Tanzania ni miongoni mwa nchi sita (6) zinazounda jumuiya ya Afrika Mashariki yenye nchi za Uganda, Kenya, Rwanda, Sudani ya Kusini, Burundi na Tanzania yenyewe. Eneo lote la Afrika Mashariki (ukiondoa Sudani Kusini) linakadiriwa kuwa na ukubwa wa kilomita za mraba 1,820,664 (ukubwa mara 53.7 wa...