afrika mashariki

"Wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki" or "Jumuiya Yetu" (English: "East African Community anthem") is the national anthem of the East African Community. It is a Swahili language hymn.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    Diamond Platnumz aweka rekodi, awa msanii wa kwanza Afrika Mashariki kuwania Tuzo za MTV Europe Music Awards kwa Mihula Mitano

    Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amekuwa msanii wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kuchaguliwa kuwania tuzo za MTV Europe Music Awards kwa mihula mitano, akiwania vipengele sita, ikiwa ni pamoja na Best African Act mara tano na Best Worldwide Act mara moja. Katika mihula minne...
  2. Manyanza

    Tanzania yaongoza kwa Usalama Mtandaoni Afrika Mashariki na kusini mwa jangwa la Sahara

    Tanzania imeshika nafasi ya kwanza Afrika Mashariki, Kusini na Kati kwa usalama wa mtandaoni, kwa mujibu wa Ripoti ya Kielezo cha Usalama wa Mtandao ya mwaka 2024 (GCI). Tanzania imepata alama ya asilimia 100 katika nguzo zote tano za usalama wa mtandaoni, ambazo ni: kisheria, kiteknolojia...
  3. GENTAMYCINE

    Kwa 'Dua Shtakia Mungu' itakayosomwa Afrika Mashariki huenda kuna Chama Kikakosa Mgombea Urais wake katika Uchaguzi Mkuu ujao

    Haya tuanze mapema kumtafuta wa Kumrithi.
  4. Roving Journalist

    Hotuba ya Biteko, ufunguzi wa Jukwaa la 16 la Ununuzi wa Umma la Afrika Mashariki na Uzinduzi wa Mfumo wa NEST

    HOTUBA YA MHE. DKT. DOTO BITEKO, NAIBU WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA NISHATI, AKIMWAKILISHA MHE. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA UFUNGUZI WA JUKWAA LA 16 LA UNUNUZI WA UMMA LA AFRIKA MASHARIKI NA UZINDUZI WA MFUMO WA KIELEKTRONIKI WA UNUNUZI WA UMMA (NEST), TAREHE 9 SEPTEMBA 2024...
  5. BARD AI

    Hivi ndio Wagombea wa CCM wanaomba kuteuliwa kuwania Ubunge wa Afrika Mashariki?

    Nimeangalia hii video nimeshindwa kuelewa tofauti ya Kuuza sera na "Kujiuza" ni ipi. Shame.
  6. BARD AI

    Rapa Prezzo adai yeye ndiye chanzo cha Diamond Platnumz na Wasanii wengine wa Afrika Mashariki kuanza kupata Pesa

    Jackson Ngechu Makini, anayejulikana pia kama Prezzo, mwanzilishi katika ulingo wa muziki wa Kenya, amekuwa na ushawishi mkubwa katika tasnia hiyo kwa miaka mingi. Katika mahojiano haya, mshiriki wa zamani wa Big Brother Africa anazungumzia safari yake, mchango wake katika ukuaji wa tasnia ya...
  7. U

    DR Congo yatishia kujiondoa katika Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Je, DRC imeona ni bora kuwa na marafiki wachache wenye tija kuliko kuwa na marafiki wengi wasio na tija, au ipoje? Habari kamili. ========== Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo imetishia kujiondoa katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) iwapo jumuiya hiyo itashindwa kuiwajibisha Rwanda kwa madai...
  8. figganigga

    Serikali: Gharama ya kununua umeme nchini ipo chini ukilinganisha na Nchi nyingine za Afrika Mashariki

    📌 Ni kutokana na Serikali kuweka ruzuku katika kila uniti 📌 Aelezea ruzuku inayotolewa na Serikali kufikisha umeme visiwani Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema gharama ya kununua umeme nchini ipo chini ukilinganisha na Nchi nyingine za Afrika Mashariki. Hii ni kutokana na...
  9. M

    Wasifu wa Mawaziri wa Afya wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, Afrika Kusini, na Misri

    Rejea kichwa cha habari. Harafu baadae tutaenda kutengua na kubadilisha Waziri tena. Ndiyo maana hakuna ufanisi. Sijui vetting huwa inafanyikaje huko jikoni? Pia soma: Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika ==== Dr. Liduine Baradahana -...
  10. GENTAMYCINE

    Natamani Siku kuwe na Mashindano ya Makomandoo wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, ili tujue nani hasa yuko vizuri kwa Mtiti pale Kikinuka

