afrika

  1. M

    Kweli nimeamini elimu tuliorithi kutoka kwa wakoloni ni chanzo cha umasikini mkubwa sana Tanzania na Afrika kwa ujumla wake

    Jana jioni kabla ya usingizi nilikuwa natafari kwa kujilaumu na kulalama... Nakuona kuwa maisha ni magumu sana, niliumia zaidi kuona watoto na mke wananitegemea, wazazi pia tena zaidi wanaamini kijana wetu msomi... Daaaah! Nikapiga hesabu muda niliotumia shule... Miaka 7 msingi + miaka 4...
  2. Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kinara Tuzo ya Taasisi Bora ya Uwekezaji Afrika

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Dkt. Tausi Kida amepokea Tuzo ya Taasisi Bora ya Uwekezaji Afrika iliyokwenda Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo (Mb), Mei 8, Abu Dhabi. Akizungumza na Vyombo...
  3. L

    Ushirikiano kati ya China na Ulaya kwenye masuala ya hali ya hewa utainufaisha zaidi Afrika

    Zikiwa pande mbili kubwa zenye nguvu ambazo ziko tayari kuongoza muundo na mageuzi ya utawala wa hali ya hewa duniani, China na Umoja wa Ulaya zimedumisha mazungumzo juu ya mabadiliko ya hali ya hewa na bioanuwai pamoja na masuala mengine ya kiuchumi na kisiasa. Ili kuimairisha ushirikiano huu...
  4. L

    Ushirikiano mzuri kati ya China na Umoja wa Ulaya unaendana na maslahi ya Afrika

    Rais Xi Jinping wa China anaendelea na ziara yake barani Ulaya, ambako amesisitiza mara nyingi kwamba kama nguvu mbili muhimu duniani, China na Ulaya zinapaswa kuimarisha uratibu na kukuza kwa pamoja ujenzi wa dunia yenye ncha nyingi. Edward Kusewa, mwalimu wa uchumi katika Chuo Kikuu cha St...
  5. Serikali ingekuwa mmliki wa real estate nyingi ili kupunguza ujenzi wa ovyo na unafuu wa kodi

    Bado serikali yetu jambo ambalo nafikiri linawasumbua moja ya kukosa mapato makubwa ni real estate ambazo lile wazo la majengo ya urafiki dar es salaam lingeendelezwa lingekuwa msaada mkubwa ya watu kutofikiria ugumu wa nyumba za kupanga. Ni vizuri kuwa mliweka NHC ila yenyewe imekuwa kama...
  6. N

    SoC04 Wageni ni Tunu kwa Taifa

    Utangulizi Kila mwananchi wa taifa fulani, hupenda kuona taifa lake likiwa kinara kwenye uchumi. Hii ni kwasababu, mafanikio ya taifa lolote duniani huanzia kwenye uimara wa uchumi kwanza, kwani hakuna chochote katika dunia hii unaweza kufanya bila uchumi imara, bila fedha, bila mtaji wa...
  7. SoC04 Tanzania 2044: Miaka Ishirini ya Kujiimarisha

    Tanzania iko katika wakati muhimu sana katika safari yake ya maendeleo. Kama Taifa ni muhimu kuandaa ramani ambayo itakuwa muongozo wetu kwa miaka 20 ijayo, ramani ambayo itagusa sekta zote muhimu katika ustawi wa nchi. Katika makala hii nimeelezea mpango wa maendeleo tunaoweza kuutumia...
  8. Watanzania tumeshindwa kuelewa kuwa sisi Afrika mashariki ndio wanatuona kama kioo cha jamii hususani Kenya

    Watanzania bado tujashtuka kuhusu ili li nchi letu kutokutambua kuwa sisi hapa afrika mashariki ndio role modo wa nchi zote afrika mashariki. Ukinagalia swala la sanaa kabisa unaona sanaa ya tz inapendwa niliona yule kicheche alivopokelewa congo au reyvan. Tuje kwenye maendeleo hapa tanzania...
  9. Pre GE2025 Tanzania yaongoza kwa Nchi zinazolinda Uhuru wa Vyombo vya habari kwa Afrika Mashariki

    Ripoti ya Utafiti iliyotolewa na Taasisi ya Reporters Without Borders (RSF) ya Mei 3, 2024 imeonesha kuwa Tanzania imeshika nafasi ya kwanza katika Nchi zinazolinda Uhuru wa Vyombo vya Habari kwa upande wa Afrika Mashariki. Tanzania imepanda kutoka nafasi ya 143 kwa Mwaka 2023 hadi 97, Kenya...
  10. Je, kuungana kwa nchi za Afrika kuwa nchi moja kunaweza kuwa na manufaa?

