Kenya, Tanzania na Rwanda zimeendelea na juhudi zao katika kutanganza vivutio vyake katika soko la China ikiwa ni pamoja na vivutio vya utalii, sanaa za mikono, na hata bidhaa za kilimo kama kahawa. Kwenye hafla moja iliyofanyika mashariki mwa mji wa Beijing na kutangazwa moja kwa moja kwa...