
KATIBU WA AMCOS WILAYANI MASWA KORTINI KWA UHUJUMU UCHUMI.
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(Takukuru) imemfikisha Katibu Wa Chama Cha Msingi cha Ushirika (Amcos)cha Mbaragane katika wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu,Samwel Makeja katika mahakama ya wilaya hiyo kwa makosa mawili ya...
Mkazi wa kijiji cha Luhagala, kata ya Litumbandyosi wilaya ya Mbinga mkoa wa Ruvuma, Aleyanda Mdendemi (54) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya kwa tuhuma za kufanya mapenzi na watoto wake wawili na kuzaa na mmoja kati yao.
Akisomewa mashtaka hayo na mwendesha mashtaka wa polisi, Inspekta...
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kufunguliwa mashitaka mengine yanayomkabili, leo Jumatano Juni Mosi, 2022
Sabaya amefikishwa Mahakamani hapo Sa 11:40 Asubuhi.
===========================
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoa...
Picha: Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba
Mtoto wa Rais Museven afikishwa mahakamani kwa kuutaka Urais wa Uganda
Mahakama ya kikatiba ya Uganda imemtaka mtoto wa Rais Yoweri Museveni, Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba, kujibu shtaka analotuhumiwa la kueleza nia yake ya kuwania urais akiwa...
Zanzibar ni nchi ya kiislamu?
===
Maulid Hussein Abdallah maarufu kama Mauzinde (29) amefikishwa Mahakama ya Mwanzo katika Kijiji cha Mwera Wilaya ya Magharibi Unguja Kisiwani Zanzibar, kwa tuhuma ya kukata viuno hadharani.
Kijana huyo mkazi wa Rahaleo anatuhumiwa kutenda kosa hilo huko...
Mchungaji Diana Bundala maarufu 'Mfalme Zumaridi' na wenzake 92 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza na kwa ajili ya kusomewa mashtaka yanayokabili.
Msafara wa magari matatu aina ya difenda zilizolindwa na askari waliojihami kwa silaha umewasili katika mahakama hiyo saa...
Washitakiwa watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mjini Moshi leo Jumatano Februari 23, 2022 wakikabiliwa na mashtaka ya kumuua Patricia Ibreack Paul (66) mkazi wa Rau mjini Moshi Kisha kuuzika mwili wake kwenye shimo nje ya makazi yake.
Washitakiwa hao ni Wendy Mrema ambaye ni...
Mwandishi wa Uganda anayetuhumiwa kutuma taarifa za kashfa kuhusu rais na mtoto wake wa kiume kwenye mtandao wa Twitter amefunguliwa mashtaka mahakamani, wiki kadhaa baada ya kukamatwa.
Kakwenza Rukirabashaija alishtakiwa kwa makosa mawili ya mawasiliano ya kukera na amepelekwa gerezani hadi...
Mtoto wa miaka 15 aliyekuwa akifanya kazi za ndani amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha akikabiliwa na shtaka la mauaji ya mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu.
Amefikishwa mahakamani leo Ijumaa Julai 9, 2021 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo, Salome Mshasha huku...
Ole Sabaya mtu mwenye tuhuma zisizo na idadi , leo tena amefikishwa mahakamani huko Arusha akiwa amevaa Suti iliyopauka ili kusikiza kesi zinazomkabili.
Kesi za aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, mkoa wa Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya (34) na walinzi wake watano, ambao wanakabiliwa na mashtaka...
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne, leo Ijumaa, wako mahabusu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha akiwa chini ya ulinzi mkali wa jeshi la polisi.
Bado haijafahamika mashitaka yanayomkabili
=====
UPDATES:
=====
Arusha. Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.