🚨BREAKING: China’s first ever AI agent is here.
'Manus' can automate 50+ tasks at once, SNS analysis, financial transactions, research, purchasing, and many more. Some say it’s even more accurate than DeepSeek.
The era of AI agents is here - and it's running 24/7 while you sleep.
Katika hali ya kushangaza, mwanamke mmoja amemuacha mume wake na kuolewa na mfanyakazi wa benki aliyemuidhinishia mkopo kwa mahitaji yake. Mwanamke huyo, ambaye inasemekana hakuwa na furaha na mume wake licha ya juhudi zake za kutimiza mahitaji yake, aliangukia penzi la mfanyakazi huyo wa benki...
Wakuu habari ya jumapili
Kwa heshima na tahadhima naomba kwenye connection ya kazi ya kufanya delivery ya mizigo kwa kampuni zilizopo Mwanza anishtue au kama kuna kazi yoyote halali mnipe jamani
Hali mbaya kitaa
Nina leseni ya udereva ninaweza kuendesha gari na pikipiki na nina ufahamu wa...
Wakuu nimeirudia tena series ya Prison Break.
Kwenye season 2 anaibuka Special Agent wa FBI, Alexander Mahone kusaidia zoezi la kuwakamata wafungwa 8 waliotoroka gereza la Fox River.
Jamaa alikuwa na akili na daima alikuwa mbele ya muda sana. Nadiriki kusema jamaa alimzidi Michael Scofield...
Courtesy: MwanaHalisi Online TV
Duuh, sasa mambo yameanza kufumuka na kunoga. Siri siyo siri tena...
Wote tunakumbuka tuhuma za Tundu Lissu kwa mtoto wa Rais Samia Suluhu Hassan aitwaye Abdul kwenda nyumbani kwake mwanzoni mwa mwaka huu 2024 kumshawishi apunguze kasi ya mashambulizi dhidi ya...
Wakuu, habari za muda huu na poleni kwa shughuli mbalimbali za maisha. Nina maswali mawili kuhusu procedure za ajira NMB Bank upande wa Contact Centre Agent .
1. Maswali common yanayoulizwa kwenye aptitude test ni yapi?
2. Je ukifanikiwa kupita kwenye aptitude test inachukua muda gani kuitwa...
Esmail Qaani ni kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) la Iran, hasa tawi la Vikosi vya Quds, ambalo linahusika na operesheni za kijeshi nje ya Iran. Aliteuliwa kuwa kamanda wa Vikosi vya Quds mnamo Januari 2020 baada ya kifo cha Qasem Soleimani, aliyekuwa kamanda wa vikosi...
Habari,
Naomba kujua naweza kufanya nini ili niweze kuwa agent wa kupokea mizigo ya AliExpress na Alibaba?
Vigezo ni vipi hasa? Na naweza kujisajili vipi? Na nitakuwa nalipwaje? Kwa maana hii biashara ya online ni kama inaendelea kukua kwa sasa
Watu wengi mnatapeliwa na madalali eti atakufanyia mchakato upate visa ya kwenda marekani kanada na ulaya. Mtapigwa sana washamba nyie, visa inatoka embassy sio kwa agent
Sasa huyo agent kama anazo visa mfukoni kwake mwambie akupe moja uende ulaya 🤣🤣🤣
Hakuna agent yoyote yule atakufanyia...
Kumekuwa na mgongano wa maslahi binafsi ya wachezaji na maslahi ya kitimu ndio yanasababisha hizi kelele, Wachezaji wanaogopa sana kuanzia benchi au / na kupewa muda kidogo sababu mikataba ikiisha ni ngumu kupata timu nzuri lakini kocha anaweka maslahi ya timu kupata ushindi mbele zaidi...
Kama umezoea kuangalia spy movies utanielewa,ila kama umezoea bongo kovie hautoniekewa.
Haji anachukua mishahara miwili,kutoka kwa Mo na kutoka GSM,
Simba ikifungwa huwa anaenda chooni kulia
Hutaki acha ubwaya ubwile
Habari wana JF, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, sasa hivi kutokana na uhaba wa ajira ndani ya nchi yetu ya Tanzania, kuna makampuni ambayo yanatangaza yanatoa ajira nje ya nchi, hasa nchi za uarabuni.
Makampuni hayo yameanzisha mchezo wa kutangaza kuwa kuna kazi fulani, lakini...
Habari zenu wana JF,
Katika kufuatilia nyuzi kadhaa kuhusu shipping agents kwa meli kutoka China kuja Tanzania, Nimekutana na Silent Ocean, Shamwaa na Mapembelo Cargo.
Which one should i go for?
- Wapo wanaosema silent ocean wako vizuri na wako fasta, wapo wanaosema Silent ocean ni...
Nimeshutushwa sana na kampuni ambayo inawakilisha Fedex Tanzania. Ukituma mzigo wowote kwa Fedex hata barua tu utasumbuliwa sana. Hawa jamaa ukituma mzigo kwa Fedex mfano hata kama mzigo ni wa $50 watajaribu kukuwekea gharama za 500,000 na zaidi.
1. Wenyewe sio TRA kodi zote zinatakiwa ziwe za...
Kuna baadhi ya maafisa wa TRA (TMU) wanatumika na bwana mmoja anaitwa Beno wa kampuni ya Will Logistics, anachokifanya bwana huyo anakodi magari halafu halipi pesa kama inavyotakiwa.
Ukifika wakati wa magari kufikisha mzigo unakataliwa kulipwa pesa yako, kisha unapigiwa simu na afisa wa TMU...
Position: Call Center Agent (Turkish speaking)
Location: Dar es Salaam
Full Time
Qualifications
Turkish speaking is a KEY qualification
Minimum Diploma level
Fluent in Turkish language
Sharp Mind & Quick Learner
Flexible to Shift Work
Smart Team worker
Experience in tele-sales is an added...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.