Mkurugenzi wa Huduma za Afya kutoka Taasisi ya Marie Stopes Tanzania, Dr. Geofrey Sigalla amesema Wanawake wamekuwa waathirika wa uamuzi wanaofanyiwa kwenye suala la huduma za Afya ya Uzazi.
Ameyasema hayo leo Machi 8, 2024 katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake ambayo Taasisi ya...
Wanajukwaa mko pouwa.
Leo hebu tubadilishane uzoefu.Kama tujuavyo kwamba Dunia ipo pamoja na mazuri yaliyomo ila changamoto zipo pia.
Kuna hii changamoto ya kupata mtoto ,Unakuta mke kaolewa kwenye boma
flani alafu linapokuja swala la kupata mtoto inakuwa changamoto.
Je, inapotokea kwamba...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Ripoti ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria Tanzania ya Mwaka 2022 na Ugawaji wa Magari ya Kubebea Wagonjwa na Vifaa Tiba katika Ukumbi wa Mikutano wa JNICC leo tarehe 28 Oktoba, 2023...
Afya Bora ya uzazi hutegemea zaidi mambo makuu matatu
1. Mzunguko wa damu(ufanyaji kazi mzuri wa moyo)
2. Saikolojia ya mtu
3. Mfumo mzuri ya neva katika ubebaji wa taarifa
Afya Bora ya uzazi hutegemea zaidi ufanyaji kazi wa moyo katika kusafirisha damu ya kutosha kwenye maungo ya mfumo qa...
Dr. Geofrey Sigalla
Tuzo za Umahiri katika Uandishi wa Habari (EJAT) 2022 zilizotolewa kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Jumamosi ya Julai 22, 2023 ambapo waandishi mbalimbali walifanikiwa kubeba tuzo kwenye vipengele tofauti.
Tuzo hizo ambazo ziliratibiwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT)...
Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani ambayo inaadhimishwa Machi 8 kila Mwaka, Shirika la Marie Stopes Tanzania limesisitiza umuhimu wa Elimu na huduma za Afya ya Uzazi kuwa ni msingi bora kwa Afya ya mwanamke na kwa maendeleo katika jamii.
Dkt. Geoffrey Sigalla (kushoto) na V.S. Chandrashekar...
Dunia ya sasa imebadilika sana. ni ukweli uliowazi kabisa kuwa ngono kimekuwa sio kitu cha siri sana.
Na uwepo wa ujuaji wa watoto kuhusu ngono umechochewa na mabadiliko mbalimbali yaliyopo ikiwemo Utandawazi kama vile Simu za mikononi, Television na hata muingiliano wa tamaduni za jamii...
Habari, jina langu ni Miriam, na leo ningependa kuzungumza na wanajamii kuhusu afya ya uzazi kwa wakina Mama na watoto.
Kumekua na wimbi kubwa la wanawake/mabinti wanaopata ujauzito kwa miaka ya hivi karibuni, kutokua na elimu sahihi juu ya makuzi ya mtoto tumboni.
Moja kati ya eneo ningependa...
Machozi yakimbubujika Zakia (KE: Sio jina halisi) kamavile mpira wa maji ya kumwagilia bustani, yakidondoka mpaka kwenye kona ya kidevu! jicho jekunduu...akashusha simu kutoka sikioni kwa haraka nakutaka kuitupa ukutani! lakini kwa kuishiwa nguvu aliishia kuigonga gonga kwenye mapaja yake akiwa...
UKOSEFU AMA UPUNGUFU W NGUVU ZA KIUME
Mwandishi: DR. Yassayah M, 0752591744/0682080069 wa -Tegeta DSM
UTANGULIZI
Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume kitaalam – Erectile Dysfunction ni hali ya uume kushindwa kuamka/kusimama au kuamka kwa muda mfupi kisha kushindwa kuendelea kusimama wakati...
Shirika la Marie Stopes Tanzania (MST), limewakutanisha waandishi wa habari zaidi ya 33 pamoja na wadau wengine jijini Dodoma na kuwapa elimu ya afya ya uzazi na kuwaeleza shughuli zinazofanywa na shirika hilo hapa nchini.
Waandishi hao pia walipata fursa ya kufahamu shughuli nyingine za...
Wataalamu wa #Malezi wanatuambia ni muhimu kuwapa watoto elimu ya afya ya uzazi ili kuwaepusha na madhara kama kujihusisha na kujamiiana wangali wadogo, mimba za utotoni, ndoa za utotoni na kupata magonjwa ya zinaa.
Lengo kuu likiwa ni kuwawezesha watoto kujilinda na kujitunza ili waendelee...
Nini maana ya tatizo la nguvu za kiume?
Hili ni tatizo linalohusisha hali tofauti kwa wanaume ambalo linaweza kuathiri njia ya mkojo na uzazi kwa mwanaume.
- wanaume wengi wamekuwa wakipata hofu na aibu kwa sababu tatizo hili linahusisha sehemu za siri.
Je ni Nini chanzo cha tatizo la...
Ni kweli kwasababu ya utandawazi, mambo yanabadilika. Namna za kuishi pia zinabadilika, mapokeo nayo kutoka kizazi hadi kizazi yanabadilika. Je hekima imesafiri? Au amepotea njia? Au maarifa ya utandawazi yamebadilisha maana ya hekima?
Je ni kweli kwa kizazi hiki mimba imekua ni ugonjwa hatari...
Makala hii ikufikie wewe Mzazi, Mlezi, Kaka, Dada na Ndugu wote ambao mnao wadogo zenu au watoto wenu ambao wapo mashuleni au Vyuoni. Na bado hujui kuhusiana na jambo kubwa na la hatari linalowasibu ambalo ni tishio kwa maadili yao, utu wao na maisha yao kwa ujumla.
Nianze kwa kunukuu ya kuwa...
Jana Alhamisi muda wa saa 5 usiku hivi nikiwa natafuta Station za Radio nikaangukia Kiss FM 98.9, niliposikia neno "PID" ikabidi nisikilize kidogo kinachoongelewa maana nami nipo kwenye uwanja huo huo wa mambo ya Afya..
Nilipigwa na bonge la mshangao kwa yale niliyokuwa nikisikia,, maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.