Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mohamed Mwinjuma amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF), Veron Mosengo-Omba.
Katika mkutano huo ulifanyika leo Aprili 6, 2023 Durban nchini Afrika Kusini, Mhe. Mwinjuma ametumia...