    Africa inaweza kuungana na kuwa taifa moja ambalo litakuwa tishio sana duniani mabeberu walisha litambua hilo ndio maana wakafanya kila namna kuweka vikwazo vikubwa sana ambavyo vimepelekea waafrika wengi sana kupoteza maisha,, lakini leo natamani nielezee manufaa Africa ikiwa nchi moja yenye...
  11. N

    SoC04 Uwekezaji wa viwanda vya uzalishaji na utengenezaji simu ni muhimu kwa maendeleo ya Tanzania

    Utangulizi Zipo teknolojia nyingi sana ambazo ni kama zimetupita barani Afrika hususan nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara ikiwemo Taifa la Tanzania. Katika teknolojia hizi zilizotupita kidogo, ipo teknolojia ya kifaa cha ajabu ambayo hatupaswi tuendelee kuiacha itupite, na kifaa hiki si...
  12. E

    Niagize gari Afrika Kusini Vs Japan?

    Wakuu nahitaji 2011 Nissan Xtrail ukubwa wa Engine uwe kati ya 2 mpaka 2.5 cc. Niagize wapi Kati ya Japan na Afrika Kusini?
  13. Kwanini Waafrika hatulimi matunda yetu ya asili?

    Katika matunda ya asili ya Afrika ni matikiti tu ndiyo yanalimwa sana. Mengine yameachwa maporini na yanazidi kupotea. Kwanini Afrika hatulimi matunda yetu ya asili? Ni matunda gani ya asili yanapatikana kwenu na ungependa kuona yanalimwa?
  14. L

    Afrika inapaswa kutumia fursa zinazotolewa na China hasa kwenye masuala ya anga za juu

    Hivi karibuni China ilirusha chombo chake cha anga ya juu cha Shenzhou-18, ambacho kilibeba wanaanga watatu wakiwemo Ye Guangfu, Li Cong na Li Guangsu. Kabla ya kurusha chombo hicho Alhamis ya tarehe 25 Aprili, China ilisema itahimiza ushiriki wa wanaanga wa kigeni katika safari zake za kituo...
  15. L

    Bidhaa za China kuwa na soko kubwa barani Afrika ni jibu zuri dhidi ya madai kwamba eti "Uzalishaji kupita kiasi"

    Kujibu kile kinachojulikana kama "uzalishaji kupita kiasi wa China" ambacho kimechochewa hivi karibuni na baadhi ya nchi za Magharibi, Bw. Ayodeji Dawodu, ambaye anafanya kazi na kushughulikia mambo ya Afrika katika benki ya uwekezaji ya BancTrust yenye makao yake makuu mjini London alisema...
  16. R

    Afrika na Uafrika: Nini kiliwafikisha hapa Liberia kufanya unyama huu 1980

    Cabinet ministers lined up for execution after a coup d'état in Liberia, 1980
  17. Njia pekee ya kutatua matatizo yote ya Tanzania na Afrika kwa ujumla

    Is to form everything new, new country, new leadership system, even the brains of people must be new, we need to throw away the brains from the Europeans and e.t.c Africa must be united
  18. Dhahabu ya Afrika na Utajiri wa Mansa Musa na Biashara ya Dhahabu katika Karne ya 14 na 15

    HISTORIA Mansa Musa, ambaye alikuwa mtawala maarufu wa Dola ya Mali kati ya karne ya 14 na ya 15, alikuwa mwenye utajiri mwingi sana na anajulikana kwa utajiri wake mkubwa wa dhahabu. Utajiri wake mkubwa ulitokana na utawala wa eneo lenye rasilimali nyingi na biashara ya dhahabu.Eneo la Dola ya...
  19. Endeleeni tu Kujidanganya na Jeshi lenu kuwa ndiyo Bora wakati wenye Majeshi bora, imara na hatari Afrika wala hawajisifu ila Wanakubalika na Kazi yao

    UPDF trains 177 Guinea Bissau soldiers in VIP and special operations tactics A total of 177 trainees from Guinea-Bissau, who underwent training in the Very Important Persons and Special Operations Tactics Course, passed out today at the Special Mission Training Centre in Butiaba, Bulisa...
  20. Makala ya BBC: Uchambuzi wa Miaka 30 ya uhuru wa watu wa Afrika Kusini na jinsi wanavyohisi

    Watu wa Afrika ya kusini wanafanya uchaguzi mkuu wao hapo Mei 29, 2024 ukiwa ni uchaguzi mkuu wa 7 wa kidemokrasia tangu kuanguka kwa utawala wa kikandamizaji na kibaguzi wa wazungu wachache mwaka 1994. Ifuatayo ni makala fupi iliyoandaliwa na mwandishi Nomsa Maseko wa BBCSwahili kuangazia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…