"Wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki" or "Jumuiya Yetu" (English: "East African Community anthem") is the national anthem of the East African Community. It is a Swahili language hymn.
Ukifuatilia wakrsto wachache wanaoishi somalia ni kama wapo kifungoni hawana amani wameathirika kisaikolojia kutokana na uchache wao ambao ni chini ya asilimia 5 wengi wao wanasali nyumbani kuepusha kulipuliwa wakiwa kwenye nyumba za ibada wanalazimishwa kwa makusudi na dola na umma kuwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la Benki Kuu ya Tanzania jijini Mwanza, aliitaka Tanzania kujiandaa na matumizi ya sarafu za mtandaoni au Cryptocurrency.
Ambapo alitoa wito kwa Benki kuu ni vema waanze kufanya kazi za maendeleo...
Tume ya uchaguzi nchini Kenya 16-08-2022 ilitangaza matokeo ya Urais ambapo Wiliam Ruto aliteuliwa kuwa Rais mteule wa awamu ya Tano wa taifa la Kenya , kutokana na kuteuliwa kwake kuwa Rais, nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika mashariki tunamategemeo mengi juu
Kenya ni nchi muhimu panapohusika...
Kwa zile sherehe zilizofanyika kiukweli ziliwastusha mpaka Caf, Tofauti na manyonyo waliozoea kutembeza kombe kwenye fusa huku wakiwa na mashabiki wachache, Yanga ilionyesha ni namna gani kombe inabidi lisherekewe huku kukiwa na mashabiki wengi sana ....
Hali hii machoni mwa caf tayari ni...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifungua barabara ya Afrika Mashariki (Arusha Bypass) km 42.4 Ngaramtoni Arusha, leo Tarehe 22 Julai, 2022
=======
Hotuba ya Rais Samia, Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania
Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa Mungu na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa 22 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa (AICC) Arusha, leo tarehe 21 Julai, 2022
Leo na kesho kutakuwa na mkutano wa wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika mashariki huko Arusha. Kwa mtazamo wangu mkutano huo ni wa upotevu wa muda, fedha za wananchi kwani hakuna lolote la maana linajadiliwa na kufikia hatua ya utekelezaji.
Mengi ya makubaliano ya jumuiya hii huishia kwenye...
Moja kwa moja kwenye mada,
Tanzania imetajwa kuburuza Mkia kwenye Udahili,idadi na ubora wa Elimu ya Juu ukilinganisha na Nchi jirani za Afrika Mashariki.
Licha ya kuwa na idadi kubwa ya watu ila inazidiwa hadi na Burundi na Rwanda kwenye swala Zima la Elimu ya Juu.
Ili kukabiliana na Hali...
Viongozi 7 wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wanatarajiwa kukutana leo Juni 20, 2022 Jijini Nairobi, Kenya mada kuu ikiwa ni mgogoro unaoendelea kati ya DRC na Rwanda.
Kumekuwa na mapigano makali yanayofufua uhasama wa miongo kadhaa kati ya mataifa hayo mawili, ambapo DRC inailaumu Rwanda...
Tamasha la Sanaa na Utamaduni la Afrika Mashariki lilifunguliwa mjini Addis Ababa, nchini Ethiopia.
Tamasha hilo litafanyika kwa siku kadhaa na kuonesha thamani ya sanaa na utamaduni ya watu wa Afrika Mashariki kwa kuonesha bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na watu wa Afrika, vyakula na dawa...
Kwenye pita pita zangu hapa Entebbe ninekuwa nikichoshwa na hizi sare za askari wa usalama barabarani hapa Uganda hasa kwa upande wa wanawake. Hazivutii, ni mbaya kwelikweli, kuna namna wanatakiwa waje wajifunze huko nyumbani jinsi askari wetu wanavyovaa na kuvutia.
Habari zenu wana na wanawake, kwa upande wangu namuona Dr Jose kama msanii bora wa muda wote kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki, wewe unadhani ni nani anastahili kuwa katika pendekezo lako
Baada ya Kampuni ya Uber kusitisha baadhi ya huduma zake Nchini Tanzania, huenda Kampuni ya Bolt nayo ikafanya hivyo kwa upande wa Huduma za Usafiri wa Gari kutokana na ada ya huduma ya 15% iliyowekwa na LATRA
Meneja wa Bolt Kanda ya Afrika Mashariki, Kenneth Micah amesema Kampuni hiyo imeomba...
Rasmi Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, Jumanne ya Machi 25, 2022 waliidhinisha na kuikaribisha rasmi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwenye uanachama mpya wa jumuiya hiyo inayokuwa na wanachama saba sasa.
Hii ni kufuatia mapendekezo ya kikao cha baraza la mawaziri cha Machi 25...
Upande wa kwanza Zanzibar ni nchi iliyoungana na Tanganyika ikapatikana Tanzania, katika huu muungano Zanzibar inabidi iwe na raisi au makamu wa raisi wa Tanzania, Pia Wazanzibari katika huu muungano wapo Mawaziri, mabalozi, wakuu wa taasisi, wabunge, Idara za ulinzi, waajiriwa, n.k.
Lakini kwa...
Baraza la Jumuiya ya Afrika Mashariki limeongeza muda wa kusitishwa kwa matumizi ya pasi za kusafiria za zamani.
Katika wakati wa mkutano wao wa 41 wa Jumuiya hiyo uliofanyika Jijini Arusha, Tanzania ilipitishwa kuwa tarehe ya mwisho ilikuwa 4 Aprili 2022, lakini sasa Novemba 2022 ndio tarehe...
EAC Heads of State OFFICIALLY admit the Democratic Republic of the Congo (DRC) into the East African Community.
H.E Uhuru Kenyatta,Chair of the Summit of EAC Heads of States announces during the 19th Extra-Ordinary Summit of EAC Heads of State.
===
Mwenyekiti wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya...
africa
afrikaafrikamashariki
community
congo
drc
east africa
history
jamhuri
jumuiya
jumuiya ya afrikamashariki
kidemokrasia
kongo
made
mashariki
member
new
Mkataba kama wa NATO hufanya nchi wanachama wajione wamoja na huwa hawawezi kukwaruzana kijeshi. Kwa vile Jumuia ya Afrika ya Mashariki imepanuka na kuwa kubwa sana ikiwa na nchi zenye itikadi tofauti tofauti, kuna haja ya kufanya mambo kadhaa.
Kwanza ni kuweka sera ya pamoja ya ulinzi ili...
Itakumbukwa kwamba Chadema ilifungua kesi ya kupinga mabadiliko ya sheria za vyama vya siasa nchini Tanzania yaliyopitishwa na bunge bila aibu ili kuua demokrasia na kukandamiza vyama vya upinzani, Kesi hiyo ilifunguliwa mwaka 2020 kwenye Mahakama ya Afrika Mashariki iliyoko Arusha.
Leo Hukumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.