Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Rugemeleza Nshala, amedai kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani alikuwa miongoni mwa waliotajwa kama 'Maafisa Kipenyo' ndani ya CHADEMA, akirejea madai yaliyowahi kuibuliwa kupitia nyaraka zilizodaiwa kuvuja mwaka 2020 kuhusu watu waliodaiwa kupandikizwa ndani ya vyama...