Si mara kwa mara huwa napitia Jamii Forums, lakini mara nilipokuja kuvutiwa na mijadala kwenye jukwaa hili, nilikutana na kundi la vijana wanaojiita “Kataa Ndoa.” Vijana hawa wanazua mjadala mkubwa, na maoni juu yao yanatofautiana sana – kuna wale wanaowaona kama wanaokwepa majukumu, wengine...
afyaafyaya akili
afyayauzazi
akili
gen z
kataa
kataa ndoa
kubwa
kundi
matatizo
members
mfumuko wa bei ya vyakula
ndoa
tatizo
uchumi duni
uzazi
wanaokataa ndoa
wengi
Wakuu
Makamu Mwenyekiti wa Chadema (bara), John Heche amlipua RC Chalamila kwa kauli yake iliyozua gumzo kuhusu Mama Mjamzito aliyempigia simu na kumweleza changamoto ya ukosefu wa Gloves hospitali.
Soma, Pia: RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai...
Hivi unahisi Tanzania ya Leo ni sawa na miaka ya 60? Unapokuja kulazimisha hospitali za Umma zianzishe utaratibu wa kuchangisha pesa kinyume na miongozo ya afya una maana Gani?
Kuna huduma zinazolipiwa na zipo huduma ambazo kutokana na umuhimu wake serikali imeona zitolewe Bure. Wewe kwa ukaona...
Ni mambo ya kushangaza kidogo, je tumerogwa? ama tumejiroga?
Ni hali ya hatari kwa kweli inakuwaje serikali imetumia pesa nyingi kwenye michezo lakini imeshindwa kununua vifaa vya kujifungilia kina mama?
Mkuu wa mkoa wa Dar anaongoza mapambano ya kuwatukana wajawazito kisa tu yeye na familia...
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila amewataka wananchi wa mkoa huo kuacha kuingiza siasa katika mambo yanayowahusu binafsi hasa katika Afya kwani hazitawasaidia badala yake zitawachelewesha na pia kuwa na madhara zaidi.
Akizungumza hivi karibuni na wanachi wa Temeke jijini Dar Es...
Wanajukwaa mko pouwa? Nimeamua kuleta hii mada kutokana na adha wanazopitia baadhi ya wanandoa au wachumba wanaofikia hatua ya kuachana kutokana na changamoto za uzazi unakuta kunakuwa na kushutumiana baina ya watu walio katika uchumba au ndoa inapotokea wamechelewa kupata mtoto bila kufanya...
Nina rafiki yangu amejaliwa watoto wawili nje ya ndoa !! Kufika kwene ndoa bila bila wakat na mke ana mtoto wa pembeni.
Tupeni ABC!Mliopata matatzo ya utasa au ugumba ukubwani tatizo lilikua nini.
Soma Pia: Tatizo la Ugumba kwa wanaume la zidi kuwa kubwa
●Kuwa na miwasho sehemu za siri mara kwa mara
●Vipele vidogo vidogo ukeni
●Kutokwa na uchafu mweupe au wa rangi ya kijivu ukeni wenye harufu mbaya
●Vidonda au kuwa na michubuko ukeni
●Kutokwa na harufu mbaya ukeni
Kupatwa na maumivu makali wakati wa tendo la ndoa au tumbo La chini
●Kuvimba au...
" Ukitaka kupata Mtoto wa Kike hakikisha Mwenza wako ( Mke au Mpenzi ) ukiwa unafanya nae Mapenzi hafiki Kileleni ( yaani Wewe Mwanaume wahi Kumwaga ) kwani ukifanya hivyo utafanya zile Mbegu za Kiume za Y za Mwanaume zisigusane na X za Mwanamke. Lakini pia ukitaka kupata kirahisi Mtoto wa Kike...
Kwa mujibu wa Ripoti ya Tafiti ya Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria ya Mwaka 2022 yaani (Demographic and Health Survey and Malaria Indicator Survey) imeonesha kuna ongezeko kubwa la watu wanaotumia vyoo bora kutoka asilimia 21 mwaka 2016 hadi asilimia 74.8 mwaka 2022.
Takwimu hizi...
Kuboresha huduma za afya ya uzazi na kupunguza kabisa vifo vya mama na mtoto ifikapo mwaka 2035, Tanzania lazima ijikite katika mikakati muhimu sita. Mikakati hii inalenga kushughulikia changamoto kuu katika mfumo wa afya na muktadha mpana wa kijamii, lengo likiwa ni kuhakikisha kila mwanamke...
Ipi ni tiba sahihi kutibu tatizo la uume kelegea mbali na hizi dawa za asili zinazotrend sana mtandaoni?
Sent from my 23028RNCAG using JamiiForums mobile app
Habari wadau,
Suala hili linaumiza kichwa. Kwa mujibu wa shirika la afya wanasema mwanamke akitimiza mwaka bila kuzaa na anashiriki tendo, basi huyo ni tasa. Sasa ni zaidi ya nusu mwaka mtoto anatafutwa bila mafanikio. Najua humu kuna wataalamu na wajuzi wa hizi changamoto.
Kama mwanamke hana...
Kumekuwa na vumi tofauti tofauti kuhusiana na vyakula na mimea inayoongeza Nguvu za kiume hasa karne hii ambapo tafiti zinaonyesha Vijana wengi Jogoo zao haziwiki 😂.
Leo tumalize utata, weka picha hapa ya mmea au chakula chochote kinachoongeza nguvu za kiume.
Ukiweza tuelezee na Matumizi.
Poleni na majukumu wanajamvi, msaada wenu wa taalamu.
Nifanyeje nimridhishe mchumba wangu wakati wa tendo? Maana analalamika uume wangu mnene sana, namuumiza. Msaada, nitumie mbinu gani ili asiumie?
Nasubiri majibu.
Wadau wa JF habari za J2,
Naandika post hii kwa masikitiko makali sana ambayo yameshanipatia mawazo mpaka nahisi kuchanganyikiwa. Sasa ni wiki ya pili nimekumbwa na tatizo la kuwahi kumwaga pale nitakapokuwa kwenye tendo la ndoa, yaani haichukui hata dakika moja wazungu wanatoka.
Hii hali...
Kondomu zilizotumika katika Roma ya Kale zilitengenezwa kwa kitani na utumbo wa wanyama (kondoo na mbuzi) au kibofu. Inawezekana kwamba walitumia tishu za misuli kutoka kwa wapiganaji waliokufa lakini hakuna ushahidi mgumu kwa hili. Kabila la kizamani la Djukas [1] lililoishi New Guinea...
Mwezi wa pili mke anajifungua na mtoto kufariki, mwezi wa nne mke anapata mimba nyingine. Ni sahihi wadau kiafya na kisaikolojia ya mke?
Karibuni wadau kwa elimu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.