Nina miaka 38...Niko single(nimeachana na mke wangu)....sivuti sigara na wala sinywi pombe...sijaajiliwa nimejiajili kwhy hela ya kula vizuri na matumizi madogo mdogo hainipigi chenga kwa kifupi sina njaa...uhakika wa mbunye upo yani simu moja tu naletewa mbunye mpka mlangoni kwa kifupi japo...
Tanzania na Japan kupitia Shirika lake la Maendeleo (JICA), zimetiliana saini mkataba wa msaada wa Yen za Japan bilioni 1.527 sawa na shilingi bilioni 27.3 kwa ajili ya kuboresha sekta ya afya nchini.
Mkataba huo umesainiwa katika Ofisi za Hazina Ndogo jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu Wizara...
Wakuu,
Kuna madhara yoyote ya kiafya mtu anaweza kupata anapotumia hii Microwave ya kupashia chakula na Mambo mengine, naomba kujuzwa hili.
Natanguliza shukrani🙏
Wakuu lazima tukubaliane kuwa maisha yamebadilika sana kuanzia vijijini hadi mijini. Na mabadiliko yametokea ghafla. Ujio wa bodaboda na mabadiliko makubwa ya teknolojia kama uwepo wa mitandao ya kijamii na mobile money umepunguza ugumu wa kazi nyingi. Urahisi wa kufanya kazi nyingi pia nao...
Wakuu Hii ni kwamba Wananchi wamefanyishwa sherehe ya kukamilika ujenzi wa kituo cha afya, wananchi ni kama wamepewa maelekezo ni cha kusema. Hii ni sehemu ya ajenda ya kumpigia kampeni ya mitano tena hakuna la maana.
=======
Wananchi wa Kata ya Mtipa, mkoani Singida, wamefanya sherehe kubwa...
Mjitahidii kulinda miguuyenu
Kwa sasa mnapochexa na Simba mjue mnavhexa na BODI ya LIGI
Msijisahau mkajua mnachexa na Simba mtaliwa kiboga mapemaa
Otherwise all dbest
Wizara ya Afya imetoa taarifa kuhusu Ugonjwa wa Marburg kuwa hadi kufikia Machi 10, 2025, zimetimia siku 41 bila kuwa na mgonjwa mpya.
Ikumbukwe Januari 20, 2025, Serikali ilitoa tamko kuhusu kuwepo kwa mlipuko wa ugonjwa wa Virusi vya Marburg Mkoani Kagera ambapo Wizara imeeleza mwenendo wa...
Wakuu,
Ila kwenye ile video jamaa alisema wapo wengi hapo hospitali, serikali inasema watu 2!🤔🤔
Pia soma: Huu ni ugonjwa gani? Wizara ya Afya semeni kitu
=====
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UGONJWA WA MPOX NCHINI
Tarehe: 10 Machi, 2025, DODOMA
Mnamo tarehe 7 Machi, 2025 Wizara ya Afya kupitia...
Kutokana na changamoto ya muda mrefu wanayopitia wananchi wa kata ya Mahuninga halmashauri ya wilaya ya Iringa Mkoani ya kufuata huduma za afya umbali mrefu uenda ikabaki historia mara baada ya kutengwa kiasi cha sh milion 600 kwa ajili ya ujenzi wa kituo kipya cha afya.
Kituo hicho kinajengwa...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema mpango wa kuwa na bima ya afya kwa wote ni mzito na si mwepesi kutokana na umuhimu wake.
Pia, kuhusu suala hilo amelishukuru Bunge kwa kulipitisha huku akisema kwa sasa limebaki upande wa Serikali kulifanyia kazi.
"Jambo hili ni zito na sio jepesi...
Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini Aesh Hilaly ametoa pongezi kwa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya kutoa msaada katika Kituo cha Afya Mazwi na Zahanati ya Kizwite.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio...
Wakubwa habarini za majukumu, na pia nawapa hongera katika kipindi hiki cha MFUNGO MTAKATIFU( ISLAM& ROMAN CATHOLIC)
Mimi ni kijana( me) 25 OLD ambaye nimehitimu ngazi ya diploma in clinical medicine 2024.
Hivyo naomba naombeni ushauri katika kada hii hususani kujitolea (volunteer)
Katika...
OSHA ni Wakala wa Serikali chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu , Idara ya Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu. Wajibu wake ni kuwalinda wafanyakazi dhidi ya vihatarishi vilivyopo au vinavyojitokeza katika sehemu za kazi ambavyo vinaweza kusababisha Magonjwa, Ajali na hata Vifo. OSHA inatekeleza...
Huyu jamaa ni zaidi ya Royal Tour, ziara yake ya siku chache tena bila gharama kubwa ya kuumiza Nchi, Imezaa matunda ya kutisha!
Hapa akiwa na Mbunge wa Jimbo
Hapa akiwa na Mstahiki Meya
Wakuu haihitaji research yoyote ya kisayansi kujua umuhimu wa kula. Pia haihitaji research kujua kuwa watanzania wengi hawapati chakula cha kutosha achilia mbali balanced diet. Yaani hata ugali maharage wa kushiba ni changamoto. Mimi nimeishi maeneo ya uswahilini Dsm nikaona mwenyewe jinsi watu...
Uvumi wa Taarifa zisizo za Kweli kuhusu Afya unaweza kuwafanya Wananchi kupuuza ushauri wa wataalamu, hali inayoweza kusababisha madhara makubwa kwa afya za Watu.
Hakikisha Unathibitisha Taarifa zinazogusa Sekta ya Afya kabla ya kuziamini ili Kuhakikisha usalama wako na Jamii kwa ujumla
Huduma za afya bure ni ndoto ya kila taifa linalotaka kuboresha ustawi wa wananchi wake. Tanzania inaweza kufanikisha hili ikiwa kila Mtanzania atachangia kiasi kidogo cha fedha kila mwezi kupitia bima ya afya ya umma. Mfano, ikiwa kila raia atachangia TZS 2,000 kwa mwezi, makadirio yanaonyesha...
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, Rais mwinyi alifariki tar 29-02-2024 na kalenda ya mwaka huu hamna hio tarehe.
Je, kutakuwa na kumbukumbu ya kifo chake kama ilivo kawaida ya kukumbuka siku za maraisi wengne walio fariki?
Je, waliotangaza kifo hiki siku ya tarehe 29 hawakujua kama tar 29...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.