afrobeats

  1. Kingsmann

    "Single Again" ya Harmonize yaingia tano bora ya Spotify Best Afrobeats Songs of 2023

    Hongera sana #Kondeboy kwa kuingiza wimbo 1 kwenye top 5 ya nyimbo bora za Afrobeats kwa mwaka 2023 huko Spotify.. Siku zote kazi bora huwa inaonekana, kizuri chajiuza kibaya chajitembeza. Ukitoa wimbo mkali utabaki kuwa mkali tuu hata usipofanya promo. Tujifunze kwa wanaijeria, hawana shobo na...
  2. BARD AI

    Spotify yazindua jukwaa jipya kwaajili ya Muziki wa Afrobeats (Full Details)

    Wakati umaarufu wa muziki wa Afrobeats ukiendelea kukua duniani kote, Mtandao wa Spotify umezindua jukwaa jipya ambalo litakuwa na habari zote za Wasanii na Maendeleo katika aina hiyo ya Muziki. Tovuti hiyo itaangazia mahojiano na wataalam wakuu, video na data zaidi za Spotify na mitindo kuhusu...
  3. BARD AI

    Ngoma ya 'Calm Down' ya Rema yazidi kuongoza Chati za Billboard U.S. Afrobeats Songs

    Msanii huyo kutoka #Nigeria, ameendelea kuweka rekodi Kimataifa kupitia ngoma hiyo aliyomshirikisha #SelenaGomez akikaa kileleni kwa wiki 27 katika wiki 50. Kati ya ngoma 50, hakuna msanii yeyote kutoka Tanzania au #AfrikaMashariki. Aidha, ngoma hiyo imepanda hadi nafasi ya 15 kutoka 19 kwenye...
  4. Brother Wako

    Marioo The Kid You Know Album Review: The Mix Of Bongofleva, Afrobeat And Amapiano Collaborations Of Wakali Wa Africa

    Marioo The Kid You Know Album Review: Mchanganyiko Wa Kolabo Za Bongofleva, Afrobeat Na Amapiano Za Wakali Wa Africa Siku kumi na moja baada ya kuitambulisha artwork yake sambamba na tracklist, hatimaye #TheKidYouKnowAlbum ya Marioo imefikishwa rasmi kwa wasikilizaji wake usiku wa kuamkia...
  5. BARD AI

    Grammy's inafikiria kuongeza kipengele cha Afrobeats kwenye tuzo

    Mkurugenzi Mtendaji wa Recording Academy, Harvey Mason Jr. amesema kuwa Grammys walikuwa wanafikiria kuongeza kitengo cha tuzo kwa upnade wa Afrobeats. Akizungumza na waandishi wa habari nchini Ghana, Mason alisema amekuwa akikutana na wadau wa muziki huo ili kuona uwezekano. "Tuliita...
Back
Top Bottom