Agizo la majini 1-5
RIWAYA: AGIZO LA MAJINI
MTUNZI: MR ROYNOO
WHATSP NO: 0786978618
Sehemu ya 1
Naitwa Mr Roynoo a.k.a mnyama dumaa wengine wanapenda kuniita kwa kwakufupisha hasa hasa mabinti wazuri wazuri wananiita "Roy" nilishaumwaga magonjwa baadhi ya kidunia mfano, homa na Nk. ila yote...