Dkt. Nshala: Waziri wa Mambo ya Ndani alikuwa 'Afisa Kipenyo' ndani ya CHADEMA

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Rugemeleza Nshala, amedai kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani alikuwa miongoni mwa waliotajwa kama 'Maafisa Kipenyo' ndani ya CHADEMA, akirejea madai yaliyowahi kuibuliwa kupitia nyaraka zilizodaiwa kuvuja mwaka 2020 kuhusu watu waliodaiwa kupandikizwa ndani ya vyama vya siasa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi.

Akizungumza katika mahojiano, Dkt. Nshala alisema hawezi kuthibitisha wala kukanusha iwapo bado kuna 'Maafisa Kipenyo' ndani ya CHADEMA kwa sasa, lakini akasisitiza kuwa iwapo wapo, "siku zao zinahesabika," akieleza kuwa chama hicho kitaendelea kukabiliana na changamoto hizo.

Safi sana. CHADEMA safisha chama. Timua wote wanaoonekana kukubaliana na huyo muuaji
 
CCM ni dude kubwa Sana,Mimi Nina mashaka Sana na hawa watu.

Boniface Jacob (Boniyai)
Godbless Lema
Martin Masese (siyo mwandamizi)
John Mnyika.

Hawa watu ni informers toka CCM

Wapigania chama ni hawa

Peter Msigwa.

Ingawa alihamia CCM Kwa hasira baada ya kuenguliwa na Mbowe lakini moyo upo CDM

John Heche

Yupo wazi haihitaji maelezo mengi.

Tundu Antipas Lissu.
Mandela wa Tanganyika,huyu mishipa ya damu ni CDM

Watu ambao wapo nusunusu dau likiwa kubwa Wanabadilisha upande

Maria Sarungi,
Hilda Newton,
Joseph Mbilinyi (sugu,au real Jongwe)
 
Kwani Mzee mtei hakua!!?mabere nyaucho marando nae!!?Mbowe mnamuonaje!!?

Fanyeni siasa TU!

Because walioanzisha vyama vyote vya upinzani walikua maafisa vipenyo na walianzisha ili kuisaidia chama kikuu kutawala vyema wanasiasa wote wenye akili timamu wanajua tena wa vyama vyote!!
 
Zamani ilikuwa hivyo. Kwa sasa kizazi kimebadilika na mambo yake pia yamebalika.
 
CCM ni dude kubwa Sana,Mimi Nina mashaka Sana na hawa watu.

Boniface Jacob (Boniyai)
Godbless Lema
Martin Masese (siyo mwandamizi)
John Mnyika.

Hawa watu ni informers toka CCM

Wapigania chama ni hawa

Peter Msigwa.

Ingawa alihamia CCM Kwa hasira baada ya kuenguliwa na Mbowe lakini moyo upo CDM

John Heche

Yupo wazi haihitaji maelezo mengi.

Tundu Antipas Lissu.
Mandela wa Tanganyika,huyu mishipa ya damu ni CDM

Watu ambao wapo nusunusu dau likiwa kubwa Wanabadilisha upande

Maria Sarungi,
Hilda Newton,
Joseph Mbilinyi (sugu,au real Jongwe)
Ndiyo maana unajiita majina ya vilevi
 
Inawezekana hata sasa wapo vipenyo wengine, tutakaokuja kuambiwa baada ya miaka mitano ijayo.

Mbaya zaidi wanafika stage ya kupewa uongozi ndani ya Chadema!.
 
Chadema ni chama cha kuhalalisha wizi na utapeli.
 
Back
Top Bottom