Mkuu
Pole KWA majukumu
Nimepata malalamiko kutoka KWA wakuu wa shule za secondari hapo mkoani Tabora kwamba maandalizi ya mitihani ya mock kidato cha nne na cha pili hayakuridhisha!
Kuna kasoro nyingi kama hizi;-
1.Mitihani ilichapiwa kule Mwanza matokeo yake ikachelewa kufika mashuleni KWA...
Idara ya utumishi na Tsc
Kuna watumishi mliwahamisha vituo vya kazi tangu mwezi July mwaka jana Hadi leo hamjawalipa stahiki zao za uhamisho na BADO wapo vituo mama wakisubiri fedha zao Hadi leo na hawafanyi kazi KWA takribani mwaka mzima.
Watumishi hao wanalipwa mishahara bila kufanya kazi...
Afisa Elimu Msingi wa Halmashauri ya wilaya ya Tandahimba anawalazimisha walimu kuchangia mitihani ya utamilifu ngazi ya mkoa kwa pesa za kutoka mifukoni mwao. Afisa huyo ajulikanaye kwa jina la Samuel Mshana ambaye amehamia kwenye halmashauri hiyo hivi karibuni akitokea Halmashauri ya wilaya...
Hii imekaaje? Waliosomea nyanja ya mifugo, misitu, kilimo, uuguzi, nk katika ngazi ya shahada na kuendelea hutambuliwa kama maafisa katika nyanja zao kama vile afisa mifugo, afisa misitu, afisa kilimo, afisa uuguzi nk, na jamii kukubali kuwa wanastahili kutunukiwa uafisa katika maeneo yao ya...
Huyu mheshimiwa ndio amebaki wilaya ya Songwe baada ya God father wake kupelekwa Tabora.
Watu wa Tabora chukueni tahadhari zote kuwania ameanza kuwahamisha watumishi wake vipenzia aliokuwa anafanya kazi nao mkoa wa Songwe kuwahamishia Tabora.
Muwe makini hawachelewi kujazana maofisi huko...
Katika mapokezi ya makamu mwenyekiti wa CCM bara ndugu Abrahaman Omari Kinana jana, amesema amepewa maelekezo na mwenyekiti wake aanze kupitia baadhi ya mikoa ikiwemo mkoa wa Tanga.
Kinana utakapo karibia Tanga fanya liwezekanalo hata kwa dakika chache uonane na aliyekua afisa elimu taaluma...
VIONGOZI wa Serikali na vyama vya kisiasa nchini wameaswa kupata chanjo ya Uviko-19 hadharani, ili kuhamasisha jamii ishiriki shughuli hiyo kuliko kuchanja wenyewe bila kuonekana.
Ofisa elimu ya msingi wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Silvanus Tairo amesema endapo viongozi...
Habari wakuu za usiku,
Kama kawaida naomba nielezee kwa masikitiko makubwa jinsi huyu Afisa Elimu Mkoa wa Songwe anavyojifanya Mungu mtu akishirikiana na Afisa Elimu Wilaya ndugu Bhange.
Kwa bahati nzuri nilikuwa kwenye semina ya usimamizi wa mitihani, nikamsikia akimzungumzia mwalimu mmoja...
Mkuu wa Wilaya ya Musoma amemuweka ndani Polisi Afisa Elimu wa Wilaya ya Musoma Mwl Kalugendo kwa uonevu ati kwa sababu Afisa Elimu huyo alichelewa kuhudhuria Kikao chake cha Chama kilichopangwa kupokea taarifa ya Maendeleo ya Wilaya ya Musoma.
Mkuu huyu wa Wilaya anaenda kinyume na Maelekezo...
Tunaoifahamu Halmashauri ya wilaya ya Rungwe tunajua Loema Peter hatoshi kuwa kiongozi.
Ilikua ni ajabu kwa yeye kuendelea kuwepo kwenye mkeka baada ya madudu yaliyofanyika kipindi chake.
Lakini hayo yamepita, kazi njema katika kituo chako kipya.
Kwako Ndugu Mchau, waangalie hao wa chini...
Mkuu wa idara elimu msingi halmashauri ya Jiji la Arusha, Omary Kwesiga amesema ameshangazwa kusimamishwa kazi akidaiwa kufanya igizo la kuchomwa chanjo ya ugonjwa wa Covid-19.
Amesema picha za video zinazosambaa katika mitandao ya kijamii zikionyesha kuwa hakuchomwa chanjo hiyo zimechezewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.