    Kuna nchi moja nilikuwa Ninajidanganya nikidhania Wao ni bora kwa Kuwaona mara kwa mara kumbe ni Wachumba.
  11. Ojuolegbha

    Rais Samia ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo akizungumza kuhusu kuteuliwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC -Organ...
  12. Stephano Mgendanyi

    Chikulupi Kasaka Achukua Fomu ya Kugomea Ubunge, Bunge la Afrika Mashariki (EALA)

    Chikulupi Njelu Kasaka ambaye ni Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) tarehe 14.08.2024. Chikulupi Njelu Kasaka amechukua fomu katika Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi iliyopo jijini Dodoma akisindikizwa na makada mbalimbali wa...
  13. B

    Kada chikulupi kasaka, mbobezi wa sheria, utawala na diplomasia atwaa fomu ubunge bunge la afrika mashariki

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi Chikukupi Njelu Kasaka amechukua fomu ya kugombea ubunge wa bunge la Afrika Mashariki (EALA) leo tarehe 14.08.2024. Kada huyo amechukua fomu katika ofisi ya Chama Cha Mapinduzi iliyopo jijini Dodoma akisindikizwa na makada mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi Chikulupi...
  14. I am Groot

    Mpaka muda huu hizi ndizo nchi za Afrika Mashariki zilizochukua medal ya Gold kwenye Olympic 2024

    Olympics Gold Medal tally Tanzania: 0 Kenya: 4 Ethiopia: 1 Uganda: 1 Burundi: 0 Rwanda:0 DRC: 0 S. Sudan: 0
  15. Pfizer

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, akutana na ujumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, Ijumaa Agosti 09, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki. Ujumbe huo ambao umeongozwa na Waziri katika Wizara hiyo Balozi Mahmoud Thabit Kombo...
  16. R

    Tishio la Gen Z lawanyima amani viongozi wa Afrika, wanatisha safari zao nje ya nchi. Wahofia kimbunga cha Arab Spring 2011

    Gen Z movement zilianzia Kenya, zinaelekea Uganda na sasa zimebisha hodi Nigeria. Yapo mafanikio kadhaa yameanza kuonekana kama: 1. Marais kusitisha safari zao nje ya bara la Afrika kwenda kuomba 2. Baadhi ya bajeti zimefyekwa tumeona Kenya, Uganda na hata Tanzania 3. Mabadiliko ya mabaraza ya...
  17. comrade_kipepe

    Hivi kuna Aunt mzuri hapa afrika mashariki kama Queen Masanja?

    Hivi huyu Queen MASANJA ni msukuma? Toto limeiva Sana aisee Sina maneno mengi picha inaongea
  18. TUKANA UONE

    Hakuna na hakutatokea ngoma Kali ya Hip Hop ya kushirikiana hapa Tanzania na Afrika Mashariki kuizidi MTAZAMO

    Hii ngoma iliyokutanisha manguli wa muziki wa Rap hapa Tanzania Kwa miaka hiyo kiukweli ilipikwa,ikasukwa na ikasukika ki kwelikweli! Kiukweli ninayo Jeuri kusema ya kwamba "Kama Kuna mtu anadhani Kuna ngoma Kali kuizidi hii naomba aiweke hapa na nitampatia Tsh 100,000/= Hii ngoma iliachiwa...
  19. B

    Nippon Paint Yazindua Kampuni Tanzu Afrika Mashariki, Ikilenga Kutoa Bidhaa na Huduma Zenye Ushindani Katika Soko Hili Linalokua

    (Kushoto Kwenda Kulia) Mheshimiwa Bw. Rohit Vadhwana, Kaimu Kamishina Mkuu wa India, Sharad Malhotra - Makamu wa Rais Mkuu, Nipsea Group, Hardev Singh- Rais na Mkurugenzi (Idara ya Kiwanda), Nippon Paint India, Arun Mishra - Meneja Biashara, Nipsea Paint Kenya, Jamil Virjee, Mkurugenzi Mtendaji...
  20. D

    Muenendo wa chuo kikubwa Afrika Mashariki na Kati upande wa kanzi tiba

    Habari...! Mimi ni mwanachuo wa mwaka wa pili katika chuo kikubwa Afrika mashariki na Kati. Katika kusoms kwangu toka nikiwa mwaka wa kwanza nilisikia chuo hiki kinafuata utaratibu wa Carryover under 16, ambayo inamfanya mwanafunzi arudie mwaka bila kufanya supplementary. Na hii ipo applied kwa...
Back
Top Bottom