Wakuu mwanzo ilisemwa kuna siku 90 za US kuangalia haya mambo ya ufadhili ndo waamue, lakini tokea jana zimeanza kuzunguka statement kama hiyo hapo chini kwenye mitandao.
Kunani huko anayejua kinachoendelea?
Kampeni ya Mtu ni Afya kwa sasa imeufikia mkoa wa Arusha na tarehe 27 Februari 2025 imeendelea katika Wilaya ya Longido mji wa Namanga na kata zake
lengo ikiwa ni kuwafikia wakazi wa meeneo yote kuwaeleza manufaa ya afua tisa za kampeni hiyo.
Judithi Meela ni Afisa Afya wa Wilaya ya Longido...
Mimi binafsi najua kwamba afya zetu ni muhimu sana ! Tunavyokuwa watu wazima ni lazima tubadilike bila hivyo magojwa yanaongezeka sana. Mimi binafsi napata shida sana kupungua na kwasababu hiyo nakula mara mbili kwa siku mlo wangu wa kwanza ni kuanzia saa nne na nusu asubuhi na wa mwisho sio...
Kuanzia matatizo ya vidonda vya tumbo, vijana kuwahi kuzeeka, kukosa nguvu za kiume, n.k. kwa kiasi kikubwa inachangiwa na kula vyakula vya kununua
Kuna wafanyabiashara wa vyakula wao ni faida mbele, afya yako haina kipaumbele, wewe utalishwa vibovu wao watajipikia chakula tofauti.
Njia za...
HALI YA AFYA YA BABA MTAKATIFU
Hali ya Baba Mtakatifu inaendelea kuwa mbaya; hata hivyo, tangu usiku uliopita hakujakuwa na shida ya kupumua.
Alifanyiwa upasuaji wa kuongezewa damu yenye chembe nyekundu zilizokolezwa, kwa manufaa na kurudi kwa kiwango cha hemoglobini.
Upungufu wake wa chembe...
Shule hii ilijengwa ama ilianzishwa na rais john pombe magufuli ! Ni shule iliyobeba wanafunzi wenye ulemavu mchanganyiko ! Ukipata bahati ya kuitembelea unaweza kuangua kilio kulingana na Hali ya wanafunzi ilivyo ! Wako wasio sikia viziwi)wasioona vipofu) walemavu wa viungo wanaotembea kwa...
David Kafulila kupitia kituo cha Runinga Cha ITV ametoa taarifa hii muhimu sana kwa Taifa ya kwamba Tanzania ya Samia ndio nchi inayoongoza kwa ukuaji wa Uchumi Ukanda mzima wa Africa nzima ya Mashariki.
"Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa - TanzaniaInvest"...
Wapendwa habari ya uzima wetu. Samahani naomba msaada Nahitaji kufanya maombi ya nafasi kwa vyuo vya afya vya kati lakini sielewi dirisha linafunguliwa lini. Tafadhali naomba msaada kwa aliyewahi kufanya maombi vyuo vya afya vya kati maombi yanafanyika lini na kwa utaratibu gani?? Nisaidieni wandugu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi ameishukuru Benki ya Dunia kwa Msaada wa kiasi cha Dola Milioni 100 kwa ajili kuimarisha Miundombinu ya Sekta ya Afya hapa nchini.
Rais Dkt.Mwinyi ameyasema hayo alipozungumza na Mkurugenzi Muendeshaji wa Benki hiyo...
Kumekua na maneno/minong'ono ya watu kuwa kwa mfano una kiwanja au shamba lako unakoishi alafu haya makampuni ya mitandao ya cm ikataka kuweka mnara kwenye eneo lako karibu na nyumba ni hatari kwa afya eti kwa sababu kwenye mnara kuna mionzi mikali sana ya mawasiliano inaadhiri baadhi ya seli...
Habari Wakuu. Binafsi sijaleta mada hapa kama njia ya kutetea watu kuishi maisha yanayohatarisha afya zao. Ila nakumbusha tu kwamba hapa JF kufikia 20100, wote hatutakuwepo pasipo kujali wanaolinda Afya na wasiolinda.
Binafsi mimi napenda kuishi katika maisha yanayonipa furaha ila licha ya...
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI, Dkt. Christina Mnzava, amepongeza Jeshi la Magereza kwa kutumia fedha za mapato ya ndani ya Jeshi hilo katika ujenzi wa Hospitali Kuu ya Jeshi la Magereza Ukonga pamoja na kuboresha utoaji wa huduma za afya katika zahanati za...
Salaam jamiiforum
Mungu ni mwema kila wakati naweza kusema hivyo.
Tarehe 13 mwezi wa kumi mwaka Jana 2024 nilipata ajali mbaya sana,tena mbaya mno.
Hakika sikujua kama nitapona haswa baada ya daktari mmoja kuniambia nimeumia ndani Kwa ndani na X ray inaonesha upande wa mbavu ya kulia haipo...
Need a ride? We’ve got you covered!
From sleek sedans to rugged SUVs, Rhond's company limited offers top-quality rentals at unbeatable prices.
✨ Why choose us?
✅ Flexible rental options
✅ Affordable rates
✅ Well-maintained, reliable cars
✅ 24/7 customer support
Book now and drive...
Watu wangi hatutambui kwamba tatizo kubwa la kunywa soda kama Pepsi, Coca Cola nk, ni kwamba zina sukari nyingi sana ambayo si jambo zuri kwa afya yako.
Sasa utakuta watu wengi sana wamekuwa na mawazo kwamba ni vema kunywa juice za dukani (processed juice) kuliko kunywa soda, na hata wengine...
Ndugu mheshimiwa Waziri naandika haya kukujuza kuwa. Kwa sasa nchini kiwango cha kelele mitaani kinatisha, ni jukumu la serikali kuchukua hatua ili kulinda Afya za wananchi na ustawi wa Taifa.
Ndugu Waziri, leo hii kwenye vituo vya mabasi, masokoni, mitaani, kelele zimekuwa ni nyingi na tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.