africa super league

  1. Gordian Anduru

    Kwanini hakuna habari za Afrika super league kwenye vyanzo rasmi vyote

    Ukitaka kupata habari za super league basi ukazitafute kwenye magroup ta whatsapp ya mashabiki wa simba au utazisikia kwa Ahmed Ally au Try Again kwenye mkutano wa Simba. Official page ya CAF (cafonline.com) na social media zake zoote ukikuta habari ya Africa Super league bas ni ile ile...
  2. Ojuolegbha

    Naibu waziri Hamis Mwinjuma na katibu mkuu wa CAF wajadili uendelezaji mpira wa miguu

    Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mohamed Mwinjuma amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF), Veron Mosengo-Omba. Katika mkutano huo ulifanyika leo Aprili 6, 2023 Durban nchini Afrika Kusini, Mhe. Mwinjuma ametumia...
  3. J

    Uwanja wa Mkapa kufanyiwa maboresho makubwa kwa michuano ya Africa Super League

    Uwanja wa Mkapa kufanyiwa maboresho makubwa kwa michuano ya Africa Super League Serikali imeahidi kufanya marekebisho makubwa yanayohitajika katika uwanja wa Benjamin Mkapa ili kukidhi viwango vya kimataifa vinavyohitajika katika michuano ya Africa Super League ambayo Klabu ya Simba ndio...
Back
Top Bottom