Mkurugenzi mpya wa masoko, wanachama na mashabiki wa klabu ya Young Africans ndugu Ibrahimu Samweli anatoa wapi mamlaka na uhalali wa kuvunja uongozi wa kuratibu shughuli za matawi ya yanga mkoani Morogoro..!!!? Ikiwa yeye mwenyewe ni mwajiriwa tu pale klabuni.
Kitendo cha kumtoa Mratibu wa...